Kwenye makosa ya jinai, kuna kitu kinaitwa conspiracy, yaani watu walioshirikiana, kutenda jinai, kwenye picha, wanaonekana polisi 7, wakimsulubu Mwangosi, na taarifa za mashuhuda, RPC Kamuhanga alikuwepo eneo la tukio, akitoa maelekezo ya namna ya utekelezaji wa operesheni hiyo, sasa iweje aletwe polisi mmoja mahakamani?! kwa nini akina Kamuhanga hawajuburuzwa mahakamani?? Hapa ndiyo unaweza kupata jibu, kwa nini mtuhumiwa kaletwa mahakamani na gari aina ya shangingi, na hao askari wamezuia kabisa kupata picha ya mtuhumiwa? Mkakati ni kutaka baada ya fulani waipotezee hiyo kesi, HUU NI UPEPO TU UTAPITA!!!