Nakubaliana na Mnyika/Chadema

Mnyika hana jipya, anarukia hoja tu.

Tunamwachia Zitto aje kumjibu.
Wewe na nani mnamwachia zitto?
Siasa zimewashinda mmeamua kutumia mtutu.
Yani chezeni sarakasi zote lakini safari hii tutawachomoa tuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ilimtaka I.G.P ampigie simu/apokee simu ya Dr Slaa,ikamtaka aandae risasi na mabomu ya kutosha na baada ya hapo waandae karamu ya kujipongeza kwa mauaji,kwa kua ni bora kufa kuliko kuendelea na manyanyaso ya polisi,pia alimtaka I.G.P wajiandae kwenda The Hague

Content ya hii sms imekaa vizuri tu. Watamkamata kwa lipi hapa?
 
...kauli ya Nchimbi kumshangaa Mwema kutomkamata Dr Slaa ...

Haya .. wenye dhamana (wote wateule wa mtu mmoja) wanalaumiana wenyewe kwa wenyewe hadharani!!! Kama siyo kiwewe ni nini?
 
Wewe na nani mnamwachia zitto?
Siasa zimewashinda mmeamua kutumia mtutu.
Yani chezeni sarakasi zote lakini safari hii tutawachomoa tuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ndio wenyewe mmejiona wajanja hapo? kuuwana halafu kusingizia Polisi. Ya Morogoro mliona mmeikosea, hii mkahakikisha mnamsambaratisha.
 
Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.

Naona hujui waandishi wanavyofanya kazi katika mazingira haya....na huwa hakuna wa kuwabugudhi,cha msingi hujitoa upande wa wananchi na kuja upande wa askari huku wakiendelea kuchukua matukio....by the way,polisi kazi yao ni kumarrest mtuhumiwa by any means ili kupata details za uhalifu na si kuua...la hasha.
Hata kama sio ndugu yako jaribu kufikiri kwa kina na kusoma sheria juu ya polisi kabla ya kukomenti.
 
Haya .. wenye dhamana (wote wateule wa mtu mmoja) wanalaumiana wenyewe kwa wenyewe hadharani!!! Kama siyo kiwewe ni nini?

Mkuu ili ndilo tatizo la kuweka siasa hasa kukibeba chama tawala katika kila sehemu hata kwenye vyombo muhimu kama polisi na mahakama!kauli ya jana ya Nchimbi sidhani kama alijua itakua na madhara kiasi gani kwa wachambuzi,Mwema kama aliona sms ya Dr Slaa ni ya uchochezi na yeye ndio I.G.P basi ilimpasa kuishughulikia kwa mujibu wa sheria na taratibu za jeshi la polisi,lakini sasa Nchimbi anaposema Mwema alifoward hiyo msg kwa viongozi wengine bila doubt ni kua alikua akitaka maelekezo toka kwa viongozi wa Magamba nini kifanyike!kauli hii ya Nchimbi inaleta shaka kidogo kwa hadhi ya Mwema mtu ambae amebobea katika taaluma yake
 
Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.

Ni kweli ni bora kunyamaza kuliko kutoa hoja zisizo na mashiko,makalio si mchezo
 
Ndio wenyewe mmejiona wajanja hapo? kuuwana halafu kusingizia Polisi. Ya Morogoro mliona mmeikosea, hii mkahakikisha mnamsambaratisha.

Mkuu Zomba habari,naona wewe ni mchapakazi hodari,maana saa kumi usiku tayari upo macho!lets back to the point,mbona kauli zako haziendani na za waziri wa wizara husika?au kauli zako wewe ni za chama hasa ile idara ya propaganda?
 
Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.

Wewe IQ yako ni chini ya ile ya kuku.
 
Zomba si bure utakuwa umesahau kunywa dawa zako za akili,kumbukuka ni kutwa mara mbili kinyume cha hapo lazima uandike uozo!
 
Ahsante kwa kunikumbusha, wewe zako mbona hujapitia? clinic pale tunapochukuwa dawa zetu wamenambia hujapita wiki ya tatu, vipi?
 
Wewe IQ yako ni chini ya ile ya kuku.

Inakuwa ya yai sio? kama ile bajeti yetu bungeni!
o-funny-egg-face.jpg

Mkuu Zomba habari,naona wewe ni mchapakazi hodari,maana saa kumi usiku tayari upo macho!lets back to the point,mbona kauli zako haziendani na za waziri wa wizara husika?au kauli zako wewe ni za chama hasa ile idara ya propaganda?

Vipi na wewe saa hizo kumi? upo night shift?
 
Ni kweli ni bora kunyamaza kuliko kutoa hoja zisizo na mashiko,makalio si mchezo

Hivi wewe kama hujitafutii kifo utafanya hivi:

quote_icon.png
By zomba

Back
Top Bottom