Taarifa Ya Kuhani Msiba Kwa Dada JS

habari za asubuhi mabibi na mabwana.....!

tunashukuru sana kwa kuguswa kwa dhati kabisa na msiba huu wa dadaetu mpendwa

tunawashukuru sana members waliojitolea muda wao tukafanikiwa kwenda kuhani msiba huu

tunawashukuruni sana kwa sala na maombi mliyoyafanya katika nia ya kumfariji dada yetu js

tunawashukuru sana tena sana kwa namna yoyote ile ambayo wanachama wa jf walishiriki

mungu awabariki sana

MAISHA YANAENDELEA KAMA HIVI

Kwani niamba yangu mimi mwenyewe, Babu DC na bibi yao wale wajukuu wapendwa, naomba kuwashukuru nyote mlioweza kufika na kukamilisha hili jukumu muhimu sana.

Nimefarijika sana kwaba JF inawesha kumpa shavu mtu aliyefikwa na matatizo ya hii dunia. Ni jambo la faraja sana.

Asanteni kwa kutuwakilisha.

Babu DC
 
habari za asubuhi mabibi na mabwana.....!

tunashukuru sana kwa kuguswa kwa dhati kabisa na msiba huu wa dadaetu mpendwa

tunawashukuru sana members waliojitolea muda wao tukafanikiwa kwenda kuhani msiba huu

tunawashukuruni sana kwa sala na maombi mliyoyafanya katika nia ya kumfariji dada yetu js

tunawashukuru sana tena sana kwa namna yoyote ile ambayo wanachama wa jf walishiriki

mungu awabariki sana

MAISHA YANAENDELEA KAMA HIVI

The Following User Say Thank You to MFALME WA AMANI For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Back
Top Bottom