Taarifa Ya Kuhani Msiba Kwa Dada JS

Teamo,
Sawa Asante kwa taaharifa,lkn ombi tu ni vzr next time hata taaharifa ya kukutana pia itolewe atlest a day before,taharifa hii ningepanga jana leo ningeluwa na nafasi nzuri ya kujumika nanyi,yote ni vema Mungu awatie nanyi nguvu na maneno ya hekima na busara,tunajua sisi tulimpenda lkn yeye kampenda zaidi.Jioni Njema na uwakilishi mwema.
Regards
Lulu
ahsante sana mzazi mwenzangu!
PAMOJA TUTASHINDA
 
Pearl alitoa wazo hili
Mkuu Teamo,
Inavyoonekana watu wengi hapa hatukuwa na tahaarifa hizo za msiba,n huyu akiwa kama mwenzetu na ndugu yetu wa karibu naamini anasoma haya maelezo hapa,je inawezekana tujipange ili walau na ss tujumuike ktk kumfariji mwenzetu kwa ppamoja?Kama ndio basi tupange siku maalum ili tuweze kufanya kama mila na tamaduni zetu,ni mtazamo tu lkn.
Regards
Pearl
Teamo ukajibu hivi.......

naiona point yako mkuu....!

maadam hoja iko mezani ngoja tuone wadau watasemaje
Nami nikaunga mkono hoja...
Naunga mkono hoja!

Hii taarifa imekuwa kama ya dharura. Naona ni vema tungepanga siku ambayo watu wana majukumu machache, kama wikiendi hivi ili kama kawaida ya misiba ya watu wa kule migombani, kapombe kaweze kuhusika pia.

Kwa mara nyingine: RIP Baba yetu!
Mara Teamo akageuka hivi.
hoja yenu ya weekend haitawezekana kwakuwa sisi tumeshamalert js aje leo,na pia tunawashauri asprin,pearl na mtm mkubaliane na ''GHARAMA YA demokrasia'' kwamba wengi wape.wengi wenu wamekubaliana tukutane leo,lakini pia kutakuwa na nafasi zenu (kama ilivyokuwa MEMKWA) ya kumuona js kwa muda mwingine....afterall ninyi wote js ni mtu wenu wa karibu

SAMAHANI KWA KUWAKWAZA KIDOGO lakini ndio gharama ya demokrasia hiyo.....!

Kumbe haikuwa na haja ya kujadili meza iliyo mezani kama ulivosema awali kwakuwa kumbe demokrasia ilishafanyika.....ila sikumbuki kama nilihusishwa kwenye kupiga kura zaidi ya habari hizi za ghafla.

Hata hivyo naunga mkono Hoja, wengine tutamuona siku nyingine. Naomba mumpe mkono wa Pole JS kwa niaba yangu tafadhali. Mwambieni tuko Pamoja katika wakati huu mgumu...
 
Pearl alitoa wazo hili

Teamo ukajibu hivi.......


Nami nikaunga mkono hoja...

Mara Teamo akageuka hivi.


Kumbe haikuwa na haja ya kujadili meza iliyo mezani kama ulivosema awali kwakuwa kumbe demokrasia ilishafanyika.....ila sikumbuki kama nilihusishwa kwenye kupiga kura zaidi ya habari hizi za ghafla.

Hata hivyo naunga mkono Hoja, wengine tutamuona siku nyingine. Naomba mumpe mkono wa Pole JS kwa niaba yangu tafadhali. Mwambieni tuko Pamoja katika wakati huu mgumu...

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:
Teamo (Today)
 
lakini wakuu hapo juu,
kama kuna kingine zaidi ya KUMPA POLE TU tuhabarishane basi tuairishe kikao maanake mi sioni sababu
 
pole sana JS,
Bwana ametoa, na bwana ametwaa,
mwanga wa milele umwangazie
apumzike kwa amani baba wa JS!!!

SIKUWA NA TAARIFA KABISA NA HUU MSIBA, NASHUKURU KWA HII NOTE!!!!!!
 
Pole sana JS kwa msiba mkubwa uliokufika. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
Pole sana JS
Mungu na akupe nguvu ktk wakati huu mgumu!
R.I.P Baba JS
 
Wapendwa Katika BWANA.....!

habari zenu binafsi kwa ujumla wenu?...ni matumaini yangu kwamba Wote mnaendelea vyema na mchakato wa kuutafuta mkate wenu wa kila siku.

Kama vile wote mnajua kwamba Dada Yetu Mpendwa JS alipata msiba kwa kuondokewa na Baba Yake MZAZI MNAMO TAR 31/12/2010 Saa tano na dakika arobaini na Tano Usiku.Sisi kama marafiki wa jamiiforums tulikutana na kujadili namna ya kumpa faraja mwanachama mwenzetu kwa namna ndogo ambayo tunaweza.

Napenda kuwajulisha kwamba leo tuna kutana na Dada Yetu JS ''pale pale''.Tunatarajia kuwa nae pale kwa muda mfupi kidogo walau tumpe pole na kumfariji kwa namna nzuri itakayo mpendeza mungu

Muda ni ''Ule Ule''

Wengi wenu mliopo Dar nimewapigia simu kuwajulisha hili swala...sasa kwakuwa mimi ni binadamu mwenye mapungufu kuna uwezekano nikawa nimewasahau watu wawili watatu.Napenda kutumia jukwaa hili pendwa kurusha thread hii ili kwa yoyote ambae sijampigia simu asome na kufika bila kukosa.

Ahsanteni Sana Kwa Kusoma Tangazo hili na kunielewa
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI JF

R.I.P baba yetu mpendwa

Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un
We belong to Allah and to Him we shall return

Kwa niaba yangu na familia yangu, natanguliza pole nyingi sana kwa wafiwa hususani JS kwa kuondokewa na baba yeke mzazi.

Kwa hakika kuondokewa na mzazi wako ni jambo kubwa sana kwetu sisi binadamu, lakini ni nani awezaye kuliepuka?

Basi kama hakuna hawezaye kuliepuka, hatuna budi sisi binadamu kukubalina na lile ambalo Muumba wetu ametuwekea.

Tuliobaki ni jukumu letu kuwaombea dua wale wote waliotutangulia, ili nasi tukitangulia mbele ya haki, watakao baki nyuma nao wapate kutuombea.

Hakika ni majonzi makubwa sana pale unapofiwa, haswa unapofiwa na mzazi au ndugu wa karibu... ni mfiwa tu ndiye anayejuwa ugumu wa kukubaliana na msiba unao mkabili.

Teamo, peleka rambi rambi zetu kwa dada yetu, mwana JF mwenzetu, mwambie kuwa tupo pamoja kwenye msiba huu mkubwa ulio mbele yake.
 
Ni vigumu kwa kila mmoja wetu kufika lakini tunatanguliza pole zetu nyingi. Mungu azidi kukutia nguvu na kukupa ujasiri wa kuweza kuwa mvumilivu. Raha ya milele umpe Bwana na mwanga wa milele umwangazie astarehe kwa amani. Tupo nawe katika sala. Ubarikiwe sana.
Shukrani kwa mtoa mada ubarikiwe pia
 
......Pole sana JS, Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
 
habari za asubuhi mabibi na mabwana.....!

tunashukuru sana kwa kuguswa kwa dhati kabisa na msiba huu wa dadaetu mpendwa

tunawashukuru sana members waliojitolea muda wao tukafanikiwa kwenda kuhani msiba huu

tunawashukuruni sana kwa sala na maombi mliyoyafanya katika nia ya kumfariji dada yetu js

tunawashukuru sana tena sana kwa namna yoyote ile ambayo wanachama wa jf walishiriki

mungu awabariki sana

MAISHA YANAENDELEA KAMA HIVI
 
Back
Top Bottom