huku tunakoelekea huu mjadala utaangukia pabaya mie nnaona tuufunge wameandamana kwa mujibu wa haki yao kikatiba na bila ya fujo imeisha imepita
Ukisema hivyo tutakwambia "unatufunga midomo" iache tu itakufa kifo cha kawaida....
huku tunakoelekea huu mjadala utaangukia pabaya mie nnaona tuufunge wameandamana kwa mujibu wa haki yao kikatiba na bila ya fujo imeisha imepita
No, but it makes no sense. Kichaka hakujikaribisha mwenyewe.
Kuna mkaribishwa na mkaribishi. Basi ni bora bendera zote mbili zichomwe.
Mtu wa Pwani, taratibu ndugu, unayasema mengi kijumlajumla kwa 'emotion' ya udini. Sidhani kuwa yote hayo ni kweli.
Unajua mambo mengine lazima tukubali kuwa tunaiga ili tusije onekana kuwa si sio wenzao. Kuandamana na kuchoma Bendera imekuwa ndo fashion. Kwa nini basi wasiandamane bila ya kuchoma bendera. Au wanaogopa kuambiwa kuwa nyie sio wenzetu hatuwapi misaada kwa sababu Bush alikuja hatukuona chochote.
Hivi kabla ya bomu pale Dar kuna mwislam yeyote aliyewahi kuwa deported? Au account yeyote kuwa frozen? Haya yote mliyataka wenyewe milipokubali kutumika.
Hizi taasisi kama zinaazishwa ili kufandhili na kufacilitate uingizwaji wa mabomu na kuplan kulipua hapa nchini,lazima zifungiwe. Kama pesa zilizokwenye Account ni kwa ajili ya kufadhili watu weknda Pakistani kujifunza namna ya kujilipua au kuingiza mabomu lazima ziwe frozen. Adui siku zote mwombee njaa. Nyie na Bush ni maadui kama unavyosema sasa yeye anahakikisha njaa ya pesa inawapata.
Tatizo pia mnashindwa kuelewa kuwa mnapokuwa na sisi wanawaona nyie Waislamu wenzie, lakini mnapokuwa na wao WAARABU WANAWAONA NYIE NI WABANTU MASKINI.SIO WAISLAMU WENZETU. Mfano arfur ,Waislam weusi kule hawana thamani.
Unapokuwa na haki haina maana usitumie akili na Busara.
Nadhani hawa watu wameacha mambo mengi muhimu yahusuyo nchi yetu ambayo yalifaa zaidi kuandamana kuliko ujio wa Bush. Uchungu wao ingebidi uelekezwe kwenye mambo makubwa ambayo yanaikabili nchi yetu hasa hili suala la Mafisadi. Ingebidi waandamane kuwapinga baadhi ya Majambazi wa CCM ambao wanazidi kuinyonya Tanzania kwa nguvu zao zote.
Ikumbukwe pia walioandamana sio Waislamu peke yao bali pia Jumuiya nyingine za Haki za Binaadamu pale Tanzania nazo ziliandamana kupinga ziara ya Bush.
Si nilisikia Chadema waliandaa maandamano kupinga ufisadi in the wake of Dr. Slaa's report? Yaliishia wapi? Halafu ujio wa Bush sio jambo la kila siku. Ukipoteza fursa hii ni lini tena utaipata? Ufisadi ulikuwepo, upo, na utakuwepo tu na watu wameshaandamana na watazidi kuandamana kuupinga. Nadhani hapa cha muhimu ni fursa iliyojitokeza na wao wameamua kuichangamkia. Hakuna ubaya wowote hapo.
Ukisema hivyo tutakwambia "unatufunga midomo" iache tu itakufa kifo cha kawaida....
Ni kweli Mazee hakuna ubaya wowote kwa wao kuandamana kwani ni haki yao kabisa ya kikatiba. Hata Bush kila nchi anayokwenda iwe Europe, Asia au hata hapa States kwenyewe watu wanamzomea na kuandamana. Ila nadhani ni muhimu kwa sisi kujiwekea mazingira ya kukemea mambo yanayotokea nchini mwetu kwanza. Unajua Chadema kuandamana kupinga ufisadi ni vizuri lakini Dini fulani ikiandamana kupinga ufisadi huo, habari na ujumbe unaweza kuwafikia watanzania wengi na kutiliwa maanani zaidi. Kwa hiyo hii ni kama changamoto kwa wanadini zote kuandamana kuwapinga mafisadi kwa njia zote.
Sijakuelewa hapa unamaanisha nini.Bush hana cha mkristu ama muislamu yeye anatafuta malighafi kwa nguvu.
Ni bahati mbaya tu mafuta mengi yanapatikana uarabuni ambako ni waislamu wengi ndio inaonekana ana vita na waislamu.Bush hana vita na uislamu yeye vita yake ni kukusanya mali nyingi iwezekanavyo.
Palestina ni kumsingizia tu Bush hiyo vita ni siku nyingi hata kabla Bush hajazaliwa.
Tusiwe wanafiki tuseme ukweli tupu
Hivi tifu likitokea kama lile la zanzibar mbona destination ya hawa wanaopinga marekani hua ni marekani ama uingereza kwanini isiwe Saudia,Ilan ili ukapinge vizuri marekani.
Mnawaona wasomali wanapinga kweli marekani na uingereza lakini wakipata chansi hao uingereza ama marekani hata akienda kwingine lakini macho yake ni huko kwanini isiwe SAUDIa???
Ni kweli Mazee hakuna ubaya wowote kwa wao kuandamana kwani ni haki yao kabisa ya kikatiba. Hata Bush kila nchi anayokwenda iwe Europe, Asia au hata hapa States kwenyewe watu wanamzomea na kuandamana. Ila nadhani ni muhimu kwa sisi kujiwekea mazingira ya kukemea mambo yanayotokea nchini mwetu kwanza. Unajua Chadema kuandamana kupinga ufisadi ni vizuri lakini Dini fulani ikiandamana kupinga ufisadi huo, habari na ujumbe unaweza kuwafikia watanzania wengi na kutiliwa maanani zaidi. Kwa hiyo hii ni kama changamoto kwa wanadini zote kuandamana kuwapinga mafisadi kwa njia zote.
Kama hawana ugomvi na Tanzania soma vizuri makala ya Dr. Njozi. Kwenye hili wanaandamana kwa sababu hawataki Bush aje Tanzania, sasa Bush anakuja Tanzania kwa sababu amelazimisha kuja Tanzania na hakuna lolote ambalo JK angeweza kufanya kumzuia asije. Kwa vile ni Rais wa Marekani amelazimisha kutua kwenye Ikulu yetu na kwenda kuangalia vitu mbalimbali. Kwa vile atakuwa anasindikizwa na Marine na wana usalama wa Kimarekani, Rais wetu ni msindikizaji tu na Rais Bush amejileta mwenyewe pasipo hata kualikwa! Kama Bush amefanya hivyo na mimi nawaunga mkono Bush asije!! Na tuichome bendera ya Marekani...
Wewe bwana unajulikana na udini wako.
nchi zote hata za Ulaya bush hupata wataki mgumu sana. safari yake ya kwanza UK ilibidi simu zote zizimwe na watu wazuiwe kupita.
watu karibu milioni mbili waliandama hawakuwa waislam ni watu wanaoumia kuona Human Rights haziwi protected hasa na Bushi.
kuna watu wengi wameandika vitabu na thesis kuhusu Illegality ya vita ya Iraq ambayo ni matokeo ya Bush.
kama umesoma International Law hakuna sehemu inayosema nchi moja inaruhusiwa kuivamia nyingine hadi ndani mwake bush kafanya hayo na hakuwa na baraka za umoja wa Mataifa,watu kama Robin cook waziri wa mambo ya nje ya uingereza aliamua kujiuzulu kutokana na unyama wa bush. waziri clear Short nae alijiuzulu.
America ilipoingia Iraq siku ya kwanza walitoa bendera ya Iraq na kuweka yao then wakaitoa ndani ya dakika kumi huo ni udikteta.
Itakuwa ni ajabu na miujiza na bush atashangaa kwenda nchi bila kuzomewa. hiyo inamtosha kuona kuwa Africa bado tuko gizani lakini inashangaza mtu kama mwanakijiji ambaye unaishi Marekani hujui haki ya kuandamana na unamuogopa Bush kama Mbowe.
fuatilia harakati za Senetor Obama na Clinton kwanini Democratic kampeni zao zina nguvu? sikiliza hotuba ya week hii ya hilary Clinton kwenye kampeni zake,msikilize Obama au uko busy kusoma Tanzania Daima tu?
wamarekani wanalalamika miaka yao saba iliyoharibu sifa ya Marekani.
hotuba za John McCain kwenye kampeni zake akiwa anatoka chama cha Bush-Republican lini na wapi alimtaja Bush? anaogopa kuharibu kampeni zake.
wamarekani wanaomba bush aondoke leo wanaona november na january 09 ni mbali.
jiulize kwanini kampeni za sasa watu wanamjadili obama na Clinton kwa nguvu sana? kwanini Obama anachangiwa na wapenzi wake hadi dolla milioni moja kwa siku kwa ajili ya kampeni?
kwanini California Clinton alipata kura nyingi eneo la wageni hasa wahispania?kutokana na sera nzuri za mume wake Bill Clinton.
uko wapi ndugu yetu? hujui hata siasa za marekani? kuna watu walijiua siku bush alipoenda Buckingham palace.
jiulize sana Tony Blair kaachia uongozi kabla ya muda wake baada ya kuona amejiharibia na anazomewa kila siku kwa kushirikiana na BUSH, wananchi wake na chama chake zikamlamizimisha kuondoka.
Mwanakijiji jifunze kwa wenzako kama Mkuu wa Kanisa la Anglikana la Uingereza-Archbishop DR.Roman William ambaye ameona umuhimu wa serikali ya UK kutumia sheria ya kiislam huyu ni mtu mwenye phd ya kikristu sio wewe mwimbaji wa kwaya, pls kuwa open minded.
siku tatu zilizopita ulisema husukumwi na udini ila maslahi ya nchi vipi leo umefanya U-TURN?
kwa maana hii tuelewe kuwa unampiga vita Kikwete kwa vile muislam na kumfagilia Mbowe kwa ukiristu wake?
Kalam=Interested Observer...Sijamziba mdomo...ndio maana nimempa uhuru awatumie watu wote ktk private msg zao...sasa wewe leo amua kila thread copy n paste ujumbe huohuo...? what does it mean? nimeona nimpe wazo la IT kuwa best way kufikisha ujumbe ampe ADMIN atume to ALL...sio posting kila thread.
Pia mie sijawagawanya wa-TZ, tayari MFUMO umeshawagawanya...Nanyi wakati mnaanza kujadili issue ya maandamano mmekuwa na makengeza ya kutoona Haki za waislam kupinga ujio wa BUSH...ulitaka vipi mwenzetu...?
Nawe unaposema sio waislam wote wenye msimamo wangu, so wewe unawagawa waislam sio...