Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FairPlayer, Feb 15, 2008.

 1. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Jamani nimepokea ujumbe huu saa moja iliyopita, wakazi wanaopita maeneo hayo pateni taarifa:

  We have just received information that a protest march is planned this afternoon in advance of George Bush's visit. The information we have at the moment is as follows:

  After lunchtime prayers (ie approx 1.45pm), people will congregate at Mkunguni (Kariakoo). They will then march down Bibi Titi Mohamed St, Ali Hassan Mwinyi Drive, over Selander Bridge, turn left at the traffic lights onto Kinondoni Road, turn left onto Kawawa Road, turn left onto Morogoro Road, and end up at the Jangwani Grounds. We understand that the police have approved the march and we have no information to suggest that the march will not be peaceful. However, obviously the march will cause congestion and therefore try to plan your journeys accordingly
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Hawa wanao andamana wana madai gani ? Wanataka nini na watapata nini baada ya wao kuandamana ?
   
 3. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Nimeona kwa macho yangu wakichoma bendera ya marekani huku wakiongea maneno ya kiislam.
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Maandamano baada ya sala ya Ijumaa? MMhm!
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hawa nao wana matatizo wanachoma bendera ili wapate nini? Mbona pesa zao za misaada toka US na hata Sheikh Mkuu anachukua hawazikatai leo ushujaa huo unatoka wapi ? Watu wengine bwana .
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  baniyani mbaya kiatu chake dawa
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2008
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Nasikia hata futari ya US mwezi wa ramadhan waliinywa. Anyway, may be wakifika Jangwani watatueleza wnaandamana kwa ajili ya nini. Wasijesema kwa vile kiongozi wa Hizbholah ameuawa???????
   
 8. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2008
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kama kweli wamedhamiria kuandamana, wafanye kesho ili hata yeye mwenyewe awaone!

  Au labda walihofia mahudhurio ndio wanavizia Ijumaa? Kama hivyo basi wangeenda ubalozini au Ikulu wawasilishe hoja zao?
   
 9. N

  Nduna Member

  #9
  Feb 15, 2008
  Joined: Oct 22, 2007
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuandamana kwa amani ni haki ya kikatiba na huboresha uhuru wa kutoa mawazo na dukuduku kuhusu mustakabali wa maisha yao.Hata Ulaya na marekani wanaandamana kila uchao tena, hufikia hatua hata ya kuwatupia mayai viza viongozi wanaowashutumu kukiuka matarajio yao. Cha kuzingatia ni ujumbe wanaoukusudia kuutoa una mashiko kiasi gani. Na kwa hilo nani asiyejua kuwa Marekani ni taifa linaloongoza duniani kwa kusababisha kero mandira na maafa kwa raia wasio na hatia!!!
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Feb 15, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  uswahili mwingine mbaya, sasa kama wao hawataki Bush aje kwanini wanachoma bendera ya Marekani? Kama wanaamini katika huo uhuru wa kuandamana na maoni si wachome bendera ya Tanzania maana ni Tanzania ndiyo iliyomwalika Bush. Kama wanataka asije waandamane kumpinga Rais Kikwete na kuchoma bendera ya Tanzania!!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Feb 15, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Hey wana haki ya kuchoma bendera ya Marekani ku-protest sera zake pamoja na ujio wa raisi wake. Pia na wewe una haki ya kuwaona wao ni waswahili na matendo yao kuwa ni ya kiswahili. Ili mradi hakuna ghasia zitakazotokea na kusababisha watu kuumia ama kupoteza maisha, yote freshi tu.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Feb 15, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nyani sijapinga haki yao ya kuchoma bendera ya Marekani, nimesema wana haki hiyo hiyo ya kuchoma bendera ya Tanzania. Nadhani wanabark at the wrong tree!
   
 13. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mkuu una ushabiki wa kikale au una lako chini ya jambo hili.

  nchi ngapi bush alialikwa na watu wakaandamana na kuchoma moto bendera na wakachoma madoli ya bush na nwengine wakachora picha za bush na bendera ya amerika barabarani wakawa wanazikanyaga na wala hawkuchoma bendera za nchi yao wala kumtukana rais wao.


  hili unalijua wazi ila si bure una lako zee la nyeti una lako.


  wote wenye kuandamana wana ujumbe wao uko wazi kulaani siasa za marekani dhidi ya uislam na waislam na wanaeleza kuwa amerika na bush hutumia kisingizio cha ugaidi kuukandamiza uislam.

  hilo liko wazi kipi kisichofahamika hapa?


  lipo linotatiza hapa?

  ww mkjj uzee wako na njama zako za kupindisha pindisha usioyapenda ujue uko JF watu makini wapo na hawataruhusu ujitie udume uso nao
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Feb 15, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mbona unaweka maneno mengi kinywani mwangu? Watanzania wana haki ya kuandamana kupinga ujio wa Bush au mtu yeyote yule hilo kwangu siyo tatizo! tatizo ningependa katika maandamano hayo yahusishe kuandamana kumpinga Kikwete kumkaribisha Bush kwa kuchoma na bendera yetu pia. Hapa pagumu kueleweka ni nini? Au natumia kimatumbi kuelezea?
   
 15. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwani walikwambia wana ugomvi na nchi yao na rais wao?


  haya tumewaachia CHama cha Domo kaya na Endelezo la Majungu wayafanye, waislam hawana ugomvi na nchi yao wala rais wao
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Feb 15, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Mzee sijui kwa nini unataka wachome na bendera ya Tanzania wakati hawana ugomvi na Tanzania. Mbona akiendaga huko mashariki ya kati huwa tunaona wakiichoma na kuianyaga bendera ya Marekani na si bendera ya nchi anayotembelea? Anyway, I think Mtu Wa Pwani's comments have put your comments in their place.
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Feb 15, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kama hawana ugomvi na Tanzania soma vizuri makala ya Dr. Njozi. Kwenye hili wanaandamana kwa sababu hawataki Bush aje Tanzania, sasa Bush anakuja Tanzania kwa sababu amelazimisha kuja Tanzania na hakuna lolote ambalo JK angeweza kufanya kumzuia asije. Kwa vile ni Rais wa Marekani amelazimisha kutua kwenye Ikulu yetu na kwenda kuangalia vitu mbalimbali. Kwa vile atakuwa anasindikizwa na Marine na wana usalama wa Kimarekani, Rais wetu ni msindikizaji tu na Rais Bush amejileta mwenyewe pasipo hata kualikwa! Kama Bush amefanya hivyo na mimi nawaunga mkono Bush asije!! Na tuichome bendera ya Marekani...
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Feb 15, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  of course hawana ugomvi na nchi yao isipokuwa pale watakapoona maslahi yao yanatishiwa. Wao tatizo la BoT haliwaumi, Richmond haiwahumi, IPTL haiwahumi, Rada haiwahumi, n.k It is Friday!!! Hivyo vyote haviwahumi na hawatavipigia kelele au kuandamana kwa sababu havitishii maslahi yao. Wenye ugomvi na nchi yao wanaonekana na hawachagui chanzo!!
   
 19. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2008
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  No, but it makes no sense. Kichaka hakujikaribisha mwenyewe.
  Kuna mkaribishwa na mkaribishi. Basi ni bora bendera zote mbili zichomwe.

  Mtu wa Pwani, taratibu ndugu, unayasema mengi kijumlajumla kwa 'emotion' ya udini. Sidhani kuwa yote hayo ni kweli.
   
 20. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ndipo ulipolenga hapo ? pole mkuu mkuki umepiga sipo.

  tofautisha baina ya maziwa na tuwi.

  au utaula na chuwa kwa uvivu wa kuchagua
   
Loading...