Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Mkandara,

mimi nimeishi marekani kwa muda sana na ninafanya kazi na wato toka India kibao ambao ni waislam na wahindu huku pia nikiwa na marafiki ambao ni wayahudi na wakristo.

Nakuhakikishia kuwa wengi hapa wanakubali kuwa waislam wanapata treatment nzuri sana hapa marekani mara nyingi zaidi ya watu wa dini zingine ambao wanajaribu kushika dini zao kwenye nchi kama Pakistani na kadhalika.

Pamoja na haya yote, mimi sioni kama ni suala langu kuanza kushikia bango waislam walio Tanzania au Marekani just because wale walio arabuni wanachukia dini zingine!

The same way sidhani kama ni suala langu kushikia bango kila mkristo kwa vile eti Bush na serikali ya marekani wanaeneza ukoloni duniani. Mimi nimeanza kudili na watanzania wenzangu ambao wanahusika na kueneza huu ukoloni wa marekani badala ya kuhangaika na label za ukristo au uislam.

Marekani inalaumiwa sana kwa kufilisi nchi za central na south Amerika. Wakati wa Reagan, marekani ilivamia sana nchi za central amerika ambazo raia zake wengi ni wakristo, je kuna sababu sasa kusema kuwa marekani au Reagan alikuwa na chuki na wakristo?

Nadhani ni vizuri kuangalia utu wa mtu kabla ya dini yake maana utu wa mtu unaanza kabla ya dini. wote tunazaliwa kama binadamu kisha tunachagua kama tuwe waislam au wakristo au wasio na imani.

Asante kwa shule yako mkuu!

Suala kama utu wa mtu kabla ya dini yao. vipi unawahukumu waislam wa Tanzania kwa kuandamana badala ya kutiza utu wa maelfu ya Wairaq wanaoteseka? ni Mungu gani unayemuabudu anayekufundisha kutokuwa na huruma na viumbe wenzio? Bwana Yesu (Issa bin Maryam) ninayemjua mimi hakuwa na roho mbaya kama zenu.
 
Mimi nawewe naona tuko mbali kabisa katika mtizamo so ni bora mimi nishuke chini ili wewe upae kabla ya kuanza kunipa majina mengine zaidi ya hili la Mwanakijiji.

Ungekuwa marekani na chuoni kwangu ninakosoma ungeona jinsi wanafunzi hapa wanavyoandamana kila siku kupinga vita dhidi ya Iraq bila kujali dini au imani zao. Watu hapa tunaandamana kama binadamu kwanza kabla ya kuchukua labelz za uislam au ukristo.

Katika hili, chukua ushindi mkuu maana mimi mambo ya dini sina uzoefu nayo na kwa kweli mimi naona waarabu kama watu waliofanya biashara ya utumwa na wazungu kama watu waliofanya ukoloni huku wakijidai kuleta uislam na ukristo Afrika.

Mkandara...

Mimi si mtaalamu wa dini za kigeni hizi so labda uendelee na hawa wasomi wa dini katika hii thread. Asante kwa mchango wako mkuu na naomba nikuache kwa sasa maana kuna habari nzito sana ninaifuatilia huko Tanzania ambayo ni ya kutisha sana kwa wote watakoisikia!

Asante!
 
Interesting. Sikujua Mwafrika wa Kike ni Mwanakijiji. Nimekuwa namfagilia MWK kumbe ni yule yule Mwkjj. Mwanakijiji I take back all the sifas I have poured to Mwafrika wa Kike.
 
Interesting. Sikujua Mwafrika wa Kike ni Mwanakijiji. Nimekuwa namfagilia MWK kumbe ni yule yule Mwkjj. Mwanakijiji I take back all the sifas I have poured to Mwafrika wa Kike.

Kwi kwi kw ikwi,

Jasusi umesahau kuwa wakishindwa hoja huleta viroja....

Muda si mrefu nitaitwa kuwa mimi ni Invisible au Mbowe...

Ukisoma PM nazopata utacheka hadi uvunjike mbavu. Hata hivyo najipongeza kwa kuwa na spidi kubwa ya kuandika kwa nick zote hizo na kupost maneno zaidi ya mia moja kwenye span ya sekunde tano tu!
 
Mimi nawewe naona tuko mbali kabisa katika mtizamo so ni bora mimi nishuke chini ili wewe upae kabla ya kuanza kunipa majina mengine zaidi ya hili la Mwanakijiji.

Ungekuwa marekani na chuoni kwangu ninakosoma ungeona jinsi wanafunzi hapa wanavyoandamana kila siku kupinga vita dhidi ya Iraq bila kujali dini au imani zao. Watu hapa tunaandamana kama binadamu kwanza kabla ya kuchukua labelz za uislam au ukristo.

Katika hili, chukua ushindi mkuu maana mimi mambo ya dini sina uzoefu nayo na kwa kweli mimi naona waarabu kama watu waliofanya biashara ya utumwa na wazungu kama watu waliofanya ukoloni huku wakijidai kuleta uislam na ukristo Afrika.

Mkandara...

Mimi si mtaalamu wa dini za kigeni hizi so labda uendelee na hawa wasomi wa dini katika hii thread. Asante kwa mchango wako mkuu na naomba nikuache kwa sasa maana kuna habari nzito sana ninaifuatilia huko Tanzania ambayo ni ya kutisha sana kwa wote watakoisikia!

Asante!

Unafuatilia habari ya uchaguzi Kiteto, haina uzito wowote hiyo.
labda kichuguu tu ndiye anaweza asijue wewe ni Mwanakijiji, KOBA, Madela wa Madilu.

cha kuchekesha kuna sehemu unaandika kama Mwakjj halafu unakuja na jina la Mwafrika wa kike kujipa Thanks. huna tofauti na wale wanaocheza karata tatu, mmoja anajifanya mpita njia kumbe wako pamoja. kwa mtindo huu siiogopi jambo Forums kwani mtu mmoja ana majina manne.
 
Kwi kwi kw ikwi,

Jasusi umesahau kuwa wakishindwa hoja huleta viroja....

Muda si mrefu nitaitwa kuwa mimi ni Invisible au Mbowe...

Ukisoma PM nazopata utacheka hadi uvunjike mbavu. Hata hivyo najipongeza kwa kuwa na spidi kubwa ya kuandika kwa nick zote hizo na kupost maneno zaidi ya mia moja kwenye span ya sekunde tano tu!

Hakuna aliyeshindwa hoja hapa nimekupa maelekezo mazuri ya Cold war baina ya China na Marekani na jana nimekupa Mengine ukaona moto mzito hasa mawe ya kaka Mkandara ukakimbia kwa jina lako la kampeni Mwanakijiji, ili usipoteze wapenzi wako waliokuwa hawakujui Mdini umekuja na jina hili.

nimekupa hoja hadi za Biafra na Nyerere kuwa Nyerere aliwa support wa IBO kwa misingi ya kidini, huna hoja na umekiri kuwa MKANDARA kakupa maelezo mazuri. sasa nani aliyeshindwa?MBOWE unamuona mtu wa maana? kwangu mimi ni mtu wa kawaida tu ndio maana alikimbia hapa kwa vile hajui kuandika. na ametoroka shule yuko kwenye makongamano tu Dar. kusoma si mchezo.
 
Ukitaka tujadiliane katika mjadala huu, inabidi tukubaliane kuweka mbali dini ndio tutaelewana. Dini za kigeni za waarabu na wazungu hazijatusaidia katika matatizo yetu kwa miaka yote hii na mimi siko kwenye lori la wadini.

Wewe raia wa Naijeria unawatenga katika misingi ya ukristo na uislam na mimi nawaona wote kama waafrika simple and clear. Leta hoja utajibiwa lakini ukileta udini nitakushauri uende kule kwenye forum ya dini!
 
Kuna watu humu wana chuki na uIslam na wao wakitaja uIslam inakuwa si udini lakini muIslam akitaja tu ukiristo basi inakuwa mwao, mdini huyo.

Hebu tuseme kweli kabisa, ni nini kinachowaudhi waIslam wakiandamana kuja kichaka?

Nimebandika links hapo juu, ambazo zote zinaonesha jinsi huyu kichaka anavyopingwa kwa maandamano karibu kila nchi anayokwenda, labda iwe ni nchi ya kidikteta tu isiyoruhusu raia zake kuandamana.

Sasa cha ajabu ni nini, nimeuliza maswali humu, Jee na wale wa UDSM walioandama walikuwa waIslam?

Kwanza sioni tatizo ikiwa waIslam wameandamana. Kwani waIslam siku zote wapo kwenye haki na hakuna unafiki unafiki. Ikiwa wengine hawataki kuandamana ni haki yao.

Ikumbukwe kuwa maandamano yalikuwa halali na yalikuwa na baraka zote za serikali. Hakuna aliyevunja sheria za Tanzania na kama yupo basi polisi waliokuwepo kulinda amani hawakuona?

Tusilete udini, kuna watu wanatowa mambo yakejeli humu ukijibu unaambiwa udini.

Mimi sitochoka na wala sitokaa kimya kutetea haki humu, kwa yeyote yule na kwa muono wangu.
 
Unafuatilia habari ya uchaguzi Kiteto, haina uzito wowote hiyo.
labda kichuguu tu ndiye anaweza asijue wewe ni Mwanakijiji, KOBA, Madela wa Madilu.

cha kuchekesha kuna sehemu unaandika kama Mwakjj halafu unakuja na jina la Mwafrika wa kike kujipa Thanks. huna tofauti na wale wanaocheza karata tatu, mmoja anajifanya mpita njia kumbe wako pamoja. kwa mtindo huu siiogopi jambo Forums kwani mtu mmoja ana majina manne.

Kuna mtu alishauri wana JF wasivute bangi mbichi kwani zinaharibu akili ila inaonekana wewe hukuwa hapa JF wakati huo
 
Kuna mtu alishauri wana JF wasivute bangi mbichi kwani zinaharibu akili ila inaonekana wewe hukuwa hapa JF wakati huo

na wewe hukusoma ile ya MBOWE NA PUNYETO? au kwa jina la Wapuki? au ulikuwa kwenye safari zako za mawinguni?
asante M.M MWANAKKJ
 
Mwafrika wa Kike,
Nakuhakikishia kuwa wengi hapa wanakubali kuwa waislam wanapata treatment nzuri sana hapa marekani mara nyingi zaidi ya watu wa dini zingine ambao wanajaribu kushika dini zao kwenye nchi kama Pakistani na kadhalika

Najua umeondoka lakini bila shaka utasoma hoja yangu kama ulivyosema hapo awali kuwa kutochangia kwa watu haina maana hawasomi...

Issue hiyo hapo juu umeichanganya sana kwa sababu hatuzungumzii maisha ya waislaam ndani ya Marekani au nchi za kiislaam.
Heading of the issue ni AMERICAN FOREIGN POLICY..na sio mambo ya ndani....
Na wala wale waandamanaji hawakuwa wakisema maisha ya waislaam Tanzania isipokuwa nchi zile zilizovamiwa. Hata hao wazungu na hasa Mawamerakani hupewa maisha bora zaidi ya wenyeji as a fact wanaruhusiwa kunywa pombe na mambo mengi within their camps...
Hakuna states yoyote Marekani inayowapa waislaam nafasi bora zaidi ya wananchi wenye imani ya dini tofautikwa kipimo gani hasa?....
Nchi za kiislam zinakataza ku recruit watu kuingia dini kwa ghirib ambayo kwetu waislaam ni haramu. Sasa inapokuwa haramu Pakistan kuvuta waumini kwa kutumia hongo, vivutio ama niseme Takrima na umaskini wao mnachukulia kuwa waislaam wanawazuia dini nyingine hali hata waislaam wenyewe wanakatazwa kufanya hivyo nchi hizo hizo. A fair ground ni pale sheria inauma pande zote mbili.
Na waislaam hawafanyi hivyo hata nchi zinazoruhusu kama vile Amerika kwani nchi hizi lobbyst ktk kuvuta watu kidini ni jambo huru kabisa, hali sisi unafundisha dini na kueleza mabaya ya kutoamini kisha unamwacha mtu aamue mwenyewe. Now, kama unazungumzia mila za wahindi na waarabu hapo unaweza pata mengine mengi zaidi ikiwa ni pamoja na mavazi, utaratibu wa maisha, kazi na kadhalika.
Kumbuka tu kwamba hawa wenzetu waarabu na wahindi, dini zao ndio kabila lao yaani unapozaliwa ndani ya ukoo wa Punjab basi bila shaka wewe ni Singasinga. Msaudia ni Sunni na Muislaam na wengineo hivyo hivyo wakati sisi huku dini ni uchaguzi wa imani yako na ndivyo dini inavyofundisha kuwa hata sisi Wagalatia tunatakiwa kufuata vitabu hata kama hatukuzaliwa waarabu ama Punjabi..

Hivyo basi tuzungumzie foreign policy kwani ndicho chanzo cha maandamano hayo.
 
Najua umeondoka lakini bila shaka utasoma hoja yangu kama ulivyosema hapo awali kuwa kutochangia kwa watu haina maana hawasomi...

Issue hiyo hapo juu imeichanganya sana kwa sanbabu hatuzungumzii maisha ya waislaam Marekani..
Heading of the issue ni AMERICAN FOREIGN POLICY..na sio mambo ya ndani.

Hapa sasa unaongea mkuu!

Na wala wale waandamanaji hawakuwa wakisema maisha ya waislaam Tanzania isipokuwa nchi zile zilizovamiwa. Hata hao wazungu na hasa Mawamerakani hupewa maisha bora zaidi ya wenyeji as a fact wanaruhusiwa kunywa pombe na mambo mengi within their camps...

Hadi hapa tuko pamoja mkuu

Hakuna states yoyote Marekani inayowapa waislaam nafasi bora ya wananchi wenye imani ya dini tofautikwa kipimo gani hasa?
Nchi za kiislam zinakataza ku recruit watu kuingia dini kwa ghirib ambayo kwetu waislaam ni haramu. Sasa inapokuwa haramu Pakistan kuvuta waumini kwa kutumia vivutia ama niseme Takrima mnachukulia kuwa waislaam wanawazuia dini nyingine hali hata waislaam wenyewe wanakatazwa kufanya hivyo nchi hizo hizo. Na hawafanyi hivyo hata nchi zinazoruhusu kama vile Amerika kwani nchi hizi lobbyst ktk kuvuta watu kidini ni jambo huru kabisa, hali sisi unafundisha dini na kueleza mabaya ya kutoamini kisha unamwacha mtu aamue mwenyewe. Now, kama unazungumzia mila za wahindi na waarabu hapo unaweza pata mengine mengi zaidi ikiwa ni pamoja na mavazi. Kumbuka tu kwamba hawa wenzetu waarabu na wahindi, dini zao ndio kabila lao yaani unapozaliwa ndani ya ukoo wa Punjab basi bila shaka wewe ni Singasinga. Msaudia ni Sunni na Muislaam na wengineo hivyo hivyo wakati sisi huku dini ni uchaguzi wa imani yako na ndivyo dini inavyofundisha kuwa hata sisi Wagalatia tunatakiwa kufuata vitabu hata kama hatukuzaliwa waarabu ama Punjabi..

Hadi hapa tuko pamoja mkuu!

Hivyo basi tuzungumzie foreign policy kwani ndicho chanzo cha maandamano hayo.

Nimeuliza swali dogo tu.... wakati marekani ikivamia nchi za central na south amerika miaka ya Reagan? je inaweza kusemwa sasa hivi kuwa huo ulikuwa ugomvi dhidi ya wakristo?
 
.

MWANAKIJIJI acha utoto ukiona unashindwa hoja unakimbilia kubadili jina na kutumia la kike ili upewe huruma(Mwafrika wa Kike)

MKANDARA.

Mwafrika wa kike ni yule yule Mwanakijiji ana utoto wa kuingia na majina mengine kama KOBA, MADELA-WA MADILU, MWAFRIKA WA KIKE n.k

turudi kwenye mada vyombo vyote vya habari vya kimataifa vimesema Bush anakuja Tz ili kufuata masilahi ya nchi yake na kusisitiza kuwa AFRICOM ni agenda kuu ya ziara ya bush.

kwanini yuko Arusha kwenye Tanzanite? Ukimwi uko Bukoba vipi hajaenda uko?

Mwanakijiji au Mwafrika wa kike.

mtafute professor JOEL BARKAN yuko washington DC huyu ni mtaalam wa mambo ya Afrika atakupa maelezo ya kina juu ya bush ni mmarekani mwenzake lakini anampinga.vipi wewe au huna makaratasi unaogopa kumpinga utatimuliwa USA? hujaibaka TZ kama umekwama rudi Nyumbani tunakuhitaji hata kwenye kwaya za Kakobe au fanya kama mama Rwekatare omba funds kuwa unaenda kusaidia wajane na yatima na unaenda kufungua kanisa Tanzania, utapata.

jiulize Bush alipeleka jeshi lake somalia akishirikiana na Ethiopia mwaka jana kwanini asipeleke jeshi lake Kenya kutuliza ghasia?kama mpenda amani?

unajua kama DJIBOUT kuna wanajeshi wake 17,00 na Guinea kuna jeshi lake. ameona Tanzania ni eneo tulivu kuweka base yake.

mwanakijijji na Kichuguu.

rais wa China amekuwa akienda Africa kila mwaka toka 2004, kama unafuatilia vyema kulikuwa na African-Chinese Summit ilifanyika china 2006.

Mwaka 2007 kukawa na European-African Summit.
sasa Bush anatumia hii 2008 kuipigia debe nchi yake ni yale yale yamerudi SCRAMBLE FOR AFRICA.hivi sasa wanakuja kwa majina kama wawekezaji, wahisani.

unajua kama mafuta ya Nigeria, ANGOLA na Gabon yanakwenda U.S.A? hivi hamjui kama Tz TUNA mafuta?

miaka yote China imekuwa ikitusaidia kuanzia Tazara, kila mwaka scholarships kwa WaTanzania,kutuletea madaktari ,kusaidia jeshi letu hata vita vya Uganda waChina walifanya kazi kubwa kutupa vifaa na wao kupigana kwa niaba yetu.

nakuomba Mwanakijiji usiache Mbachao kwa msala upitao.

Africom ina Agenda kuu tatu.
1)OIL(2) VITA DHIDI YA CHINA(3) WAR ON TERROR. hana maralia wala Ukimwi hicho ni chambo tu.

KICHUGUU.

Mwalimu Nyerere alikuwa kiongozi wa nchi yetu alikubali kuiasi serikali halali ya Nigeria na kuwa support wakristu wenzake wa Nigeria ya kusini kina General OJUKWU sababu ni wakristu wenzake.

kitendo kile ni cha ajabu. lakini hatujakusikia wewe au Mwanakijiji kusema Nyerere aliteleza. kweli msomi mzima unaumia kuona waislam 2000 wakiandamana kuwa semea watu wa IRAQ na Afghan? Nadhani kama kushangaa tungeanza kwa Mwalimu Nyerere aliyetumia nafasi ya urais kuwasapoti waasi wa serikali halali ya Nigeria.

Bush kapeleka jeshi SERBIA kwa maslahi yake msikilize rais wa SERBIA kasema nini jana?

jana hiyo hiyo Chavez AMESEMA bush hapati mafuta yake hata kwa mtutu.na huko walindamana na vinyango vya bush.

unasema Uislam ni ugaidi nimekupa link ya VYONNE RIDLEY huyu aliishi na Talaban akiwa na fikra kama zako na Mwanakjjj hatimaye akasilimu baada ya kuujua ukweli.

Mwisho.

Wana forum hivi kwanini tunakuwa waongo wa nafsi zetu? Mwanakijiji amekuwa akisema kuwa yeye si mdini huku ukweli ukidhihiri kwenye thread kama hizi, juu ya chuki zake za kidini.

mwanahabari mashuhuri unashindwa kuJUSTIFY maandamano dhidi ya Bush ila kukosoa na kunungunika tu? wewe unatumia majina ya bandia hakuna anyekujua humu bado unaficha hisia zako kali za kidini?. umeshindwa kuwa mkweli humu JF tu? ukipewa nchi tutakujua ukweli wako? kwanini ufiche udini wako wakati wote humu tunatumia pen names with exceptional of KITILA,MNYIKA na Membe?

ungejifunza vizuri kwa mkuu wa kanisa la ANGLIKANA ambaye amekuwa mkweli wa nafsi yake.sisi tutaishi nje ya nchi tutabadili kiingereza na kutakata tu lakini tabia zetu zitabaki zile zile.

Kuna mtu mmoja tu humu anayependa kulitaja jina langu namna hiyo..!!! Na yeye hatumii jina lake sasahivi humu ameamua kubadilisha na kujiita "Mtalii".
 
Hapa sasa unaongea mkuu!

Hadi hapa tuko pamoja mkuu

Hadi hapa tuko pamoja mkuu!

Nimeuliza swali dogo tu.... wakati marekani ikivamia nchi za central na south amerika miaka ya Reagan? je inaweza kusemwa sasa hivi kuwa huo ulikuwa ugomvi dhidi ya wakristo?

Anarusha huyo
 
Kuna watu humu wana chuki na uIslam na wao wakitaja uIslam inakuwa si udini lakini muIslam akitaja tu ukiristo basi inakuwa mwao, mdini huyo.

Hebu tuseme kweli kabisa, ni nini kinachowaudhi waIslam wakiandamana kuja kichaka?

Nimebandika links hapo juu, ambazo zote zinaonesha jinsi huyu kichaka anavyopingwa kwa maandamano karibu kila nchi anayokwenda, labda iwe ni nchi ya kidikteta tu isiyoruhusu raia zake kuandamana.

Sasa cha ajabu ni nini, nimeuliza maswali humu, Jee na wale wa UDSM walioandama walikuwa waIslam?

Kwanza sioni tatizo ikiwa waIslam wameandamana. Kwani waIslam siku zote wapo kwenye haki na hakuna unafiki unafiki. Ikiwa wengine hawataki kuandamana ni haki yao.

Ikumbukwe kuwa maandamano yalikuwa halali na yalikuwa na baraka zote za serikali. Hakuna aliyevunja sheria za Tanzania na kama yupo basi polisi waliokuwepo kulinda amani hawakuona?

Tusilete udini, kuna watu wanatowa mambo yakejeli humu ukijibu unaambiwa udini.

Mimi sitochoka na wala sitokaa kimya kutetea haki humu, kwa yeyote yule na kwa muono wangu.

iri ri shehe zomba naro rinatowagaga mapointi. watakuchiaga,
 
Mwafrika wa Kike,
Nimeuliza swali dogo tu.... wakati marekani ikivamia nchi za central na south amerika miaka ya Reagan? je inaweza kusemwa sasa hivi kuwa huo ulikuwa ugomvi dhidi ya wakristo?
Only if,... kama dunia inge wa indentify kama Wakristu..lakini yalichukuliwa majina mengine kama vile Sandinist ambayo sielewi maana yake..Hivyo basi tunaweza jiuliza why Sandinista.. ama hata hao wa Iraq kuitwa Insurgents kwa nini wasiitwe waarabu?.. kesho wakija kubali kuwa wao ni Insurgents mtaanza kusema wanajibagua.
Kumbuka mkuu wangu tuliitwa Mandingo, Nigger, Negro na kila mara tulipojaribu kuyakubali maneno hayo kwa kuyatapa sifa na ushujaa walikuja na jingine hadi majuzi tu, watu weusi wenyewe walipochagua kwa kauli moja kuitwa African -American. It's the first time mtu mweusi kapata pumzi ya kuchagua jina analotaka awe identified..otherwise ni mwenye nguvu tu mwenye haki ya kupachika watu majina.
 
Mwanakjj login zako za mwafrika wa kike umeziuza au uliziweka ktk stock market?...people knows u...wale waliomtosa Lowassa ni wale wasiri wake...na wale uliowapa nyeti zako zikaleak kwa wengine...
 
Kuna mtu mmoja tu humu anayependa kulitaja jina langu namna hiyo..!!! Na yeye hatumii jina lake sasahivi humu ameamua kubadilisha na kujiita "Mtalii".

unathibitisha kubadili jina lako sababu huyo mtu anakutajataja? ukishikwa wizi wewe usiseme na yule pia.

asante Mwanakijiji ukishindwa, unatumia jina la kike ili uonewa huruma.

mimi MTALII ni member humu kwa miaka kadhaa sasa, na mabangi nalo unatumia jina lisilo na hadhi.

kuna viongozi wetu wameumia Kiteto tufuatilie hali zao hatujali dini zao wala chama gani. tunatizama utu kwanza, wewe mjaji mtu kwa Ukristu na uchadema kwanza.
 
Ndugu zangu nadhani hii imetosha turudi kwenye Mafisadi maanake tukisahau hilo tumekwisha hakuna cha muislaam wala mkristu hapa.. Maslahi ya Umma mbele..

Mafisadi jamani mafisadi!....wakiwemo waislaam na wakristu kibao sijui tutaitwa kina nani baada ya Wapinzani!
 
Back
Top Bottom