Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

Wakuu,

Mchambuzi sio verified wamemjua namna gani tuongeze tahadhari?
A%20S%2039.gif

Hiyo ni picha yake halisi mkuu
 
Anajua watu wanalaghaika kirahisi. Na kwa kiasi fulani amefanikiwa...
Hizi siasa za aina hii, hazitakiwi kabisa.

Kuna watu kwa sasa wako nyuma ya huu mchezo mchafu katika jamii na watanzania walivyowepesi wa kuamini, kila kitu kwao ni kweli.
 
Mchambuzi,
kuna haja ya kupigana kwa nguvu zaidi na kujizatiti zaidi ili kujihakikishia usalama wako.
1. Wanaoweza kukuhakikishia usalama wako ni haohao wanaotaka kukuua/kukudhuru. Na wametengeneza mazingira ili uone kuwa bila wao huna pa kuegemea. Their first victory is to instll fear in you to the point that you will be running from your own shadow.

2. Kuingiliwa bila ridhaa yako - Hakuna mtu mwenye hati miliki ya Taifa la Tanzania. Kumbuka kwamba akili yako na mawazo yako ndicho kitu binafsi ulicho nacho (na cha kujivunia ) hivyo hakuna mwanadamu yeyote mwenye right of access kichwani mwako/ na usimpe yeyote makazi kichwani mwako - maana hakuna anaeweza kulipa kodi ya pango kichwani mwako (hahahahahah)

Hivyo baada ya kushindwa kuingilia akili yako, wanataka ubadili yale yanayotoka kichwani mwako (yaani wanakuamuru ubadilishe hasa wakikuambia kuwa hawayapendi unayosema/unayoandika/unayosimamia.

Ni vigumu kuamini kuwa utakua salama hata ukihamia chadema maana maadui wa mawazo/misimamo yako wako kila mahali. Naamini kuwa salama yako itatokana na ni kiasi gani utafanikiwa kujizungushia wigo wa wana mapinduzi wenye mawazo,misimamo,mioyo ya kupigania haki (people with convictions around you)kama wewe.

Maadui zako wakijua umezalisha maadui wao, watakutambua kuwa wewe ni sauti ambayo lazima waiheshimu.
 
Hivi CCM hata wazuri wachache waliobaki inataka iwamalize? Hiki chama vipi?
 
Hakuna Lolote hayo yoote ni maigizo ya Mchambuzi tu,yeye ni nani hadi awe tishio kwa chama kikubwa kama ccm? Acha kutafuta umaarufu,vinginevyo umekula vya watu rudisha haraka kabla hawajakurudisha kwa Sir God.
 
Nimeanza nini?

unapopambana vita ya kudai haki zako na za wengine,you have nothing to lose!watawala mafisadi huwa hawakubali mabadiliko yanayotishia ufisadi wao hata siku moja.najua wana nguvu,dola,serikali n.k lakini hata wao walizaliwa na kuvaa nepi kama wewe hivyo una haki ya kuwakosoa na watu wengine pia wana haki ya kushika dola kama wao.endeleza mapambano kaka.siku zote nasema CCM ilikuwa zamani,leo kuna chama kipya ndani yake kikijifanya CCM huku moyoni na kivitendo wakizikana sera zake.wameifikisha nchi pabaya na hakuna haja ya kuwaogopa.carry on brother,give them a fight of their life!
 
Kucha,meno poa tu lakini mambo ya kuliwa tigo ndio balaa. Mkuu ushauri wangu vaa boxers ya chuma.
 
Pole sana ndo tanzania yetu inazama watu hawataki kuambiwa ukweli, hatawaki kukoselewa au kushauriwa.Mtumainie Mungu atakushindisha na adui zako hawatasimama mbele yake
 
Hizi siasa za aina hii, hazitakiwi kabisa.

Kuna watu kwa sasa wako nyuma ya huu mchezo mchafu katika jamii na watanzania walivyowepesi wa kuamini, kila kitu kwao ni kweli.

Tatizo wanasiasa wengine wako TOO desperate na wanajua watu wetu huwa hawajiulizi maswali kabla ya kuamini jambo, na ndio maana wanasiasa hao wanatumia mwanya huo kuwalaghai.
 
Hakuna Lolote hayo yoote ni maigizo ya Mchambuzi tu,yeye ni nani hadi awe tishio kwa chama kikubwa kama ccm? Acha kutafuta umaarufu,vinginevyo umekula vya watu rudisha haraka kabla hawajakurudisha kwa Sir God.

Watu siku hizi hawajiulizi. Kila wanaloambiwa wao wanalikumbatia tu.
Ndio maana kuna jamaa Arusha walidiriki kuja na hadithi eti wametoka Sayari ya Mars!!! Watu wakawaamini na kuona kuwa wamekutana na muujiza!!!
 
nimedokezwa na vyanzo vyangu vya kuaminika sana kuhusu mpango uliopo wa kunidhuru,hivyo niwe makini hasa in the public arena na nimetajiwa wahusika kwa "majina" na "kitaasisi"!

Hutaki Taifa liwafahamu kwa majina hao wanaotaka kukudhuru pamoja na kwamba unawafahamu kwa majina, lakini uko tayari kusema kama maisha yako hatarini.

Kama hii siyo siasa zenye propaganda ya hali ya juu, basi itakuwa ni mikwaruzano binafsi katika maisha.
 
Mkuu, unakumbuka wale mapacha wa Arusha waliosema wametoka sayari ya Mars halafu watu wakawaamini bila kuwauliza maswali ya msingi. Ndio kama huyu member wa JF.
 
Watu siku hizi hawajiulizi. Kila wanaloambiwa wao wanalikumbatia tu.
Ndio maana kuna jamaa Arusha walidiriki kuja na hadithi eti wametoka Sayari ya Mars!!! Watu wakawaamini na kuona kuwa wamekutana na muujiza!!!
Kitu kinachonishangaza kwa Mchambuzi. Madai yake anaitupia taasisi kubwa kama CCM kuwa iko nyuma ya hizi njama wakati huo huo anasema ana majina ya watu wanaodanya mpango huo na taasisi zao kwa maana kuwa wametumwa na CCM.

Kitu gani alichokifanya/anachokifanya cha ajabu sana kisiasa mpaka chama kitake kumdhuru.

Hebu tuwe wakweli hata kidogo.
 
Umaarufu unatafutwa kwa jitihada nyingi kaka. Sasa hivi talk of the town ni wanasiasa kutekwa kwahiyo ukisema unataka kutekwa lazima upate umaarufu.
 
Kitu kinachonishangaza kwa Mchambuzi. Madai yake anaitupia taasisi kubwa kama CCM kuwa iko nyuma ya hizi njama wakati huo huo anasema ana majina ya watu wanaodanya mpango huo na taasisi zao kwa maana kuwa wametumwa na CCM.

Kitu gani alichokifanya/anachokifanya cha ajabu sana kisiasa mpaka chama kitake kumdhuru.

Hebu tuwe wakweli hata kidogo.

Upo nchi hii ndugu au!??
 
Back
Top Bottom