Nimesoma maelezo yako.Ni wazi umeandika taarifa yako ukiwa na jazba kubwa,matokeo yake hujatumia busara.Binafsi nimekupuza kwa vile huna hoja zenye mashiko zaidi ya kulialia. Kabla ya kuandika ulipaswa kutuliza kwanza jazba,huenda ungeeleweka. Kama unawaza kwamba utafanikiwa kukiharibu Chadema umekosea sana. Wasaliti wote wataumbuka ndani ya Chadema.Viva CHADEMA!