Taarifa kwa vyombo vya habari

Taarifa kwa vyombo vya habari

Tamko halitaki waendelee kama wameanza na utangulizi kwenye kujibu tuhuma 11 warejee kwenye kazi za usaliti
 
Nyakarungu kumbe kelele zote ni ni kuta kujua kapu la hela la CDM ili na wewe unufike he he, kumbe mliweka watu wenu kwa malengo hasi sasa mmeshitukiwa mnalia lia eti wajiuzuli wewe kichaa kweli any way nifurahia kuona minyukano hii ndani ya chama kwani onatuimarisha sana kujua nani tupo naye na nani ni adui wetu.
 
Hahahaaa mkuu Ben umeona nyoka wanavyochoropoka?

Moto tuliowasha hauzimwi mpaka nyumba yetu iwe safi na salama.

Mlio wahi kufanya kazi na Nyakarungu;huyu jamaa huwa anatumia viroba?

Maana katoa tamko refu mno lkn ukisema phrase to phrase utagundua kaandika uharo tu!

Wakati anaandika habari hii;was Nyakarungu mentally incompetent because of too much drinking of illicit brew?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Nyakarungu naye anaweza kumtisha mtu? Nyumbani kwao na Nyakarungu ambako ni kwetu pia (wilayani Serengeti) wanachadema hawataki hata kusikia jina lake likitajwa.
Wanamtuhumu kwamba alishirikiana na ccm kupora ushindi wa mgombea ubunge wa Chadema mwl. Ryoba na tuhuma hizo ndizo ziliwafanya vijana wa Mugumu wamzomee kila wakimuona na kumtangazia waziwazi kuwa aachane na nia yake ya kutaka kugombea ubunge kwakuwa kamwe hawatamuunga mkono kwa usaliti aliowafanyia.

Mimi naona huyu bwana mdogo ni wa kuhurumiwa tu kwakuwa anaendekeza njaa hadi kutumia tumbo kufikiri badala ya kichwa.

Cha kuudhi katika sakata hili,wapo ambao UTII wao upo si kwa sababu wanaamin itikadi au maono ya viongozi wao bali kwa sababu MATUMBO yao na mifuko yanawategemea watu hawa.hivyo wamekua watetezi wa kimaslai zaid,siku minofu hiyo ikikatwa watatafuta mahali pengine pa kuegememea
 
Last edited by a moderator:
Comrade Nyakarungu acha siasa za kitoto, unazidi kuwapa wakati mgumu MM, MM1 na MM3. Labda hapa watu waelewe kua wewe uko upande wa wahaini lakini hakuna jipya. Sikio halizidi kichwa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Upuuz mtupu,watanzania hatudanganyiki ng'o na propaganda za mamluki wa ccm

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
sawa BRIGEDIA NYAKARUNGU tumekusoma
 

Attachments

  • 1471091_1421035584793742_1318582811_n.jpg
    1471091_1421035584793742_1318582811_n.jpg
    45.4 KB · Views: 92
Hivi M4C inaendeleaje?

Sasa siyo M4C tena mkuu!!! Inakuja nyingine kali!!! Stay tuned!!! Tena baada ya kuwaondoa masaliti na mahaini!!! Wengine wataondoka wenyewe maana watakuwa sidelined mpaka waone CDM hapafai!!
 
Sasa siyo M4C tena mkuu!!! Inakuja nyingine kali!!! Stay tuned!!! Tena baada ya kuwaondoa masaliti na mahaini!!! Wengine wataondoka wenyewe maana watakuwa sidelined mpaka waone CDM hapafai!!
Hakuna kitu hapo mkuu!
M4C inayoendeshwa na ma-F4F haiwezi kuwa na uhai, stay tuned vile vile.
 
Back
Top Bottom