Taarifa kwa vyombo vya habari

Taarifa kwa vyombo vya habari

Umemaliza kutunga nyimbo? wewe kazi yako kuimba mbona sasa unakuja na tamko? huna msemaji wako kwenye hiyo band yako au na wewe unataka kujulikana?
 
Duh! Ngoja ninunue bundle upya ili niisome na kuitafakari vizuri hii kabla na Mimi sijatoa "Waraka" na "Tamko"!
 
mdogo wangu nyakarungu , pole sana kwa matatizo yaliyokukuta ! binafsi sikujua kama una matatizo makubwa namna hii kimaisha , siku zote hutakiwi kuitegemea siasa ili kujikimu , ona sasa unavyoadhirika !
 
Huyu Nyakarungu ndio yule clinical officer anaedanganya watu yeye ni daktari, bure kabisa
 
Namba anayopiga inatumiwa na wanachadema halali ,tafadhali asubiri zzk,m3, m1,na m2 watimuliwe kwanza kisha ajaribu tena!!
 
Mkuu reputation yake inazidi kuanguka kwa kasi ya kutisha. Ni wa kufukuza tu huyu ili kukiepusha chama na mifarakano chungu nzima yeye akiwa ni kiongozi wa mifarakano hiyo.

Mnamdhalilisha zitto
 
Siasa za vyama zimepitwa na wakati wajameni mpo dunia ya ngapi!? Pamoja na Mtikila kuwatetea hadi mahakama ya haki za binadamu Afrika! Siasa za vyama zilikuwa enzi hizo mgombea binafsi haikuwa inaruhusiwa! Watanganyika tunapenda kuishi uzamani!!!
 
aisee leo nimeshangaa nimepewa photocopy kadhaa za ule waraka wa siri wa ZITO na mtu nisiemjua na kunibia kajisomee umjue. vizuri zito.
 
Brigedia Nyakarungu una Helmet lakini nakushauri uanze kutembea na Helmet hawachelewi kukupiga vitofa hao
 
Last edited by a moderator:
MADARAKA matamu sana lakini usitumie nguvu kiasi hicho. Hata hivyo iliwezekana lini wanachama wote wakawa viongozi?
 
Nyakarungu and the gang.

Chadema, Cuf, Nccr and other parties vilianzishwa kutokana na watu kuwa na itikadi tofauti na Ccm. Baadhi ya waanzilishi wa hivi vyama na wanachama wao walikuwa Ccm.

Sasa wewe na masalia wenzako ambao mmeona Chadema inaendeshwa tofauti na matarajio yenu kwa nini msianzishe chama chenu na mamilioni ya wanachama mnaoamini hawapendezwi na uongozi wa Chadema?

Nyie mnaotaka instant mabadiliko mtakuwa virusi wenye nia ya kukiua chama.

Mnatia kinyaa.
 
Last edited by a moderator:
Nyakarungu ndo nin tena,toa hapa ujuha wako huo cc haohao ndo 2lowapa iman na imekuwa afadhal umejtokeza ondoken m2achie Chadema yetu.
 
Eheee!! Niko Chadema miaka nenda rudi lakini ndio nakusikia leo. ebu tuondolee uchafu wako
 
Kule kwetu mganga wa kienyeji alikuwa akiipiga tu ngoma mtaani, mchawi yeyote atakayesikia mlio wa ngoma lazima aibuke kutoka huko aliko kuifuata ngoma, kwa hiyo baada ya muda mfupi tu mtakuta wachawi wameizunguka ngoma wanacheza, basi wanakamatwa kama kuku wa kisasa, na anaanza kunyolewa nywele mchawi mmoja baada ya mwingine

Baada ya Zitto na Kitila kuvuliwa uongozi, mtaona wachawi wengi tu wanaibuka wenyewe, hata wale waliokuwa sio maarufu, ili mradi wameusikia mlio wa ngoma. Kamateni huyu mwingine!
 
Back
Top Bottom