kajirita
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,575
- 637
Kijana imesema mengi afu yanamaaana sana kwa mtu mwenye akil zake timamu na asie fungamana na siasa za maji taka,mie Kiboko mkuuu naungana naww katka hili,vijana weng mmeshikwa maskio hasa na utendaj wa kigoi goi wa huyo DJ akil ndogo,mie simuin hata kdogo na ndo maaana watanzania walio weng bdo hawaaamin katka siasa za upinzan zaid ya kuwahabikia huku kwenye social media,amken hebu tuyatafute hayo mabadiliko kwa hawa wezi wanafk wanaotumia mwanya wa kuijua chadema mapema kutuibia pesa na kutusababishia vifo sisi wenyewe huku wakilitupia lawama jesh la polis na chama tawala,amken vjana wenzangu achen kuuuyumbishwa na misemo yak ya kishetani.....chadema haiwez shika dolo ikiwa chima ya watu hawa hakika naapa
Mbowe,Slaaa,Lissu na mzeee Mtei
We Kalia kuisema Chadema tu!Unajua umeme upanda kwa 68%?CDM ndo wameupandisha?Unajua kuna wachina wanachukua kazi za wazawa kwa kukosekana kwa sheria za kuwabana wageni?Je CDM inahusikaje hapo?Unajua kuna viongozi wa serikali wameficha mabilioni ya pesa chafu nje?Unajua kuwa kuna mikataba 12 ya siri iliyoingia serikali na wachina bila kujua tutafaidika vipi?
Unajua kuwa tembo wamepungua kutokana na viongozi wa serikali ya CCM kujihusisha na ujangili?Je unajua kuwa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM wanajihusisha na biashara ya 'unga'?
Umeona haya yanafanywa na wanaCHADEMA na viongozi wao?
Wewe utakuwa ni mmoja unaofaidika na ushenzi unaofanywa na serikali hii!
Lakini jiandae mwisho wenu umekaribia!