bro wenye akili na wasio wanafiki tu ndo tumekuelewa saaaaaaaaaaaaaaana saaaaaaaaaaana kaka_tupo pamoja, uliyoyasema yote ndiyo hata mim ningeambiwa kueleza ningefanya hivyo ingawa wewe umefanya kwa uwezo na weledi mkubwa sana sana sana kaka_hongera, siku moja nimemwambia Ulimboka na Kubenea ni issue za kutaka Public Attention ya mambo ya Siasa na Milipuko ya Arusha lakin hakuna aliyeniunga mkono_nashukuru mwaka baadae nakupata wewe unaelezea yale yale, nimefurah sana kwa Analysis yako ya hali ya juu sana kaka