Taarifa kwa vyombo vya habari

Taarifa kwa vyombo vya habari

Wewe Nyakarungu mjinga sana, tena huna akili hata kidogo, jaribu kuja mikoani kwenye ofisi za chadema uone kama hataambulia kipigo!!

sijui unaota! au unawaza kupitia ma------?

Wewe sio chadema na chadema sio wewe.

Tafuta chama chako uende huko au anzisha chako, mmeona mipango yenu ipo uchi wa mnyama na lengo lenu limejulikana, Chadema haina mwanachama yeyote anayeitwa Nyakarungu.
 
Huyu Brigedia Nyakarungu ana wadhifa gani humo cdm?
 
The usual suspects, another Masalia-esque pollution. Zitto tunawaona vijana wako wakitekeleza kazi ulizowapa.
 
Shetani kaingia chadema hatoki peke yake ngoma inogile sasa kesho slaa lazima alipuke mbowe naye akirudi kutoka dubai kuuza mali zake naye lazima atoe tamko baadaye lema naye atatoa tamko lake safi lakini ndiyo demokrasia.
 
Ndugu wanahabari BLAAH BLAAH BLAAH ,Kibwagizo kimekaa kimagamba magamba hv
 
Brigadia Nyakarungu una Demokrasia iliyochanganyikiwa kichwani kwako.
Umeishawasiliana na Msajili kuhusu azma yako hiyo ya UASI wa Bandika Bandua Viongozi ndani ya Chama.....???
Utaratibu gani huo wa Chama kujifanyia mambo bila taratibu na kanuni za Chama,kisa unataka jambo lako litimizwe kwa gharama yoyote ile...??? Kumbuka hiki ni Chama cha siasa halali kilichosajiliwa na Msajili wa Vyama kwa KUZINGATIA KATIBA YAKE YA CHAMA...!!!
Nafikiri huu mzima wewe,unamatatizo ya kisaikolojia.......jipambanue mwenyewe kwanza...!!!
 
Wewe Nyakarungu mjinga sana, tena huna akili hata kidogo, jaribu kuja mikoani kwenye ofisi za chadema uone kama hataambulia kipigo!!

sijui unaota! au unawaza kupitia ma------?

Wewe sio chadema na chadema sio wewe.

Tafuta chama chako uende huko au anzisha chako, mmeona mipango yenu ipo uchi wa mnyama na lengo lenu limejulikana, Chadema haina mwanachama yeyote anayeitwa Nyakarungu.

Huyu dogo sio mzima kichwani, nilimuona ni mwaka juzi sijui mtaani mchana wa juakali amewasha taa ya chemli nikajua tayari zinambangua..
 
Watu wa hii nchi wana 'ample' time nyingi sana. Sijui ndiyo maana maendeleo ya nchi yanasuasua?

Well said, kazi kushabikia siasa tu, mambo ya msingi hatushabikii, mfano kupinga kupanda kwa gharama za umeme, elimu duni, kupanda nauli, maisha magumu n.k
 
Naona usalama wa tf, zitt na mkumb wako kazini kwa mara nyingine, acheni kutufanya sisi watoto wadogo mchezo mnaocheza tumeshaujua mnatengeneza mazingira ya ajali. We are ahead in every step

Wewe ni mmoja wa wanufaika ambao mnalelewa na akina Mbowe. Una haki ya kusema hayo
 
Ingeanza kwa kufanya mikutano kwanza na kama mikutano yako ingeleta impact ungeitwa na CC ya chedema au Uongozi ili muweze kufanya compromise. Ila kwa kutishia hvi utaishia kutoa matamko tu.
 
Na wakiondoka wote si mtazidi kutafunana wenyewe kwa wenyewe. Dhambi ya ubaguzi itazidi kuwatafuna
issue hapa ni kuwa hawatakubali kutoka inavyoonekana na kama Bregidia alivodai wataenda mikoani wakisimika watu wao kwenye matawi ya cdm na kuwatoa wale wa Team mbowe na team slaa.

Hizo siku tano zimelenga kupre empt zile 14 za kamati kuu ya cdm.
 
Back
Top Bottom