Taarifa kwa vyombo vya habari

Taarifa kwa vyombo vya habari

dah hugawa najiuliza vizur mnaosema mbowe anang'ang'a nia ruzuku za chama mna jua kweli mh mbowe jamaa c mchumia tumbo kama huyu nyakarungu jamaaa ni don kitambo jamaa ana cash ya kutosha sasa eti unataka kuwadanganya wasiojua kwamba mh mbowe analilia ruzuku za chama may.b kwa lingineh bt hil la pesa cdhan kama mbowe ananjaaa kiasi hicho chama kinakidi kibaki kwa mtu makin kama yeye atuvushe salama 2015 njie maskin mnao lia lia nyie ndo mnatuharibia chama
hichi ulicho kiandika hapa ni kichekesho eti unatoa siku tano hahahah -------- utamjua kwa upumbavu wake yan umejipinda umekaaa umepoyeza muda wako eti unaandaaa hekaya/tamko la kipuuz namna hii nimecheka sana hii hadithi bro mwache zitto ajinusuru mwenyewe katika hili mnavoendelea hvyi ndo mna mwaribia inaonesha kama mmetumwa ua too small for this bro cdm ni taasisis sas c mbowe unaemchafulia

Mkuu waache waendelee, Kwani waenga walishanena "UKICHEZEA MOTO................................"
 
Nyakarungu nakuelewa sana.mtu asiyeijua chadema ataona unaropoka lakini sasa hivi lazima ukweli ujulikane na hakika Haki na Ukweli lazima vitashinda.Yaani watu wote waliokifia chama leo ni maluki kisa tu unasema ukweli hivyo automatically huwezi kuwa kambi ya Mbowe.Mimi naamini katika nguvu ya umma kama tunavyoihubiri na hakika kwenye chama nguvu ya umma itafanya kweli kwenye yote.Mie yangu macho nasubiri kabla na mie sijaamua kutia mkono wangu

FirstLady umemuona kamanda wa pale tengeru analia heti mods wa ufute uzi kwa kuwa umeeleza ukweli hasa kuhusu mwenyekiti wa chadema baunsa.
 
Last edited by a moderator:

Learn how to criticize things and make sense in every word that comes out of your mind before expose it to us.

----!!
 
Nyakarungu nakuelewa sana.mtu asiyeijua chadema ataona unaropoka lakini sasa hivi lazima ukweli ujulikane na hakika Haki na Ukweli lazima vitashinda.Yaani watu wote waliokifia chama leo ni maluki kisa tu unasema ukweli hivyo automatically huwezi kuwa kambi ya Mbowe.Mimi naamini katika nguvu ya umma kama tunavyoihubiri na hakika kwenye chama nguvu ya umma itafanya kweli kwenye yote.Mie yangu macho nasubiri kabla na mie sijaamua kutia mkono wangu

FirstLady umemuona kamanda wa pale tengeru analia heti mods wa ufute uzi kwa kuwa umeeleza ukweli hasa kuhusu mwenyekiti wa chadema baunsa.
 
Last edited by a moderator:
Hv wewe si ndie unaelipwa na ZZK posho ya 150,000/= uichafue CHADEMA?Mwambie Zitto hilo dau ni dogo sana ukilinganisha na kazi unayofanya!Yaani yeye anachukua 250,000,000/= kwa wiki halafu wewe unapata kiasi hicho?Si U.b.o.y.a. huo?
Yaani unaisaliti CDM kwa hela ya maandazi?
Halafu kama wewe ni brigedia nani ni kanali kwenye kundi lenu la uasi?Kitila Mkumbo au Juliana Shonza?
 
Ahaaaaaa!! Hiki cheo BRIGEDIA sasa kinatumiwa mpaka na watu wa mipasho. Ahaaa!! mi nachokiona we unamuhujumu Zitto. Nyakarungu,!! Nyakarungu!! Kama uliwahi kufanya kazi katika idara ya Uenezi CDM basi kweli CDM haina Human Resource. Mimi nilisoma leo kuwa M2 leo ataongea na waandishi nikatoka kwenye mizunguko yangu nakuta kumbe ni Nyakarungu
 
Wewe ndio unanuka tena unanuka hiyo ................................... yako.

Bavichaa manjulikana. Wala hamtustui. Msome mwenzenu huyu:
BRIGEDIA NYAKARUNGU NATOA SIKU TANO (5) HADI TAREHE MOJA DECEMBER MWAKA HUU KUWATAKA VIONGOZI WALIONDOLEWA KUREJEA KWENYE NAFASI ZAO NA ENDAPO WATAPUUZA TUTAANZA MIKUTANO YA HADHARA KUWASIMIKA VIONGZOI WAPYA NA KILA KONA YA WATANZANIA WATAJUA JUA HILI!

Imetolea na BRIGEDIA NYAKARUNGU,
Mkuu wa kikosi cha kuisaka Demokrasia Chadema.
 
...NATOA SIKU TANO (5) HADI TAREHE MOJA DECEMBER MWAKA HUU KUWATAKA VIONGOZI WALIONDOLEWA KUREJEA KWENYE NAFASI ZAO NA ENDAPO WATAPUUZA TUTAANZA MIKUTANO YA HADHARA KUWASIMIKA VIONGZOI WAPYA NA KILA KONA YA WATANZANIA WATAJUA JUA HILI!

Ndugu yangu na mdogo wangu Nyakarungu sina sababu yoyote ya kumung'unya maneno katika hili, hii kazi unayofikiria kwamba unaweza kuifanya umeshashindwa kabla haujaianza. Huu muda unaotaka kupoteza pengine ungepaswa kuutumia kwa ajili ya shughuli nyengine za uzalishaji mali lakini bahati mbaya umechagua shughuli itakayokupotezea muda wako bure. Ni bahati mbaya sana kwamba katika karne hii na wakati huu kuna vijana waliobahatika kusoma hadi viwango vya vyuo vikuu kwamba wanawaza kupata uongozi kwa kujinasibisha na ukabila ama udini. Ni afadhali ungejenga hoja nyingine pengine ungeeleweka lakini hili la kujenga hoja katika dhana ya ukabila haitawasaidia kuwafikisha popote. Na mimi nina uhakika mojawapo ya mikoa ambayo hautaungwa mkono kabisa ni nyumbani kwetu Mara na ukitaka kupata uhakika wa hili nakuomba ukaanzie hii operation yako nyumbani Mugumu kisha ndipo uende mahali kwingine.
 
Last edited by a moderator:
Kazi mnayo mwaka huu Nyakarungu, kama mnataka mabadiliko fwateni utaratibu wa CHAMA na mkiona hampewi nafasi anzisheni chama chenu au nendeni CCM au chama kingine. CHAMA ni BORA kuliko mtu ndani ya chama chetu.
 
Umesema umetoa siku tano?.....Tumeziweka kwenye kumbukumbu zetu
 
Jamii Forums sasa inapoteza hadhi yake kabisa. Sijui hao mamoderator wanafanya kazi ipi siku hizi, maana hili jukwaa limekuwa la kubomoa na sio kujenga.

MKUU WA KAYA unayasema hayo kwakuwa uzi huu umeruhusiwa?kipi cha kubomoa kwenye uzi huo?

Kipi cha uongo kwenye huu uzi?au kwa sababu habari ni mbaya kwa chadema?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom