Taarab kwa wanaume

Taarab kwa wanaume

Taarab haichezwi hiyo ni rusha roho uisemayo. Taarab mtu anakaa anasikiliza ala na mashairi mwanana.

Upo hapo ulipo?

Pata kitu hiki:

[video=youtube_share;Kvx1nkRi2mA]http://youtu.be/Kvx1nkRi2mA[/video]

FaizaFoxy ha ha haaa umetoa na kawimbo kabisa
 
Ukiisoma post hii ya mtoa mada unaweza kujua bila shaka vifuatavyo 1.Elimu ya mtoa mada 2.Umri wa mtoa mada 3.Tabia ya mtoa mada

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mie mtu anasikikiliza hip hop namuona mwehuu, mvuta bangi n.k
 
Mi sidhani km mwanaume akipenda, akishabikia au akicheza na hata akiimba mziki wa taarabu ana kasoro.

Mziki wowote unategemeana ndo unoge....hakuna mziki uchezwao au upendwao na jinsia moja afu ukanoga. Na k

Mtazamo wangu
 
Wewe una matatizo ya akili!!wapi palipoandikwa huu ni mziki wa kike na huu ni wa kiume! !jaribu kufuatilia asili ya kitu kabla ya kuja hapa na kulopoka .!!

umepanic brother ...alafu kwenye kiswahili hakuna neno
kulopoka kuna kuropoka
 
watoto mchele mchele hao dume zima na mzuzu wake kidevuni anacheza taarabu akiwa kazungukwa na kundi la wanawake...allahu akbar
 
Labda mtoa mada hajui ilipoanzia taarab, kundi la kwanza la Taarab lilikuwa ni kundi la wanaume watupu, likiitwa Nadi Ikhwani Safaa na kiongozi wake alikuwa Muhamed Ibrahin miaka ya mwanzoni ya 1900 huko Zanzibar. Katika muziki huu wanaume waliotamba ni pamoja na Juma Bhalo, Issa Matona, Aly Star, Abdul Misambano, Mzee Yusuph, marehemu Kijoti na kadhalika. Sasa hayo ya walakini sijui yanatoka wapi...
 
naichukia taarabu,nawachukia wanaoiimba,nawachukia wanao sikiliza .mi mziki wa waislam na wanawake hasa wa mikoa ya pwan na zanzibar
 
We jamaa umeongea point tupu. Sasa vidole juu na mwanaume wapi na wapi. Nyimbo zao ni kupondana tu. Uksikilza taarabu lazma uwe mbea na mwanaume hutakiwi kuwa hvyo. Na mashoga wengi wanapenda taarabu.
Hutaki unaacha!

Ukimuona mwanamme au mwanamke wa aina hiyo ujuwe ni walewale was.enge na wasagaji.

By the way, alama ya chadema ni kunyanyua vidole juu, halafu nasikia hawajalaani kabisa maneno ya Cameroon. Kulikoni?
 
naichukia taarabu,nawachukia wanaoiimba,nawachukia wanao sikiliza .mi mziki wa waislam na wanawake hasa wa mikoa ya pwan na zanzibar

Iliandikwa wapi taarab ni mziki wa waislam?
 
Jamani wanaume wengi kinachowapeleka show za taarabu ni jinsi wanawake wanavyocheza mziki huu. Hujiulizi kwanini muda wa mduara wanaume hukaa nyuma ya wanawake??
 
Wewe una matatizo ya akili!!wapi palipoandikwa huu ni mziki wa kike na huu ni wa kiume! !jaribu kufuatilia asili ya kitu kabla ya kuja hapa na kulopoka .!!

mkuu hebu tupe historia ya muziki huu. Mwanaume mzima utakataje mauno ukicheza muziki uliosheheni mashairi ya kiumbea (kike), masimango na ushakunaku?
 
Ukiisoma post hii ya mtoa mada unaweza kujua bila shaka vifuatavyo 1.Elimu ya mtoa mada 2.Umri wa mtoa mada 3.Tabia ya mtoa mada

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

fafanua kauli zako. Inaonekana wewe ndiye mwenye hizo tabia za kike. Imekugusa?
 
watoto mchele mchele hao dume zima na mzuzu wake kidevuni anacheza taarabu akiwa kazungukwa na kundi la wanawake...allahu akbar

kaka umeona eeh?
 
Taarabu ni wowowo. sasa mwanaume hajisifu kwa kalio, hii ni yakina mama kompletely, hutaki unaacha
 
asilimia 99 ya wanaume wanaopenda taarabu uwa ni wa liberal /bwaba /punga /si riziki/sodoma /gomora etc
 
Kila daladala ninayopanda dereva wake anaachia muziki huu wa kibwabwa tangu mwanzo hadi mwisho wa safari. Nikipitisha jicho na kumuona dereva nakuta ni mwanamume mzima na midevu tele kidevuni mwake! Yaani natamani nishuke nimlime makonzi na kupasulia mbali mispika ya redio yake.

Siku moja nikaishiwa uzalendo nikamuambia dereva azime muziki wake. Mijianaume kibao tu ndani ya basi hilo ikaguna na kumuomba dereva aendelee na muziki wake. Nikaona isiwe taabu...nikashuka nikapanda gari nyingine. Siwezi kusikilizishwa miziki ya kichoko mie. Naweza kuvumilia kusikilizishwa bongofleva (muziki wa kibangebange) kuliko kusikilizishwa taarab ya kichoko!

Nitaanza kampeni ya kuharibu spika za redio za magari ya daladala mpaka kieleweke. Nimewahi kuharibu spika na kukata nyaya za redio kwenye daladala kwa sababu tu ya kulazimishwa kusikiliza muziki huu wa kishetwani.
 
Hitilafu gan umeiona ww,?? Mzee yusuph ana wake 3, na ana watoto kama 4 hvi, na ndo muimbaji wa taarabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom