Taarab kwa wanaume

Taarab kwa wanaume

We mwanaume unasikilza ule umbea wa kna h.kopa wanini? Unaenda kunyosha vidole na kukata mauno ili iweje! Mwanaume na taarabu wapi na wapi kama sio uliberali huo?
 
Ukimuona mwanaume yeyote mwenye akili zilizo timia na bila kushurutishwa na mtu yeyote, anashabikia na kucheza muziki wa taarab ujue kwamba kuna hitilafu kichwani mwake.

Hili suala nimekuwa nikilitafakari kwa muda mrefu, hasa ikizingatiwa kwamba taarab ni muziki wa kike, nimekuja kugundua kwamba wanaume wanaoshobokea taarab wana walakini kwenye mbongo zao. Tena utakuta wanaume hao wapo kwenye mduara na wanakata mauno kisawasawa huku wakinyoosha vidole vyao juu! Lahaulah!

je wanaoimba kama sehemu ya kaz naooo???
 
nadhan mtoa maada ameangalia mambo mawili,kwanza aina ya muziki wenyewe umejaa mipasho ambapo si tabia za wanaume, pili mashabiki wake walio wengi ni wanawake
 
We jamaa umeongea point tupu. Sasa vidole juu na mwanaume wapi na wapi. Nyimbo zao ni kupondana tu. Uksikilza taarabu lazma uwe mbea na mwanaume hutakiwi kuwa hvyo. Na mashoga wengi wanapenda taarabu.
Hutaki unaacha!
Mimi naunga mkono hoja. Mimi kwa ujumla sipendi taarabu sababu kwa hizo chache ambazo niliwahi kuzisikiliza kwa "bahati mbaya" ni maneno ya kupondana, kutambiana, kuoneana gele, kutetana na mambo ya kipuuzi tu na hasa kuhusiana na mapenzi. Utakuta mtu anasema "kanipenda mimi wewe kaa kando", "huwezi kumchukua huyo ni wangu" yaani ni kama mashindano ya wanawake kugombania wanaume. Kwa hiyo nikiona mwanaume anashabikia taarabu kwa kweli simuelewi hata kidogo. Na hata hao wanawake wanaoshabikia muziki huo wala siwaelewi ningekuwa nina uwezo ningeupiga marufuku maana wanaendekeza ujinga tu badala ya kufanya mambo ya maana.
 
Labda mtoa mada hajui ilipoanzia taarab, kundi la kwanza la Taarab lilikuwa ni kundi la wanaume watupu, likiitwa Nadi Ikhwani Safaa na kiongozi wake alikuwa Muhamed Ibrahin miaka ya mwanzoni ya 1900 huko Zanzibar. Katika muziki huu wanaume waliotamba ni pamoja na Juma Bhalo, Issa Matona, Aly Star, Abdul Misambano, Mzee Yusuph, marehemu Kijoti na kadhalika. Sasa hayo ya walakini sijui yanatoka wapi...
Pamoja na kwamba sikuwahi kusikiliza hizo nyimbo walizoimba hao ulioorodhesha lakini sidhani kama wanaimba maneno ya kipuuzi kama wanayoimba hawa wataarabu wa sasa hivi, nyimbo za kugombea wanaume
 
Wewe una matatizo ya akili!!wapi palipoandikwa huu ni mziki wa kike na huu ni wa kiume! !jaribu kufuatilia asili ya kitu kabla ya kuja hapa na kulopoka .!!
kwiih wanaoushabikia wanajua walifanyalo,hamna anaeropoka hapa,mwanaume na taarab wap na wap?achen mambo ya ki...*
 
inawezekana kuna tatizo, kwanini useme .ni muziki wa kike tu,Jesus .ni kwa miaka hii au tangu .zamani !?
mkuu kabanga,me namsapoti huyu jamaa,ckiliza wanachokiimba humo ndani af fananisha na tabia za wabongo wepi wanapenda izo stor?
 
nadhan mtoa maada ameangalia mambo mawili,kwanza aina ya muziki wenyewe umejaa mipasho ambapo si tabia za wanaume, pili mashabiki wake walio wengi ni wanawake

yeah man! Halafu nyimbo nyingi za taarab zinaongelea ngono pamoja na stori za kuchukuliana waume. Sasa umkute mwanaume yupo kwenye mduara kafunga msuli ananyonga kiuno na kunyoosha vidole juu, nani kamchukulia 'bwana'? Wanaume wanaopenda taarab ni mabwabwa tu!
 
Aluta continua! Na leo tena nimeharibu nyaya na spika za dereva aliyekuwa analazimisha kuwasikilizisha wanaume muziki huu wa kichoko. Nimepanda daladala moja ikawa inapiga muziki huo...bahati nzuri spika yake ilikuwa chini ya viti vya abiria...nilichofanya ni kupasua lispika na kukata minyaya yote, muziki wote kwishney! Eeehee...ndiyo maanake! Kama bado konda nd dereva wanaendekeza hizo homoni zao za kike, wapaki gari wakatengeneze muziki wao. Nimewatia hasara ya maana tu!
 
Sidhani kama mtoa mada yupo sahihi juu ya hilo. Jaribu kwanza kuitafuta asili ya huo muziki ndipo utajuwa!
Huu ni ubaguzi tu, muziki hauna jinsia. Fikiria hapa kwetu akina Ngurumo wameisha imba wimbo wa 'Mfaume wanitesa' sasa je wanawalakini?
 
Sitashangaa...siku nyingine..ukisema ...hawa jamaa wanaokula senene, panya, mbwa, samaki, mchicha (chakula ya ng'ombe), tumbili,nyoka,popo (akina Drogba wanapenda kitoweo hii) na kadhalika wana matatizo
 
umefanya uchunguzi wa kutosha?!umefuatilia asili ya taarabu?!inawezekana kwa muonekano wa nje hoja yako inaweza ikawq assumed kuwa kweli, lakini kwa bahati nzuri nilipata kutembea maeneo nje ya tanzania ambapo taarab inaimbwa ni tofauti sana na hiyo taarab ua traventine na kumbi nyingine hapo dar.Kaka case study yako ilikuwa tanzania au dar pekee yake inaweza kuwa kweli ila kama unazungumzia muziki wa taarab naona kama ume-generalize mno
 
Ukimuona mwanaume yeyote mwenye akili zilizo timia na bila kushurutishwa na mtu yeyote, anashabikia na kucheza muziki wa taarab ujue kwamba kuna hitilafu kichwani mwake.

Hili suala nimekuwa nikilitafakari kwa muda mrefu, hasa ikizingatiwa kwamba taarab ni muziki wa kike, nimekuja kugundua kwamba wanaume wanaoshobokea taarab wana walakini kwenye mbongo zao. Tena utakuta wanaume hao wapo kwenye mduara na wanakata mauno kisawasawa huku wakinyoosha vidole vyao juu! Lahaulah!
Pia Ongezea nyimbo za injili kuimbwa na kuchezwa kama NDOMBOLO ya solo
 
Taarabu ni nyimbo za kike sitakaa kupenda taarabu hata siku moja...shame on you mnaopenda taarabu mipasho ya kike.
 
Wanaumee wanaopenda Taarab ni wambeya weng wao..!!

Regards,
Jonathan.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom