Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,631
Ushoga unakuja kwa kasi sana! Wahanga ni watoto wetu wa kiume. Unajua kwa nini?
Ni kwa sababu tumewatelekeza watoto wa kiume. Nguvu nyingi tumeelekeza kwa watoto wa kike.
Kuwainua watoto wa kike ni jambo zuri. Ila itafaa nini ukiwa na jamii ya wanawake imara bila wanaume imara?
Wanaume kama mademu ni hasara kwa jamii. Leo hii kuna watoto wa kiume ukiwaangalia unabaki kuona aibu mwenyewe uliyewatazama.
Hawajulikani kirahisi. Ni wanaume au wanawake! Kuanzia kusema kwao, kuvaa kwao na kutembea kwao wamepoteza uanaume.
Hebu chukua hizi dozi 24 uwaanzishie watoto wako wa kiume uone kama utakosa riziki. Mtoto shoga siyo riziki tena!
Dozi ya 1
Mwanao wa kiume akija nyumbani akasema kuna msichana anamsumbua kila siku, anasema anampenda mchape viboko vingi.
Dozi ya 2
Mfundishe mtoto wako wa kiume mfumo dume japokuwa dunia inaulaani. Mwambie yeye ni mtawala popote aendapo! Mfumo dume ni mpango wa Mungu maana hata vitabu vitakatifu vinautukuza.
Dozi ya 3
Msisitize mwanao ajue yeye ni wa kiume na aachane na michezo ya kike. Ukimuona anacheza position ya kike kwenye michezo ya utotoni mchape sana.
Dozi ya 4
Mmezeshe mwanao wa kiume sumu ya kuchukia kuguswa hata kidogo na mwanaume mwenzake. Mwanaume atakayemgusa amuwakie.
Dozi ya 5
Mpige marufuku mtoto wako wa kiume kupaka mafuta yenye picha ya kike. Mlishe sumu kuchukia tabia ya kuwa na mafuta tofauti tofuati, mafuta ya kucha, nywele, ngozi, uso na poda kwa mbali. Mwambie ikiwezekana apake hata korie asepe😀😀
Dozi ya 6
Mfundishe mtoto wako wa kiume kuwa ngangari, kutolia akianguka na kuumia. Hata maji ya kuoga mwambie wanaume wanaoga maji ya baridi😀😀😀! Na wanaoga usiku tu baada ya kazi!🫢🫢🫢
Dozi ya 7
Mlishe sumu mwanao wa kiume ya kuacha kula kula vitu laini, ale vigumu, siku nyingine apige ugali bila mboga! Agonge mahindi ya kuchoma, miwa, karanga na akimaliza afute mdomo na kushushia maji ya baridi aende darasani.
Dozi ya 8
Mtengenezee mazingira ya kuchukia kukaa jikoni na mama yake na kupikapika. Hata moto asiote na dada zake wakati wa baridi. Akoke moto wake nje!
Dozi ya 9
Akioga asikubali kujifutia kanga ya mama yake. Hata kujifunga kanga kwenda kuoga mwambie no.
Dozi ya 10
Mlishe sumu mwanao wa kiume popote anapokwenda asikubali kulala na wageni wa kiume. Na aachane na tabia za kuomba anunuliwe nguo za kulalia!😀😀
Dozi ya 11
Mwambie mtoto wako wa kiume akiitwa majina ya kubebishwa na kukumbatiwa kumbatiwa akatae. Mwambie yeye siyo baby boy, yete ni mwanaume. Sisi tulifundishwa hivyo Milambo Sekondari. Tulifundishwa kujiita wanaume.
Dozi ya 12
Mwambie mtoto wa kiume marufuku kudeka. Akipigwa asilie. Akaze meno. Akija nyumbani analia mchape ili anyamaze.
Dozi ya 13
Ukimkuta mtoto wako wa kiume jikoni anasugua masufuria na kukuna nazi mpige. Mbinuko wa kukuna nazi kwa mtoto wa kiume hauna mwisho mwema!
Dozi ya 14
Mtoto wako akivaa suruali inayobana halafu fupi mpe mboko nyingi. Hata mlegezo mpe bakora.
Dozi ya 15
Mpe mtoto wako wa kiume pocket money na usimuulize aliitumia kufanya nini. Kikubwa mfundishe kwamba mwanaume halisi hulipa bili, halipiwi bili.
Dozi ya 16
Mtoto wako wa kiume akianza kutumia maneno kama jamoni,thatha, na kuongea anabana sauti mpe mboko za kutosha.
Dozi ya 17
Mtoto wako wa kiume akianza kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzake mpige aisee!
Dozi ya 18
Mtoto o wa kiume kulilia afanyiwe birthday kama dada zake hapana.Akililia mpige. Ukiona ameandika my birthday is loading mpe viboko!
Dozi ya 19
Ukiona mtoto wako wa kiume anaangalia tamthilia badala ya mpira, mieleka, mbio za magari na taarifa ya habari mpe makofi ya mgongoni.
Dozi ya 20
Ukiona mtoto wako wa kiume kitu kidogo anacheka mpaka anakaa chini mpe mabanzi. Lakini akiwa mtu wa kuzira na kususa mtandike pia. Mwambie mwanaume hasusi!
Dozi ya 21
Ukiona mwanao wa kiume anacheza muziki kwa kuzungusha mauno kama feni na kuinua vidole juu na ulimi nje mpe fimbo nyingi.
Dozi ya 22
Marufuku mtoto wa kiume kukaa geti kali. Mfundishe ubabe. Mwambie mwanaume halisi hashindi nyumbani, anashinda kazini. Mpe kazi za kufanya nje ya nyumbani!
Dozi ya 23
Ukisikia mtoto wako wa kiume analalamika kwamba watoto wa kike wanamuomba hela mtandike halafu mwambie mtoto wa kike lazima atunzwe😀😀.
Dozi ya 24
Ukiona mtoto wako wa kiume anawaomba hela wadada mtandike sana, ikiwezekana siku hiyo alale njaa.
Jaribu hizi dozi uone kama hujaisaidia jamii kwa kutuongezea wanaume wa nguvu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.