Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 908
Kuna thread nimeiona jana inasema bado siku 30. Sasa sijui nani yupo sahihi! Kama siku zimekisha basi tuamini tu kuwa ulikuwa usanii mwingine wa ccm maana chama kimejaa usanii mtupu. Vilevile ni failure nyingine ya ccm katika kuongoza chama chao na nchi kwa ujumla!
Hizo 30 zingine zilikuwa ni za Mukama baada ya kuziruka 90 za Nappy.