Mfano huoHiyo mifuko sijaiona ikoje?? Picha tafadhali
Ndo itajuwa mwusho wa me kwenda sokoni na dukani kwa mangi!!!Vikapu tu vitahusika..
Binafsi sijaitumia ila nimefanikiwa kuiona sehemu mbalimbali ikiuzwa kwa wingi sana.
Nilipojaribu kuichunguza kwa makini nilipata walakini kama inaweza kuhifadhi mboga kwa usalama na isiwe na matokeo mabaya kwa mbebaji. Niliona pia kutakuwa kuna tatizo kwa wale wanapima unga wa kula kwa kilo, sioni kama mifuko ile ni rafiki kwa kuhifadhi ili utoke nao dukani hadi nyumbani (mliofanikiwa kuiona nadhani mlijiuliza swali hilo pia) lakini nikajiuliza wamama wanaobeba mchele toka sokoni hadi nyumbani pia kutakuwa kuna hitilafu kidogo kwenye chakula chao.
Mifuko ile ni ya nyuzinyuzi na sio karatasi (japo sijui kama imethibitiswa au ni watu wanatumia fursa).
Kwa haraka haraka nimeona ile inafaa kubebea nguo ukitoka dukani ila si mboga ama chakula cha kupima.(mliotumia nisahihisheni kama nipo tofauti).
Hili swala lisichuliwe kirahisi, linahitaji umakini sana kuendelea kulinda afya za watu na mazingira kiujumla.
Tusijekuwa tunamwita Dulla badala ya Abdalah.
Beba sufuria mkuu ukienda kuchukua nyama....Unanaje ule nfuko ukiubebea nyama ama samaki?
so ukifika unanunua mfuko badala ya nyama alaf unarud zako chiiiiiTunapoelekea mfuko unaweza uzwa kwa bei ghali kuliko nyama unayoenda kununua
Dunia haijawahi ishiwa vituko
hivi kondomu sio mfuko wa plastiki ?!so ukifika unanunua mfuko badala ya nyama alaf unarud zako chiiiii
Kuna foil paper mkuu... Na mifuko ya khaki piaWale wa chipsi za kufunga tutanyooka!!!!
Kijijini wapiKijijini kwetu huku bado hatujaona hata mfuko mmoja unaoitwa mbadala wa plastic,,
Tunawaomba wasambazaji watukumbuke huku pia
Ipo mifuko Mbadala Ambayo ni ya paper na ndan yake inatengenezwa na plastics nyepes. Wale wanaosafir kwenda Zanzibar kwa bot za azam wanajuwaWale wasafiri wa route ya njombe songea hadi songea masasi wajiandae tu kutapikiwa kwasababu hakuna namna
Hapanahivi kondomu sio mfuko wa plastiki ?!
Pia kwabla 1990 Smartphone hazikuwepo, je ndio imaanishe unaweza kuishi tu bila smart kwasababu hiyo.Mkuu kabla ya mwaka 1990 ulikuwa unatambaa?
Masoko yalikuwepo na maisha yalikuwepo bila ya 'rambo' .Tulitumia mifuko ya khaki.
Hahahaha vifungashio vya matapishi.hapo umeeleweka, turud tena kwenye point, je kuna vifungashio vya matapishi
Moja ya point kubwa sana kwenye Uzi huu, pia ni fursa.Mfuko wowote wa nailoni unaweza kutumika kama kifungashio, hivyo inaweza ikatengenezwa na kuwekwa nembo maalum ya kuashiria kwamba hii ni kwa ajili ya kutapikia tu, hivyo ukikutwa umebebea bidhaa au ipo dukani au gengeni utashikwa na kuchukuliwa hatua, ila ikikutwa ndani ya basi au boti hakuna shida.
Mkuu ukipoteza hivyo vitendea kazi vilivyobuniwa kurahisisha maisha ya mwanadamu unaweza kuishi bila shaka. Kama ni mawasiliano utatembea kwa miguu kupeleka habari.Pia kwabla 1990 Smartphone hazikuwepo, je ndio imaanishe unaweza kuishi tu bila smart kwasababu hiyo.
Inafaa kufungiwa chipsi yaiMfano huo
Nawaajiri watakuja kwako kukupa habari za ajira | unapozungumzia mawasiliano ni broad area don't think small.Mkuu ukipoteza hivyo vitendea kazi vilivyobuniwa kurahisisha maisha ya mwanadamu unaweza kuishi bila shaka. Kama ni mawasiliano utatembea kwa miguu kupeleka habari.