Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Mimi huwa nawadai kwa upanga!😱Hivi unikopeshe kabisa halafu uje kunidai????
Kweli
Sio haki walah
Mimi huwa nawadai kwa upanga!😱Hivi unikopeshe kabisa halafu uje kunidai????
Kweli
Sio haki walah
Cha ajabu ni kwamba, mnavyotufikiria kuwa ni wa ajabu wanawake nao wanawafikiria hivyo hivyo.
Hili swala la kuchangia pato la familia humu jf mnaliexagerate sana ilihali hali halisi huko nje ni tofauti kabisaaaa!! Sijui kwanini mnatumia nguvu sana kuiaminisha jamii tofauti.
Wanawake wanakatishwa tamaa na wanaume maana unakuta mtu anajitoa100% lakini maisha yakibadilika anakunjua makucha, mwanaume sasa ndio michepuko inaanza na fujo za kila aina,hapo sasa ndio anagundua aliyemuoa hakuwa chaguo lake. Ndio maana ukikuta kwenye familia mwanamke amemute ujue kuna jambo.
Mie hata uje na bunduki silipi.......Mimi huwa nawadai kwa upanga!😱
Kuliko nihudumie mwanamke mwenzangu ni bora tubaki na hiyo laki mbili.Umenena.......
Unajitoa weeeee
Halafu anaenda spend kwengine
I've been alone with you
Inside my mind
And in my dreams I've kissed your lips
A thousand times
I sometimes see you
Pass outside my door
Hello! Kasinde
Is it me you're looking for?
I can see it in your eyes
I can see it in your smile
You're all I've ever wanted
And my arms are open wide
'cause you know just what to say
And you know just what to do
And I want to tell you so much
I love you
I long to see the sunlight in your hair
And tell you time and time again
How much I care
Sometimes I feel my heart will overflow
Hello! Kasinde
I've just got to let you know
'cause I wonder where you are
And I wonder what you do
Are you somewhere feeling lonely?
But let me start by saying I love you...
Wanaume wengii ni watoaji mnoo hela Mwanamke usipojifunza kubana ikitokea dharula ndo umuhimu ya ile hela utakapo one kana. Sidhani wote kama wanabana kwa kukomoaKwanini lakini?
Sio wote wanawaza vipodozi. Ndo maana ukikuta nyumba isiyo imara lawama atatupiwa mama. Mumewe alikuwa na hela wakashindwa kujenga hapo lawama kwa mwanamke. Tunaficha kwa malengo mkuu sio vipodozi tuuMipango gani?Kwenda kununua vipodozi ndo unaita mipango??
![]()