Swali la weekend kwa wanafamilia...

Swali la weekend kwa wanafamilia...

Nasi ajabu angekuwa kwenye ndoa angejibu tofauti
Nahisi hawa ndugu zetu tunafanana nao kwa kuwa tupo jamii moja ya 'wanadamu' lakini kiukweli ME na KE hatulingani, tofauti si mbaya wala nzuri lakini hatulingani.

Utaweza ukapanga kushirikiana naye kufanya kitu halafu baada ya muda utashangaa keshabadilisha gear.

Wengi wao hawana msimamo, wanabadilika kulingana na position walizopo......tena walio olewa ndo wasumbufu kuliko wanaowinda ndoa.
KE akiwa single anacheza game hadi utahisi una date malaika, baada ya ndoa anakunjua makucha yake.

Ni wachache sana wanaoweza kuishi mutual life, ila wengi wao ni parasite bila kujali kama wanauwezo kuliko wewe.
 
Mkuu mkeo akichepuka haimaanishi wanawake wote wanachepuka, mkeo asipochangia pato la familia haimanishi pia kuwa wanawake wote hawachangii.
Mimi ni observer wa yanayotokea, nawaona jinsi watu wanavyohangaika na misalaba yao wanayoita pingu za maisha.....ndoa zenye furaha ni chache mno,....nyingi ni matatizo matupu.

Si kwenye mgawanyo wa vipato wala uaminifu, kila part ya ndoa ni vurugu tupu.....Kwangu sidhani kama ndoa ni sehemu salama.
 
Kipato cha familia hapo ni elfu hamsini, usiniulize kwanini
 
Nahisi hawa ndugu zetu tunafanana nao kwa kuwa tupo jamii moja ya 'wanadamu' lakini kiukweli ME na KE hatulingani, tofauti si mbaya wala nzuri lakini hatulingani.

Utaweza ukapanga kushirikiana naye kufanya kitu halafu baada ya muda utashangaa keshabadilisha gear.

Wengi wao hawana msimamo, wanabadilika kulingana na position walizopo......tena walio olewa ndo wasumbufu kuliko wanaowinda ndoa.
KE akiwa single anacheza game hadi utahisi una date malaika, baada ya ndoa anakunjua makucha yake.

Ni wachache sana wanaoweza kuishi mutual life, ila wengi wao ni parasite bila kujali kama wanauwezo kuliko wewe.
Cha ajabu ni kwamba, mnavyotufikiria kuwa ni wa ajabu wanawake nao wanawafikiria hivyo hivyo.
Hili swala la kuchangia pato la familia humu jf mnaliexagerate sana ilihali hali halisi huko nje ni tofauti kabisaaaa!! Sijui kwanini mnatumia nguvu sana kuiaminisha jamii tofauti.

Wanawake wanakatishwa tamaa na wanaume maana unakuta mtu anajitoa100% lakini maisha yakibadilika anakunjua makucha, mwanaume sasa ndio michepuko inaanza na fujo za kila aina,hapo sasa ndio anagundua aliyemuoa hakuwa chaguo lake. Ndio maana ukikuta kwenye familia mwanamke amemute ujue kuna jambo.
 
Mimi ni observer wa yanayotokea, nawaona jinsi watu wanavyohangaika na misalaba yao wanayoita pingu za maisha.....ndoa zenye furaha ni chache mno,....nyingi ni matatizo matupu.

Si kwenye mgawanyo wa vipato wala uaminifu, kila part ya ndoa ni vurugu tupu.....Kwangu sidhani kama ndoa ni sehemu salama.
Na unafikiri kwanini unaobserve hayo mabaya tuuu??
 
Wewe mwanaume una laki mbili

Na mkeo ana laki tano....

Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?

Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..

hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Mkuu The Boss,mke ni wako pesa ni zako na watoto kama wapo ni wako so mna laki7.except kama mke si sehemu ya familia ambayo ni yako na inaitwa kwa jina lako. Kama kuna masahihisho yawe na hoja.karibuni.
 
Kipato cha familia ni kwa maana zitatumika kwa familia
kama mmoja kila akipata ni matumizi yake binafsi basi haiwezi kuwa kipato cha familia

Mkuu The Boss,

Nnavyoelewa mimi ni kwamba kama mnaulizwa kwamba kipato rasmi cha familia au "official household income" basi ni hizo laki saba 700,000Tshs.

Hiyo inaweza kuwa ni suali la kujibu kutaka mkopo au masuala ya kupanga bajeti ya familia au masuala mengine ya uchambuzi wa kipato yanayoitwa kwa kiingereza "assessment".

Halafu kuna makato ya kila mtu kabla ya matumizi ambapo kwa mfano baba anaweza kutoa 100,000 na mama 300,000 ili zile 400,000 za matumizi ya familia yaani household expenses kwa mwezi.

Hii ni kwa kuzingatia kuna tatizo la kupungua kipato kwa baba na hivyo mama anajitosa kwa muda kutoa hizo 300,000 wakati baba akijitahidi kupata angalau 1,000,000 kwa mwezi.

Ila baba huwezi kuwa unaingiza 200,000 katika nyumba kila mwezi ni lazima kuna tatizo mahala.
 
Lakini mbili full stop... Hizo laki tano ni kwa huruma zake tu aamue kuchangia...
 
Cha ajabu ni kwamba, mnavyotufikiria kuwa ni wa ajabu wanawake nao wanawafikiria hivyo hivyo.
Hili swala la kuchangia pato la familia humu jfnaliexagerate sana ilihali hali halisibhuko nje ni tofauti kabisaaaa!! Sijui kwanini mnatumia nguvu sana kuiaminishavjamii tofauti.

Wanawake wanakatishwa tamaa na wanaume maana unakuta mtu anajitoa100% lakini maisha yakibadilika anakunjua makucha, mwanaume sasa ndio michepuko inaanza na fujo za kila aina,hapo sasa ndio anagundua aliyemuoa hakuwa chaguo lake. Ndio maana ukikuta kwenye familia mwanamke amemute ujue kuna jambo.
Ndo maana nikasema mwanaume kuishi pamoja na mwanamke siyo lelema,......we are identical but not equal.
Kuna sehemu utakuta mwanaume ndo anayezingua, mke anatoa chote anachopata lakini mwanaume anaishia kuhonga kwingine.
Au mwanaume anajitoa kikamilifu lakini mwanamke anamwangusha,....matatizo ya ndoa kwa ujumla yanachangiwa na watu wote, wake kwa waume.......kuna ndoa zinazotatizwa na ME na zingine na KE.

Kuingia kwenye ndoa na mtu usiyefahamiana naye vizuri ni sababu ya kuwa na uchumba wa muda mfupi na usio na udadisi kwa kila mmoja.
Mtu umemdate kwa miezi mitatu ana anza kuulizia ndoa, hasa wanawake.By the time mmeshafunga ndoa kila mtu anaonesha rangi halisi na ndoa inageuka kuwa pili pili machoni. Hapo ndio wanandoa wanapotafuta michepuko ya kuwafariji kutokana na matatizo ya ndoa.

Kuhusu mimi kuona mambo kwenye ndoa nizionazo, naona mambo chanya na hasi lakini hasi niyashuhudiayo ni critical kuliko chanya.
 
Mkuu The Boss,

Nnavyoelewa mimi ni kwamba kama mnaulizwa kwamba kipato rasmi cha familia au "official household income" basi ni hizo laki saba 700,000Tshs.

Hiyo inaweza kuwa ni suali la kujibu kutaka mkopo au masuala ya kupanga bajeti ya familia au masuala mengine ya uchambuzi wa kipato yanayoitwa kwa kiingereza "assessment".

Halafu kuna makato ya kila mtu kabla ya matumizi ambapo kwa mfano baba anaweza kutoa 100,000 na mama 300,000 ili zile 400,000 za matumizi ya familia yaani household expenses kwa mwezi.

Hii ni kwa kuzingatia kuna tatizo la kupungua kipato kwa baba na hivyo mama anajitosa kwa muda kutoa hizo 300,000 wakati baba akijitahidi kupata angalau 1,000,000 kwa mwezi.

Ila baba huwezi kuwa unaingiza 200,000 katika nyumba kila mwezi ni lazima kuna tatizo mahala.

Hiyo laki mbili na laki saba tumeweka kama mfano

so inaweza kuwa kipato cha baba ni milioni 2
na cha mama ni milioni 5
swali hili lililenga kwa uzoefu wa ndoa zetu na jinsi ambavyo wanawake wengi
wanachukulia pesa zao ni zao tu...na za familia ni jukumu la baba...
so majibu ni kwa mujibu wa ndoa za watu..na nafikiri umeona watu wengi wamejibu laki mbili
 
Ndo maana nikasema mwanaume kuishi pamoja na mwanamke siyo lelema,......we are identical but not equal.
Kuna sehemu utakuta mwanaume ndo anayezingua, mke anatoa chote anachopata lakini mwanaume anaishia kuhonga kwingine.
Au mwanaume anajitoa kikamilifu lakini mwanamke anamwangusha,....matatizo ya ndoa kwa ujumla yanachangiwa na watu wote, wake kwa waume.......kuna ndoa zinazotatizwa na ME na zingine na KE.

Kuingia kwenye ndoa na mtu usiyefahamiana naye vizuri ni sababu ya kuwa na uchumba wa muda mfupi na usio na udadisi kwa kila mmoja.
Mtu umemdate kwa miezi mitatu ana anza kuulizia ndoa, hasa wanawake.By the time mmeshafunga ndoa kila mtu anaonesha rangi halisi na ndoa inageuka kuwa pili pili machoni. Hapo ndio wanandoa wanapotafuta michepuko ya kuwafariji kutokana na matatizo ya ndoa.

Kuhusu mimi kuona mambo kwenye ndoa nizionazo, naona mambo chanya na hasi lakini hasi niyashuhudiayo ni critical kuliko chanya.
Matatizo ya kwenye ndoa yanasababishwa na wote na hii inaanzia na msingi wa mahusiano yaliyopelekea ndoa. Mkikosea hapo tarajia kushuhudia mabaya tuuu, ila pia usitegemee katika ndoa utashuhudia mazuri tuu hakuna kitu kama hicho, no one is perfect.

Kwahiyo kutakuwa na kukwazana na kufurahishana pia,cha msingi ni kutambua namna bora ya kudeal na changamoto zenu. Ni msingi mliojijengea ndio utakaokuwa namna bora ya kutatua matatizo yenu.

Emagine kuishi na mzazi wako tu ni changamoto,vipi kuhusu binadamu mlokutana ukubwani? Ni kuomba tu umpate wa kufanana nae ambae mtaivana na kuweza kuchukuliana. Ukibugi ndio ule msemo wa kosea kujenga nyumba ila usikosee kuoa/kuolewa.
 
Mkuu The Boss,mke ni wako pesa ni zako na watoto kama wapo ni wako so mna laki7.except kama mke si sehemu ya familia ambayo ni yako na inaitwa kwa jina lako. Kama kuna masahihisho yawe na hoja.karibuni.

Mke anaweza kuwa wako lakini mshahara wake ukabaki wake..
ndo maana unaona watu wengi wanajibu laki mbili
 
Wewe mwanaume una laki mbili

Na mkeo ana laki tano....

Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?

Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..

hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Wewe mwanaume una laki mbili

Na mkeo ana laki tano....

Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?

Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..

hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Laki Saba mkuu. Kwani a family is like a company (mama n.a. Baba ni wanahisa tu)
 
Back
Top Bottom