homo sapiens
Senior Member
- Nov 5, 2016
- 162
- 172
Labda wewe mwenzetu ni mudhungu, muulizaji analenga Muafrika mwenyeji wa Tanzania. Hapo familia ina akiba ya laki mbili tu kibindoni, si kama napenda bali sheria yetu ya ndoa inamtwika mume majukumu yote ya kugharamia ndoa, mke anayo hiyari kuchangia ama la! Sheria haimbani.inategemeana na mfumo wao wa ndoa.
kwani kuna ndoa zingine zinaona hela ya baba ndio ya familia na ya mke ni ya mke.
lakini zingine kama yangu ni kwamba hela ya mke ni yetu na hela ya mme ni yetu .hivyo tunaziweka pamoja na kufanyia jambo la kimaendeleo kama tunavyopanga pamoja.
ni mtazamo wa familia yetu maana kila mtu ana ndoa yake.
hivyo inaweza kuwa laki mbili au milioni tano na laki mbili kulingana na mfumo tajwa hapo juu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mmeingia kwenye ndoa mkiwa na roho zenu mbaya na ubinafsi, endeleeni kugawana hivyo vihela vyenu vidogo vidogo.
Hamjui mnaishi kwaajili ya nani.
Mnajua kutuonea!!Pamoja na pesa yao kutoonekana unakuta kaleta ndugu zake kibao kwako na anatala uwasaidie. Wao huamini za mwanaume ndo pesa a zao ni karatasi.
Hivi alowapelekea wawe wabinafsi hivyo ni akina nani?Then mkiji mnasema.mnataka mwanamke anayejali. Kiujumla tuna wake lakini walio wengi ni wabinafsi. Ni bora mwanaume uweke wazi sehemu ya kipato na nyingine haitakiwi kujulikana maana utaleta expectations za matumizi ya hela uliyonayo ma mara nyingi interest kunwa zikiwa ni za ke.
Hivi haya mnayoyaongea ndio yanayotokea kwenye hizo familia zenu au ni assumptions tu!![emoji134] [emoji134] [emoji134]Jumla ni laki mbili kwenye matumizi ya familia, mwanamke hata kama Ana million wewe Una 50,000/= ni lazima utoe hela ya matumizi kwaajili ya familia
Duuuh!!Wanawake wa siku hizi hata wacha mungu hawasomeki
Mkuu kila kitu kiwe hadharani kama ni cha familia hata vikoba na vipodozi maana hata ya bia name itatolewa hapo hapo,Pia kama nikusave kwa emergency lazima ziwepo hadharani tujue tunasave sh ngapi pia!Kwa hiyo nikitaka niende vicoba, sherehe, labda nna vipodozi vimeniishia, nahitaji kutengeneza nywele na vingine natakiwa niombe hela? yaani hiyo milion 4 niliyotoa utakua ujaridhika nayo? Kingine ambacho unaeza usijue wanawake lazima tubakishe hela ya emergency likitokea tatizo lolote lile, so hiyo milion 1 usistuke kuona sijaitoa inaeza kuja kusave baadae
Hujajibu swali bro [HASHTAG]#stunter[/HASHTAG]Familia itaparaganyika kwa dharau za mke kwa mumewe
Namaanisha hata hizo hela zilizopo huyo mwanamke hatozihesabu kama ni helaHujajibu swali bro [HASHTAG]#stunter[/HASHTAG]
Haha atakununia hujampa hela ya kula ila ana million tano hahaNamaanisha hata hizo hela zilizopo huyo mwanamke hatozihesabu kama ni hela
Nakataa mkuu, sio watu wote wanakwenda Bar na Club. Kwa wengine hizo sehemu hawaingii kabisa. Mkuu kumbuka kwamba ukitaka kuchuma "zabibu" ni lazima uende ulipo mzabibu, huwezi kuchuma zabibu kwenye "mchongoma"!wanaokwenda club ijumaa ndio hao hao wanaokwenda kanisani jumapili.
so pa kukutana sio ishu... bar tunaenda jioni na kanisani asubuhi.. ila watu ni wale wale
Sijasema ni tusi, ila umewaunganisha wanawake 'wa siku hizi' wote.'hawasomeki' sio tusi
ni opinion tu na sio lazima niwe right