Swali la uzushi, nani anatakiwa kusema asante?

Niache kuwaza ng'ombe wangu wameishiwa majani , niwaze asante?

kongosho unashangaza kwani ng'ombe akishiba majani na wewe hamu ya tendo la ndoa inakuwa imeisha? kila kitu kina mahali pake mapenzi ni mapenzi na ng'ombe anamahali pake kama wa maana sana mbona unalala na mkeo/mumeo kitanda kimoja lakini ngombe unamuweka nje banda la mbaaali na chumba ulalacho?
 
nijuavyo mimi asante ni neno la kiungwana kuonyesha kuridhika na kushukuru so mnapaswa kupeana asana nyote kwani tendo lile halikufanywa na mtu mmooja
 
Aliye enjoy sana hadi anagugumia au hata 'kulia' ndio anayepaswa kusema hasante!
 
kweli ni asante ya ukweli au unafiki? maana kazi kama imetendeka kisawasawa ni uchovu na jasho lisiloelezeka
 
Hakuna formular ukiwa umekunwa vya kutosha lo neno hutoka kama chafya tuu!
Ni sawa na ndelemo za furaha azitoazo mkunwaji wakati wa tukio humtoka tuu sio kwa kupenda ila ile RAHA aipatayo
 
Mwanaume hawezi sema asante, mwanamke coz hufaidi 75% ya game kuliko mwanaume, so mwanamke ndo anatakiwa kutoa shukrani.
 
kama mwenzangu anafaidi robo tatu ya raha atoe asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom