gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
The Boss ni kweli unalosema has aukikumbuka kwamba mtoto mjeuri ni mzigo wa mamaye bali mtoto mwenye hekima ni fahari ya baba yake. maisha yana changamoto sna waalim wa wanetu si wazazi na waalim tu bali kuna mwl dunia huyu ana nguvu kuliko mwl na mzazi na nguvu yake inaushwishi wa hali ya juu.wanasema kuzaa sio kazi, kazi kulea
ni ngumu sana kushindana na mwl dunia usipokuwa mtu wa maombi na ambaye ni mfano pia usipokuwa rafiki wa mwanao.
Last edited by a moderator: