gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
siku zote tuwalee watoto kwenye misingi na maadili ya kidini. istoshe wazazi tujitahidi kuwaelimisha zaid wanetu juu ya maisha halisi na siyo maisha ya maigizo. tusiangalie uwezo tulio nao sisi wazazi na kuuchorea mfereji kwamba hata akimess up still ataish kama mfalme ama malkia. tuwajengee wanetu uwezo wa kujiamini na kujitambua na uwezo wa kujitegemea kifikra na kimatendo. tuwape uwezo wa kufanya kazi na kujifunza na zaidi tuwatie moyo sana wanapojifunza.
tusione maisha ya wengine walioyachagua kama ni bora zaid tukasahau kwamba maisha bora ni yale yanayoleta sura ya uwajibikaji wa dhati wenye tija na heshima kwa jamii.
tusione maisha ya wengine walioyachagua kama ni bora zaid tukasahau kwamba maisha bora ni yale yanayoleta sura ya uwajibikaji wa dhati wenye tija na heshima kwa jamii.