Swali kwa wazazi: Binti yako akianza kukomaaa...

wanasema kuzaa sio kazi, kazi kulea
The Boss ni kweli unalosema has aukikumbuka kwamba mtoto mjeuri ni mzigo wa mamaye bali mtoto mwenye hekima ni fahari ya baba yake. maisha yana changamoto sna waalim wa wanetu si wazazi na waalim tu bali kuna mwl dunia huyu ana nguvu kuliko mwl na mzazi na nguvu yake inaushwishi wa hali ya juu.

ni ngumu sana kushindana na mwl dunia usipokuwa mtu wa maombi na ambaye ni mfano pia usipokuwa rafiki wa mwanao.
 
Last edited by a moderator:

familia ikimuweka mungu mbele
mengi magumu yanakuwa mepesi..
 
familia ikimuweka mungu mbele
mengi magumu yanakuwa mepesi..

ni kweli kabisa boss.
halafu kuna jambo ambalo wengi wetu ni wavivu kulifanya nalo ni kuwaombea watoto kwa kufunga na kuwapandia sadaka ya mbegu. ingawa sijui ibilisi hujua nguvu ya sadaka hii na kwakua anapenda akushinde basi anakupa uvivu yaani nashindwaga kujua kwann wengi wetu tu wavivu wa sadaka za kupanda kwaajili ya watoto wetu.

ni vizuri sana baba na mama wakajijengea utaratibu huu wataona matunda yake
 
ila tuongeee habari ya watoto tumalize!hivi hapa mauser wa hii thread naona wengi ni wanandoa!kulikoni mpka sa hivi mko JF?
i for one sipo nyumbani
wengine?
 
ni kweli kabisa boss.
halafu kuna jambo ambalo wengi wetu ni wavivu kulifanya nalo ni kuwaombea watoto kwa kufunga na kuwapandia sadaka ya mbegu. ingawa sijui ibilisi hujua nguvu ya sadaka hii na kwakua anapenda akushinde basi anakupa uvivu yaani nashindwaga kujua kwann wengi wetu tu wavivu wa sadaka za kupanda kwaajili ya watoto wetu.

ni vizuri sana baba na mama wakajijengea utaratibu huu wataona matunda yake
Hii sadaka ya kupanda kama mbegu ndio inakuaje? DESI??
 
hapana sio desi. ila ni sadaka ambayo mtu huitoa nje ya zaka na sadaka ya shukuran. sadaka hii huitwa MBEGU na neno lake utalipata katika wakorinto. unapoipanda(unapoitoa) unanena wazi kwamba naipanda sadaka hii kwa ajili ya kitu fulan (unataja iwe ni mtoto, mke, kazi, kipato, shamba................nk) kwa kuamini kwamba kila apandae mbegu huota hivyo basi namimi (taja jina lako) naipanda ili iote na nivune zaid na zadi ( taja unachotaka kuvuna).

ukweli Mungu huangalia sadaka na huiotesha, hadi mwombaji akafurah na kupata moyo wa shukurani.
 
Nomaaaaaa!!! Halafu Wazazi wengi huruhusu wavulana walete maGF wao nyumbani lakini thubutu binti afanye hivyo!!! atajuuuuuuuuta!!!....mfumo dume ulivyoshamiri.

sio rahisi hivo bana!
we ulikuwa unaweza?
sio ulikuwa unatupa mawe juu ya bati wewe?uliwahi kwenda kwao na kumuulizia?
 
Hiv at 17? God forbid oooh!

Umenena vyema kuhusu tabia ya mama especially. Hata kama mama alikosea its ok kuongea na binti na kumuambia majuto yako. Lakini kuwa na open communication na loving family inasaidia sana, mtoto hahitaji upendo wa maamuma. Openness ni pamoja na kuongelea kuhusu mimba na stds, i guess bila kushauri kuhusu kinga zake na family planning. Ni muhimu kuongelea how i miss being a kid, like waking up and only have to face a maths test rather than all these responsibilities.
ila kama nikihakikisha binti keshaanza kuliwa kabisa, najua hawezi kuacha, nitamhamasisha atumie ndomu kwa kwenda mbele.

Sitaki kuzika mwanangu aisee, hasa akiwa mdogo let say 17 kisa miwaya ama katoa mimba.

Na nitakuwa wazi, akipata mimba sehemu salama ya kusemea ni kwangu hata kabla ya kumweleza bazazi wake.

Afu mie nadhani mwanagu akianza mapema, nitamtafutia kabisa mtu nayeona anamfaa hadi atakapokua na kuamua kujichagulia wake.
 
Hiv at 17? God forbid oooh!

Umenena vyema kuhusu tabia ya mama especially. Hata kama mama alikosea its ok kuongea na binti na kumuambia majuto yako. Lakini kuwa na open communication na loving family inasaidia sana, mtoto hahitaji upendo wa maamuma. Openness ni pamoja na kuongelea kuhusu mimba na stds, i guess bila kushauri kuhusu kinga zake na family planning. Ni muhimu kuongelea how i miss being a kid, like waking up and only have to face a maths test rather than all these responsibilities.

Ndo maana wewe ni komando!

Yaani huogopi namba a.k.a maths?

Ila tuache utani, haya ni mambo mazito sana.
 
Nomaaaaaa!!! Halafu Wazazi wengi huruhusu wavulana walete maGF wao nyumbani lakini thubutu binti afanye hivyo!!! atajuuuuuuuuta!!!....mfumo dume ulivyoshamiri.

Mie hata awe boy sitaki!

Watu tunavyopenda kujipima, unaweza kuwasiki wanapiga game ukaanza kujipinganisha na dogo. Unajua kama kakuzidi mapigo anaweza kukushusha TBS...lol!!
 
hahaha, babu acha hizo banaa. mie enzi hizo nilikuwa najua hata nikifeli if it ever happens, kwani watanichinja? nilipojitutumua haswa na kuhama nyumbani bila approval ya mdingi, nikamuuliza baba na mama; mliwezaje kuweka ugali mezani kila siku, day in day out??? Namaanisha nitamuonyesha mwanangu kuwa kama unadhani inabidi utembee na mwalimu au mkaka mkali class ili upate kufaulu, ngoja udakishwe mimba au ukimwi ndo utajua maharage ni mboga ya serikali.

sidhani kama ni magumu kiasi hicho, mie sipati ugumu kuongea na watoto labda kwa sababu sijawa nao bado. lakini kama mamangu aliweza, na ilinisaidia haswaa, sioni kwa nini nishindwe.

Ndo maana wewe ni komando!

Yaani huogopi namba a.k.a maths?

Ila tuache utani, haya ni mambo mazito sana.
 
He he he he, Babu, ujue hizi bhange tu ndo zinatatiza

Kuna mbegu ikipandwa kwa watoto na wazazi wao, huwa inawasaidia kuvuka kipindi kile kigumu
Angalau afikie hata 18 tu.

Seriously, ujue kweli mtaani kwangu wananitegemea sana kwa mashauri, tena nafuatwa na wazee wa mtaa, full busara Konnie.

Hivi ni wewe Kongosho yule yule wa juzi, jana na leo mchana?

Haki ya nani sumu ya Zombie inakaribia ya Green mamba....

Kwenye huu uzi unaongea kama mwenyekiti wa akina mama kwenye jumuiya ya Mtakatifu Kaunga!!

Babu DC!!
 
Sio ngumu kabisa kuongea na mtoto wako mwenyewe

Ila tunachojisahau ni lini uanze kuongea naye
Wengine wanadhani ni pale anapoanza balehe, wengine pale anapoonekana kutaka kuanza mahusiano, wengine pale anapoanza mahusiano.

Bahati mbaya ama nzuri, mtoto alinishangaza akiwa na miaka 3.5, kidogo nipanic
Nikaenda kulala kwanza kuficha hamaki usoni, baadae nikaanza kumuuliza anieleze kwa kirefu
Basi kuanzia siku hiyo anapokea darasa mara kwa mara kwa dozi ndogo ndogo
Afu na shule za kisasa, daraa la kwanza, mtoto anafundishwa mambo meengi, inabidi mzazi uende na mtaala wa mtoto pia.
SIoni mantiki ya kuongea na mtoto kuhusu std akiwa 12, wakati alifundishwa hayo akiwa 7 shuleni, hapa ndio unajikuta mtoto anakupiga lecture, afu mzazi unaonekana huna jipya.

Wakati unasubiri mwanao afike 12 ndio uanze kuongea naye, unakuta dunia ishamfundisha mengi mno
watoto wenyewe tunawaacha na ndugu mara hausi gelo, kumbe hausi gelo ana kibuzi ki shamba boy cha jirani
Wao wanaongea kila kitu mbele ya mtoto wakidhani hasikii ama haelewi
hahaha, babu acha hizo banaa. mie enzi hizo nilikuwa najua hata nikifeli if it ever happens, kwani watanichinja? nilipojitutumua haswa na kuhama nyumbani bila approval ya mdingi, nikamuuliza baba na mama; mliwezaje kuweka ugali mezani kila siku, day in day out??? Namaanisha nitamuonyesha mwanangu kuwa kama unadhani inabidi utembee na mwalimu au mkaka mkali class ili upate kufaulu, ngoja udakishwe mimba au ukimwi ndo utajua maharage ni mboga ya serikali.

sidhani kama ni magumu kiasi hicho, mie sipati ugumu kuongea na watoto labda kwa sababu sijawa nao bado. lakini kama mamangu aliweza, na ilinisaidia haswaa, sioni kwa nini nishindwe.
 
hahaha, babu acha hizo banaa. mie enzi hizo nilikuwa najua hata nikifeli if it ever happens, kwani watanichinja? nilipojitutumua haswa na kuhama nyumbani bila approval ya mdingi, nikamuuliza baba na mama; mliwezaje kuweka ugali mezani kila siku, day in day out??? Namaanisha nitamuonyesha mwanangu kuwa kama unadhani inabidi utembee na mwalimu au mkaka mkali class ili upate kufaulu, ngoja udakishwe mimba au ukimwi ndo utajua maharage ni mboga ya serikali.

sidhani kama ni magumu kiasi hicho, mie sipati ugumu kuongea na watoto labda kwa sababu sijawa nao bado. lakini kama mamangu aliweza, na ilinisaidia haswaa, sioni kwa nini nishindwe.

Nautamani ujasiri wako, manake miye nagonganisha meno ati. Mtoto wangu wa kiume ana miaka 9, ilitokea mbwa wetu akazaa, basi akaniambia..mama, niliwahi kukuuliza wapi watoto wanapatikana hukuniambia, sasa leo niambie, hawa mbwa wamefanya nini mpaka hawa watoto wamepatikana? This is because I saw them doing something and am not sure......Sasa nikajiuliza, je nilitakiwa nielezee? I wish angekuwa amefikia balehe, ningepata nafasi nzuri ya kumwambia, but is 9 yrs ok kumuelezea the process? Huu ulezi na utandawazi mbona tunakoma?
 
HAKUNA KITU NAKIHOFIA KWA BINTI ZANGU KAMA USICHANA! MI HUONGEA NAYE SANA, KUHUSU UKIMWI, STD'S NA MIMBA! HUMWAMBIA MADHARA YA VYOTEEEEEEE! NA LA KWANZA KABISA HUMWAMBIA UTANIFICHA MIMI LAKINI MUNGU ALIYE SIRINI ANAONA! NIMEJENGA KUMUOGOPA MUMGU KUPITA MAELEZO,

Na lazima kusali, kwenda kanisani na kukaa kwa heshima wakati wa ibada, kusali rosary ye na wadogo zake kila jioni, sunday skul ni lazima si ombi, hasa kipindi cha malezi ya vijana, huwa nampeleka dad yake anamrudia!! na huwa 'DAD WAKE HUMWAMBIA HAKUNA MWANAUME ATAKUPENDA HAPA DUNIANI ZAIDI YANGU!'

WAKIKWAMBIA WEWE NI MZURI, mwambie dad yangu aliuona uzuri wangu kitamboooooooooooo!! NA TUMEMWAMBIA NO KUZINI AU KUFANYA KITU CHOCHOTE CHA WAKUBWA KABLA YA KUOLEWA! BE PROUD KUWA A VIRGIN, BEAUTIFUL, BRIGHT YOUNG LADY! MTU WAKO WA KWANZA KUKUGUSA AWE MUMEO, PERIOD!

NAJUA anaweza kuanza kabla tunalitambua hilo, lakini TUNAJITAHIDI KUWEKA MAZINGIRA YA KWAMBA HAKUNA KUANZA KABLA, Tena dad wake humtolea mfano kuwa mimi na yeye tulioana ndiyo mambo mengine yakafuata baada ya KUPATA DEGREE!! SO KWANZA FIGHT KUSOMA KWA BIDII, UFIKE UNIVERSITY, UPATE DEGREE NDIYO UANZE KUWAZA HAYO MAMBO MENGINE!!

Jmani wazazi wenzangu, TALKING TO THEM IS VERY IMPORTANT, SIO ONCE IN A YEAR, HAPANA!! Kila upatapo nafasi na watoto wako, have a talk with them!!!

MUNGU WETU AWALINDE WATOTO WETU NA KUTUKUZIA, amen!
 
Sio ngumu kabisa kuongea na mtoto wako mwenyewe

Ila tunachojisahau ni lini uanze kuongea naye
Wengine wanadhani ni pale anapoanza balehe, wengine pale anapoonekana kutaka kuanza mahusiano, wengine pale anapoanza mahusiano.

Bahati mbaya ama nzuri, mtoto alinishangaza akiwa na miaka 3.5, kidogo nipanic
Nikaenda kulala kwanza kuficha hamaki usoni, baadae nikaanza kumuuliza anieleze kwa kirefu
Basi kuanzia siku hiyo anapokea darasa mara kwa mara kwa dozi ndogo ndogo
Afu na shule za kisasa, daraa la kwanza, mtoto anafundishwa mambo meengi, inabidi mzazi uende na mtaala wa mtoto pia.
SIoni mantiki ya kuongea na mtoto kuhusu std akiwa 12, wakati alifundishwa hayo akiwa 7 shuleni, hapa ndio unajikuta mtoto anakupiga lecture, afu mzazi unaonekana huna jipya.

Wakati unasubiri mwanao afike 12 ndio uanze kuongea naye, unakuta dunia ishamfundisha mengi mno
watoto wenyewe tunawaacha na ndugu mara hausi gelo, kumbe hausi gelo ana kibuzi ki shamba boy cha jirani
Wao wanaongea kila kitu mbele ya mtoto wakidhani hasikii ama haelewi
Kongosho umenikumbusha jambo hapa, juu ya curriculum za watoto wa kileo. i do remember i also participated in curriculum development ya lower classes ambayo iko sokoni kwa sasa. nakumbuka tukiwa kwenye ile panel tulipata utata sana wa kwann tuinvolve ishu za kuujua mwili wako kwa watoto wadogo, na habari za magonjwa hasa ya ukimwi nk.

tulijiuliza maswali mengi sana mojawapo likiwa je ni lini waanze kufundishwa?? na je delaying itakuwa na impact gani zaid?? uzuri kuna vijana walikuwa wamefanya study chini ya department ya psychology juu ya childhood development ilitufungua macho sana. na ndio sababu tulisema wazi the earlier the better.

wanavyofundishwa sasa shulen hasa kg na grade 1 ni mainly parts of the body, na healthy. na hapa juu ya afya wanafunzwa magonjwa kwa makundi yao yaani yakuambukiza na yasiyokuwa yakuambukiza. na yale ambayo yanahitaji elimu ya ziada kama ukimwi huambiwa ila hawaambiwi kwamba ni sexualy transmitted at this level. wataambiwa tu juu ya sharing and kissing basi. kwann hawaambiwi tunaogopa kuwakuza zaid.

ila sasa bado mwl dunia anafunza wanetu mambo makubwa kuliko, tena on your absence and mpaka ujue imetake time. Kuna siku mwanangu aliniuliza hivi mama "****" ni nini?? nikashtuka kidogo nizimie aisee. nikajikausha akarudia mara ya pili. ikabidi nimwite kwa rum kiupole nimuulize kwanai mwanangu umelisikia wapi hili neno?? akanijibu nilipotoka shule nilimskia kaka HASANI akimwambia mwenzie sasa mimi sikumuuliza nimekuja kukuulza ww manake nilijua hatanijibu....

imagine kwann alihofia hatajibiwa kama akimuuliza hasani??? it came to me kwamba ame hisi si neno zuri manake hajawah kulisikia kabisa ndani wala shule hivyo anataka ajue linatumika vipi.

baada ya maelezo yake nilipata courage nikamwambia hio ni abuse to others and you shld not mention it anymore. nikamsisitizia maneno asoyatamka mama wewe usiyatamke hata siku moja. akanijiabau sawa mama.

kiukweli nilimwambia huyo hasani, kama anataka kuish ndani ya nyumba yangu matusi mwiko na siku yyte nikimskia karudia basi namfungulia mashtaka.

sasa picha mambo mangapi wanetu hufunzwa na dunia nje ya uwepo wetu?? ni ngumu ila tu tujitahd sana sana kuongea na kuwa karibu na wanetu.
 
Last edited by a moderator:
HAKUNA KITU NAKIHOFIA KWA BINTI ZANGU KAMA USICHANA! MI HUONGEA NAYE SANA, KUHUSU UKIMWI, STD'S NA MIMBA! HUMWAMBIA MADHARA YA VYOTEEEEEEE! NA LA KWANZA KABISA HUMWAMBIA UTANIFICHA MIMI LAKINI MUNGU ALIYE SIRINI ANAONA! NIMEJENGA KUMUOGOPA MUMGU KUPITA MAELEZO,

Na lazima kusali, kwenda kanisani na kukaa kwa heshima wakati wa ibada, kusali rosary ye na wadogo zake kila jioni, sunday skul ni lazima si ombi, hasa kipindi cha malezi ya vijana, huwa nampeleka dad yake anamrudia!! na huwa 'DAD WAKE HUMWAMBIA HAKUNA MWANAUME ATAKUPENDA HAPA DUNIANI ZAIDI YANGU!'

WAKIKWAMBIA WEWE NI MZURI, mwambie dad yangu aliuona uzuri wangu kitamboooooooooooo!! NA TUMEMWAMBIA NO KUZINI AU KUFANYA KITU CHOCHOTE CHA WAKUBWA KABLA YA KUOLEWA! BE PROUD KUWA A VIRGIN, BEAUTIFUL, BRIGHT YOUNG LADY! MTU WAKO WA KWANZA KUKUGUSA AWE MUMEO, PERIOD!

NAJUA anaweza kuanza kabla tunalitambua hilo, lakini TUNAJITAHIDI KUWEKA MAZINGIRA YA KWAMBA HAKUNA KUANZA KABLA, Tena dad wake humtolea mfano kuwa mimi na yeye tulioana ndiyo mambo mengine yakafuata baada ya KUPATA DEGREE!! SO KWANZA FIGHT KUSOMA KWA BIDII, UFIKE UNIVERSITY, UPATE DEGREE NDIYO UANZE KUWAZA HAYO MAMBO MENGINE!!

Jmani wazazi wenzangu, TALKING TO THEM IS VERY IMPORTANT, SIO ONCE IN A YEAR, HAPANA!! Kila upatapo nafasi na watoto wako, have a talk with them!!!

MUNGU WETU AWALINDE WATOTO WETU NA KUTUKUZIA, amen!

i understand what your saying my dearest. Najua kwa wanetu wale beautiful girls ni mtihani but nimependa sana jinsi ambavyo hubby huwakumbatia wadada wake yaani my dear mumeo namkubali sana kwa malezi ya mabinti zake.

unajua a man ambaye muda wote yuko na wanae, having fun talking to them tena muda mwingine on absence ya mama he is a man. na sijui mwanaume wa kuwatongoza tu wale mabinti huyu baba akiskia atamfanyaje. hapa napata hisia ipo siku atafumua utumbo wa mtu manake anabidii sana sana ya kuwalea wanae kimaadili.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom