Weekend imeanza sasa, Nakumbusha kutumia kinga

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,945
7,945
Za wakati huu ndugu zangu wa Tz, ni matumaini yangu ulikuwa na week njema kabisa mpaka sasa tunafika weekend, kwa ambao hamjui leo Prince Dube kapiga hat trick huko Chamazi, 😊😊
Leo sina maneno mengi, wala sitaki kutangaza biashara zangu bali napenda kuwakumbusha wa Tanzania wenzangu kutumia kinga almaarufu condom,
( kama kawaida mnajua weekend Tz hii watu wananyanduana tu,
NB. Na kufua pia jumapili )

Condom itakusaidia kujilinda dhidi ya mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa kama Ukimwi, kisonono na kaswende,

Kwa niny malaya msioweza pita na kinga nawashauri muhakikishe mmejipima kwanza HIV, kabla ya kuanza kuvunja chaga, na kupeana raha za dunia hii tunayopita ndani ya muda mfupi, ila ili kuzuia mimba usizitarajia napenda kukukumbusha kuhakikisha mpenz wako/wew mwenyewe (kwa wadada) unatumia njia ya uzazi wa mpango au hakikisha una meza p2 baada ya kunyanduana

Hapa nakuwekea bei ya kinga na vitu muhimu kwa weekend hii
Kinga zana Bure
Kinga salama 1000
Kinga Fiesta 1000-1500
Kinga rough rider 3000-5000 (hawa mbwa sijui wanajionaje na bei kubwa hivi 😂😂😂😂)
P2. 4500-5000
Vidonge vya majira 2000-3000

Kwa ambao hamtabeba condom wala kununua p2 nawakumbusha mkibeba mimba zisizotarajiwa bei ya Miso ni 20k -100k + dawa nyingine za kama 10k hivi

Ambao mtaamua kuzaa mtoto asietarajiwa nawakumbusha mtoto kwa siku anakunywa kg 1 ya unga wa lishe ambao ni 3000, pampus 6 ambazo ni 3000/- sukari robo 1000/- sabuni pakiti moja ya kufulia 700/- na pia wanaumwaga kila siku na bima ya toto afya kadi haipo 😂😂😂💔 hivyo andaa minimum 15k kila week ya matibabu, kwa ujumla hakikisha kila mwezi unatenga laki saba (700,000/-) kwa ajiili ya mtoto mmoja na hapo bado mama yao.

By the way andiko hili limedhamiwa na KENSHOP
Picsart_23-06-08_21-06-50-596.jpg

Wacheki wadhamini wetu kwa namba hizo hapo upate ofa kede kede

Mpaka wakati mwingine tena, utaposema kama ulicheza salama weekend hii au uliamua kusema liwalo na liwe 😂
Amani na weekend njema kwenu nyote
Alamski
 
Nipo mageton namsubiria manka wangu aniletee niipige...nmekomaa wk mbili aysee sijuw wanaowexa kukomaa mwaka mzima bila kunyanduq wanajiskiaje
 
Kupima ukimwi na kunyanduana siku hiyo hiyo ni hatari pia. Condom ndio sahihi.

Kwa elimu kidogo niliyopata kupitia kugoogle kila siku kwa miezi sita baada ya kuhofia nimeambukizwa hiv nimegundua hivyo.

Ukimwi kwa vipimo vyetu tulivyo zoea inachukua miezi kadhaa hasa mitatu toka mtu anapopata hadi kuonyesha mtu huyo ameathirika, ndani ya hiyo miezi kadhaa vipimo vinaonyesha negative kumbe anao na wataalamu wanasema ndio kipindi mtu anakua na virusi wengi sana kwenye mwili na anaambukiza kirahisi.

Ukiona huwezi kutumia condom tafuta kitu kinaitwa prep kitakusaidia uinjoy utelezi full
 
Back
Top Bottom