Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,893
- 2,777
katika hili napenda kupata ukweli wenye ukweli. watu (wanaume) wengine hatupendi kabisa kushea uchi (ashakum!) na wanaume wengine. wanaume tufanyeje ili wanawake wetu wasigawe "urithi" wetu? yaani ipite hata miaka mitatu, mke/mpenzi wangu hajachunguliwa na mwanaume mwingine ili nijisikie fahari ya kusema nina mke/mpenzi. najua zimeshatangulia threads nyingine zenye mrengo kama huu, ila sasa nataka kujua kwa kina zaidi. uwanja ni wenu wadau- hasa kina dada.