swali kwa wanawake II

Hahahaha hii imetokea Njombe hapo mke wa tajiri mmoja ilikuwa aibu jamaa alitengeneza akasafiri kuja Dar mke kama kawa kutoka nje na kismart boy si wakanasa hakuna mashine kutoka wakawa wameng'ang'aniana ilikuwa aibu walibebwa na ambulance mpaka Kibena lakini ilishindikana kuwaachanisha ilibidi wasubili jamaa arudi awatenganishe aibu WOS mambo yapo haya.

Kwa hiyo haya mambo yapo kikweli .Mi nilijua ni hadithi za mitaani tu.
Basi wale wenye wivu na wapenzi wao dawa ndo hiyoooo.Mshindwe wenyewe tu! hahahahah!
 
...mnh!? :( natamani kusema; 'akutukanaye,...!', lakini huenda ni macho yangu tu...

hakuchagulii tuc, anadhani heshima zinaendana na mvuto, nilienae ana wac mana anajua mvuto unaruhusu, bali ni heshima yangu kwake ndio mana naiheshimu ndoa.
 
Come to think of it...nimeshindwa kuelewa kwa maana ingekuwa kweli basi yafuatayo yasingefanyika
#1. Wanaume wangeacha kutongoza maana kwa vile hawapendi kushea- probability kuwa unayemtongoza ana mwenyewe au alishawahi kuwa na mtu ni kubwa - na kwa vile hampendi basi mnatunziana heshima na hamtapenda kuendeana kinyume na imani yenu.
#2. Wanaume wasingeenda kwenye brothels au kuchukua changudoa maana hao ndiyo kabisaaaaaaa hawana cha msalie mtu - ni bandika bandua tu na hii siyo siri
#3. wanaume wasingetongoza wake/wapenzi wa marafiki zao achilia mbali wake/wapenzi wa watu wasiowajua.
Ushauri - kama ni kweli hampendi kushea basi fanye a pact kati ya nyie wenyewe ili kushea huko kutokomee maana kupo na ni kitu hampendi.

labda sikuwa specific kidogo. mwanaume akishasema kuwa huyu nataka awe mpenzi/mke wangu basi hapo kushea inakuwa ni ugomvi. inawezekana alikuwa anapanga foleni kupata hiyo 'huduma' kwa malaya lakini akiamua kummiliki huyohuyo malaya basi na wengine wafunge breki la sivyo ni balaa!
 
Hahahaha hii imetokea Njombe hapo mke wa tajiri mmoja ilikuwa aibu jamaa alitengeneza akasafiri kuja Dar mke kama kawa kutoka nje na kismart boy si wakanasa hakuna mashine kutoka wakawa wameng'ang'aniana ilikuwa aibu walibebwa na ambulance mpaka Kibena lakini ilishindikana kuwaachanisha ilibidi wasubili jamaa arudi awatenganishe aibu WOS mambo yapo haya.

...natamani kuwaona, hivi 'wakinasiana' si ndio raha inawazidi?
 
Hahahaha hii imetokea Njombe hapo mke wa tajiri mmoja ilikuwa aibu jamaa alitengeneza akasafiri kuja Dar mke kama kawa kutoka nje na kismart boy si wakanasa hakuna mashine kutoka wakawa wameng'ang'aniana ilikuwa aibu walibebwa na ambulance mpaka Kibena lakini ilishindikana kuwaachanisha ilibidi wasubili jamaa arudi awatenganishe aibu WOS mambo yapo haya.
hii ni dawa nzuri sana kwa cheaters.
 
hahahaha haya bana hivi ukionana na aliye kuzindua akasema mkumbushie utamtosa mwenzio??? au wewe huta taka mkumbushie na mwenzio aliyekufundisha maswala ya kikubwa?

hapana kukumbushiana kabisa, nashukuru tuliachana kwa kuparangana! 2kikutana ni hi tu.
 
hapana kukumbushiana kabisa, nashukuru tuliachana kwa kuparangana! 2kikutana ni hi tu.

Wewe Nyamayao acha hizo,labda jamaa ashindwe mwenyewe recall vizuri.ila hakuna mwanamke mwenye ujanja kwa jamaa yake wa zamani.tulishaona watu wanaachana kwa matusi na mbwembwe kibao wakikutana miezi miwili baadaye mshoboko kama kawaida.labda usimpe nafasi kuwa karibu na wewe.
 
Back
Top Bottom