BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Unajua inabidi umwamini tu hivyo hivyo unajua ukimchunguza kuku au bata kwa makini tambua huwezi mula kabisaaa maana anaokota okota mauchafu kisha ala.
Ni kweli hata kama una hisia potofu inabidi ujaribu kuzizuia. Ila siyo siri,sijawahi kumwamini mwanaume kabisaaa yaani 100%. Imani inakwepo kutokana na vitendo na mwenendo mzima wa mapenzi,vinginevyo unaweza jutaaaa kumjua mtu!