Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,490
- 2,730
Acha uongo!!!!Mimi na mke wangu tuna watoto saba, ili kuonesha watoto wetu wote ni sawa huwa mama yao namwita kwa jina la mtoto wa kwanza siku ya Jumatatu, mtoto wa pili siku ya jumanne, wa tatu hadi wa saba vivo hivyo.
Shukrani sana. Huwa nashangaa sana wanaume wengi hasa humu JF huwa wanadhani au kufikiria kuwa ili mwanamke awe na furaha duniani ni lazima aolewe!!!Ila pia Kuna single mothers by choice, wanawake wapo kwenye jamii yetu wanaoamua kuwa single kwa chaguzi zao wenyewe sio kwa kukimbiwa, kuna kijana alikuwa anamuomba binti aliyezaa nae amuoe ila binti hakumtaka.
Kijana alipambana kweli ila alifeli, binafsi nina mtu tunafahamiana kwa ukaribu sana yeye alimuacha mume wake akiwa tayari na mtoto.
Mume alipambana kumrudisha kupitia wazazi na vikao ila mpaka leo huyu dada aligoma na ni single mother mpaka sasa.
Kuna jambo tumejiaminisha wanaume kuwa mwanamke anaitaka sana ndoa ila kwa niliyoshuhudia kwenye jamii, wapo wanawake wanaona kuwa na mwanaume ni mzigo tu.
Nimeshangaa sana eti naye ana mke na kuna watoto wanamuita Baba!!!!!Single mothers Wa JF n kama vile wana kisirani ila pia mtoa mada umeuliza swali la kipumbavu
Anatukana mamba kabla hajavuka mto! Ataaibika vibaya😅Nimeshangaa sana eti naye ana mke na kuna watoto wanamuita Baba!!!!!
Halafu kwa nini hawawasemi hao wanaume wanaosababisha kuwe na Single mothers? Kila siku humu JF ni kuwasema, kuwasakama na kuwanyanyasa Single mothers!!! What about hao wanaume waliowazalisha? Kwamba wao wamefanya sahihi kabisa?????!!!!!!Mkuu, kwa jamii ya leo kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume kuzaa na wanawake tofauti hawaoni ni kosa wapo pia wanawake kuzaa na wanaume tofauti hawaoni kama ni kosa. Jamii hii si ya enzi zetu na mama zetu. Zile enzi za ukipata mimba kabla ya ndoa ni laana.
Wanaume hawakoseagi(ma-mr.right)after all single mothers wanawabaka ili wajitie mimba wao aaanhh..Halafu kwa nini hawawasemi hao wanaume wanaosababisha kuwe na Single mothers? Kila siku humu JF ni kuwasema, kuwasakama na kuwanyanyasa Single mothers!!! What about hao wanaume waliowazalisha? Kwamba wao wamefanya sahihi kabisa?????!!!!!!
Mimi siyo mmoja wa hao uliowataja lakini mtoa mada ni mpumbavu mmoja hivi.Naona ma baba wa kambo na singlemother mna hasira sana mleta mada angekuwa karibu yenu mngemtoa ngeu walahi.
Wamekua wakali kweli kweliNaona ma baba wa kambo na singlemother mna hasira sana mleta mada angekuwa karibu yenu mngemtoa ngeu walahi.
Kwahiyo unaunga mkono usingle parent? Sawa mwanamke kipaumbele chake sio kuwa na familia ya baba, mama, mtoto. Lakini hii kuzaa kwa makusudi na kuachana haoni kama mtoto ananyimwa haki yake ya kupata malezi ya baba na mama?Shukrani sana. Huwa nashangaa sana wanaume wengi hasa humu JF huwa wanadhani au kufikiria kuwa ili mwanamke awe na furaha duniani ni lazima aolewe!!!
Wapi nimetukana?Anatukana mamba kabla hajavuka mto! Ataaibika vibaya😅
Basi mkuu tuliza hasira. Kuanzia sasa tutakua tunawaunganisha wote singo babaz na singo mamazHalafu kwa nini hawawasemi hao wanaume wanaosababisha kuwe na Single mothers? Kila siku humu JF ni kuwasema, kuwasakama na kuwanyanyasa Single mothers!!! What about hao wanaume waliowazalisha? Kwamba wao wamefanya sahihi kabisa?????!!!!!!
Hiyo ni nature tu ndugu yangu. Kuna mambo ambayo mwanaune anahukumiwa na mwanamke haukumiei. Hivyo mara nyingine zinatoeka situations mwanamke anahukimiwa lakini haiwi hivyo kwa mwanaume, na hii ni kwa sababu ya thamani ambazo hawa wawili wanaenda nazo ndoani.Wanaume hawakoseagi(ma-mr.right)after all single mothers wanawabaka ili wajitie mimba wao aaanhh..
Duh.! mpumbavu tenaMimi siyo mmoja wa hao uliowataja lakini mtoa mada ni mpumbavu mmoja hivi.
Labla yeye ndo mke na amezalishwa watoto wanne 😂Nimeshangaa sana eti naye ana mke na kuna watoto wanamuita Baba!!!!!
Familia ninayo(mke na mtoto mmoja), na moja ya vitu ambavyo niliamua kukichukulia kwa uzito sana ni suala la kuzaa.Nimeshangaa sana eti naye ana mke na kuna watoto wanamuita Baba!!!!!
Huyo ni zao la single mom niamini mimi dear, ukisoma mambo ya mental health utamuelewa haraka sana huyo kijana na wenzie wanaomsapoti, hakua na utoto mzuri wakati analelewa na single mom, anajihisi yupo hivyo alivyo kwa sababu ya malezi duni alopata ndio akatengeneza chuki kali kwa singo moms wote duniani,
Afya ya akili ipo, hao wagonjwa waleteni kwangu.
Aaa wapi Mkuu. Mimi pia ni wa zamani. Hata hizo enzi zetu walizaa sana nje na waliolewa na kuoa vizuri sana tu.Mkuu, kwa jamii ya leo kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume kuzaa na wanawake tofauti hawaoni ni kosa wapo pia wanawake kuzaa na wanaume tofauti hawaoni kama ni kosa. Jamii hii si ya enzi zetu na mama zetu. Zile enzi za ukipata mimba kabla ya ndoa ni laana.
Haijalishi! Popote atakapotukanwa mwanamke ntanyanyuka kumkimgia kifua! Until u guys stop looking down on women!