Swali kwa mababa wa kambo

Swali kwa mababa wa kambo

Ila pia Kuna single mothers by choice, wanawake wapo kwenye jamii yetu wanaoamua kuwa single kwa chaguzi zao wenyewe sio kwa kukimbiwa, kuna kijana alikuwa anamuomba binti aliyezaa nae amuoe ila binti hakumtaka.

Kijana alipambana kweli ila alifeli, binafsi nina mtu tunafahamiana kwa ukaribu sana yeye alimuacha mume wake akiwa tayari na mtoto.

Mume alipambana kumrudisha kupitia wazazi na vikao ila mpaka leo huyu dada aligoma na ni single mother mpaka sasa.

Kuna jambo tumejiaminisha wanaume kuwa mwanamke anaitaka sana ndoa ila kwa niliyoshuhudia kwenye jamii, wapo wanawake wanaona kuwa na mwanaume ni mzigo tu.
Shukrani sana. Huwa nashangaa sana wanaume wengi hasa humu JF huwa wanadhani au kufikiria kuwa ili mwanamke awe na furaha duniani ni lazima aolewe!!!
 
Mkuu, kwa jamii ya leo kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume kuzaa na wanawake tofauti hawaoni ni kosa wapo pia wanawake kuzaa na wanaume tofauti hawaoni kama ni kosa. Jamii hii si ya enzi zetu na mama zetu. Zile enzi za ukipata mimba kabla ya ndoa ni laana.
Halafu kwa nini hawawasemi hao wanaume wanaosababisha kuwe na Single mothers? Kila siku humu JF ni kuwasema, kuwasakama na kuwanyanyasa Single mothers!!! What about hao wanaume waliowazalisha? Kwamba wao wamefanya sahihi kabisa?????!!!!!!
 
Wanaume hawakoseagi(ma-mr.right)after all single mothers wanawabaka ili wajitie mimba wao aaanhh..
 
Shukrani sana. Huwa nashangaa sana wanaume wengi hasa humu JF huwa wanadhani au kufikiria kuwa ili mwanamke awe na furaha duniani ni lazima aolewe!!!
Kwahiyo unaunga mkono usingle parent? Sawa mwanamke kipaumbele chake sio kuwa na familia ya baba, mama, mtoto. Lakini hii kuzaa kwa makusudi na kuachana haoni kama mtoto ananyimwa haki yake ya kupata malezi ya baba na mama?
 
Halafu kwa nini hawawasemi hao wanaume wanaosababisha kuwe na Single mothers? Kila siku humu JF ni kuwasema, kuwasakama na kuwanyanyasa Single mothers!!! What about hao wanaume waliowazalisha? Kwamba wao wamefanya sahihi kabisa?????!!!!!!
Basi mkuu tuliza hasira. Kuanzia sasa tutakua tunawaunganisha wote singo babaz na singo mamaz
 
Wanaume hawakoseagi(ma-mr.right)after all single mothers wanawabaka ili wajitie mimba wao aaanhh..
Hiyo ni nature tu ndugu yangu. Kuna mambo ambayo mwanaune anahukumiwa na mwanamke haukumiei. Hivyo mara nyingine zinatoeka situations mwanamke anahukimiwa lakini haiwi hivyo kwa mwanaume, na hii ni kwa sababu ya thamani ambazo hawa wawili wanaenda nazo ndoani.

Mwanaume anahukumiwa kwa uwezo wa kuprovide, anaweza kuwa singo baba au ana maex wengi lakini ukija wakagi wa kuoa sifa kubwa itakayoangaliwa ni financial stability.

Mwanamke anahukumiwa kwa vigezo vya purity and loyalty. Akiws na hivyo vigezo hata awe masikini haina shida. Sasa anapokua singo mama hapo ni kipengere.

Ukiangalia unaona sio fair kwa kila jinsia singo baba na singo mama wote ni failed parents, kwanini asakamwe single mama? Mwanaume na mwanamke wasiokua na hela wote ni masikini kwanini asakamwe mwanaume?. It's not fair but that's nature nathing we can do to change it.
 
Nimeshangaa sana eti naye ana mke na kuna watoto wanamuita Baba!!!!!
Familia ninayo(mke na mtoto mmoja), na moja ya vitu ambavyo niliamua kukichukulia kwa uzito sana ni suala la kuzaa.

Niliakikisha ninesimama kiuchumi na pia nina uhakika mwanamke ninaezaa nae ndie niliyemchagua kuishi nae maisha yote yaliyobaki hapa duniani, na hii ni kwa sababu natambua umuhimu wa mtoto kupata malezi ya baba na mama.

Kama kuwa single parent au kuunga mkono usingle parent ndio ustaarabu basi mimi sipo tayari kuufata huo ustaarabu.

Msimamo wangu mtoto ana haki ya kupata malezi ya baba na mama, na hajalazimisha kuzaliwa. Kwahiyo kabla ya kuzaa akikisheni mnatanguliza akili na mipango. Kuzaa halafu mtoto kujikuta kwenye familia iliyovunjika then both singo baba and singo mama are failed parents. Siwezi kuunga mkono ilo suala.
 
Huyo ni zao la single mom niamini mimi dear, ukisoma mambo ya mental health utamuelewa haraka sana huyo kijana na wenzie wanaomsapoti, hakua na utoto mzuri wakati analelewa na single mom, anajihisi yupo hivyo alivyo kwa sababu ya malezi duni alopata ndio akatengeneza chuki kali kwa singo moms wote duniani,
Afya ya akili ipo, hao wagonjwa waleteni kwangu.

Seriously? You are a mental health therapist and you can accurately diagnose a patient based on their comments online? Mbona kama wewe ndo punguani sasa?
 
Mkuu, kwa jamii ya leo kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume kuzaa na wanawake tofauti hawaoni ni kosa wapo pia wanawake kuzaa na wanaume tofauti hawaoni kama ni kosa. Jamii hii si ya enzi zetu na mama zetu. Zile enzi za ukipata mimba kabla ya ndoa ni laana.
Aaa wapi Mkuu. Mimi pia ni wa zamani. Hata hizo enzi zetu walizaa sana nje na waliolewa na kuoa vizuri sana tu.
 
Back
Top Bottom