Swali kwa mababa wa kambo

Swali kwa mababa wa kambo

Haijalishi! Popote atakapotukanwa mwanamke ntanyanyuka kumkimgia kifua! Until u guys stop looking down on women!
We defend women rights and wrongs!

Maturity is realizing that: Wanawake hatuchukiani kwa asili bali kwa kutengenezwa…. Mfumo/mfumo dume umetuweka wanawake katika hali ya kushindana/kushindanishwa. Kikawaida mkishindanishwa lazima mchukiane!
 
Well said mama, hawa hawajatambua kwamba kuna wanawake wana akili sana, kuna watu wanajitambua vizuri sio kila mwanamke ni wa kumuendea hovyohovyo kama walivyozoea! Mwisho wa siku kutujengea makundi tusiwe na umoja! Watukome🙌🏾
 
We defend women rights and wrongs!

Maturity is realizing that: Wanawake hatuchukiani kwa asili bali kwa kutengenezwa…. Mfumo/mfumo dume umetuweka wanawake katika hali ya kushindana/kushindanishwa. Kikawaida mkishindanishwa lazima mchukiane!
Tatizo mnajifanyaga mpo ngangari ila ukifika wakati wa kukabiliana na consequences za maamuzi yenu mnajifanya victims.

Hapa mnatangaza kutetea wrongs za jinsia yenu ila mwenzenu akitiwa mimba na kukimbiwa mnaanza kulaumu wanaume badala ya kumpongeza mwenzenu kwa kitendo chake cha kupanua mapaja kiholela holela.
 
Nami nakuchomekea kaswali kangu hapo..
Ulianzaje anzaje kuoa single maza mkuu?
 
Na mimi nina swali hapo mkubwa

Ukioa mwanamke mwenye mtoto, yule mtoto akakua akataka kuoa/ kuolewa, siku ya ndoa yao kwenye meza ya wazazi atakaa mama wa mtoto na mume aliyemlea yule mtoto? Au mama wa yule mtoto na mzazi mwenzake?

Msaada tutani
 
Dah.! Swali gumu. Hapo kwa kweli kati ya baba mzazi na baba wa kambo mmoja atumie busara tu kumwachia nafasi mwenzake
 
Halafu kwa nini hawawasemi hao wanaume wanaosababisha kuwe na Single mothers? Kila siku humu JF ni kuwasema, kuwasakama na kuwanyanyasa Single mothers!!! What about hao wanaume waliowazalisha? Kwamba wao wamefanya sahihi kabisa?????!!!!!!
Nadhani jamii imempa Mwanamke mzigo wa kusimamia maadili ndo maana analaumiwa.
 
Aaa wapi Mkuu. Mimi pia ni wa zamani. Hata hizo enzi zetu walizaa sana nje na waliolewa na kuoa vizuri sana tu.
Mkuu, kwenye jamii niliyotoka mabinti wa zamani hawakuzaa kiwepesi bila ndoa. Mimba ukiwa kwa wazazi hujaolewa kijijini ilikuwa ni ishu ya kutisha na aibu, sasa hivi ni kawaida.
 
Mambo madogo sana hayo kama Mwanaume Ukisha Anza kuyatilia maanani basi hutoshi kwenye nafasi yako.

Mimi kwetu tupo Wawili na Kuna mtoto wa mama Mkubwa tulimchukua akiwa mdogo kabisa, Mpaka Leo bi Mkubwa anaitwa jina la huyo mtoto wa Mama Mkubwa Wala kwetu sio issue na hata Kwa mzee

Majina huwa yanakuja Automatic tu, tafuta Hela uache kucare vitu vya Kitoto ivo
 
Hela natafuta mwanangu. Mhoji bi mkubwa hapo home akuambie baba ako halisi ni nani atakupa habari zangu. Kuwa na nidhamu unapotumia mitandao utakuja kutukana baba zako.
 
Back
Top Bottom