Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,163
- 33,633
- Thread starter
- #81
Kumbe ni mwanamke, ndio maana nikashangaa inakuaje dume zima linatumia maneno ya "alooooo" na "pyeee"Uko sawa kabisa dia, hapo hapo by choice kuna wengine waliamua kuzaa baada ya kuona ndoa hazipo, umri unasonga kabla hajafika menopause anazaa mtoto mmoja au wawili anatulia, sasa sisi WaTz na ushamba wetu bado tuna mawazo ya kizamani yote hii ni watu kutokusafiri akili zimeganda sehemu moja tu