Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,474
- 18,516
Kwani akiitwa mama John kuna ubaya gani?Maelezo mengi sana wakati swali fupi.
Mwanaume kujielezea sana ni dalili ya udhaifu
Kwani akiitwa mama John kuna ubaya gani?Maelezo mengi sana wakati swali fupi.
Mwanaume kujielezea sana ni dalili ya udhaifu
Sio kweli, na hata kama single mother sioni shida.... Tatizo ni kuwa attack single mama kwa namna yenye kudhalilisha ndani yake. Single mama sio dhambi.
Nakuelewa sana mkuu. Sema duniani watu tunafikra tofauti tofauti.Sio kweli, na hata kama single mother sioni shida.... Tatizo ni kuwa attack single mama kwa namna yenye kudhalilisha ndani yake. Single mama sio dhambi.
Halafu Mimi ni mama ungewahi kuzaliwa ningekuzalia mapacha
😂😂😂😂😂😂😂Alooo ipo namna single mom alikufanya kitu kibaya sana😂😂😂
Hujamaliza ya kwenye ule uzi umekuja mbio mbio kuanzisha mwengine,
Angalia wanaume wenzio wenye hela walivyokujibu kistaarabu, kama nakuona unavyowaita masimp huko uliko🤓🤣🤣🤣
🤔🤔😂😂😂😂😂😂😂
Haijalishi! Popote atakapotukanwa mwanamke ntanyanyuka kumkimgia kifua! Until u guys stop looking down on women!
Ukifikiria kitu chako usipandikize mbegu chafu watu wengine!Nakuelewa sana mkuu. Sema duniani watu tunafikra tofauti tofauti.
Naungana nawe maana hata mimi nilizaliwa na mwanamke.Haijalishi! Popote atakapotukanwa mwanamke ntanyanyuka kumkimgia kifua! Until u guys stop looking down on women!
Ila katiba ya Tanganyika haimkatazi kufanya hivyo 😂.Ukifikiria kitu chako usipandikize mbegu chafu watu wengine!
Mpumbavu tu ndio atakaa kutukana wanawake kwasabu kukutana na washenzi wenzie huko bar..Naungana nawe maana hata mimi nilizaliwa na mwanamke.
Let's fight together 💪💪.
Yeah, kuwatukana wanawake collectively si vizuri. Bora mtu atukane mkewe ama demu wake.Mpumbavu tu ndio atakaa kutukana wanawake kwasabu kukutana na washenzi wenzie huko bar..
Deviant behavior!Ila katiba ya Tanganyika haimkatazi kufanya hivyo 😂.
Hakika amekengeuka.Deviant behavior!
Mababa wa kambo wana hasira sana. Hata swali la kawaida wao wanakuja kwa style ya kujihamiUmeoa single mother? Mbona hasira nyingi, embu kanywe brufen kwanza The Icebreaker
😀😀😀😀 Noma sanaMimi na mke wangu tuna watoto saba, ili kuonesha watoto wetu wote ni sawa huwa mama yao namwita kwa jina la mtoto wa kwanza siku ya Jumatatu, mtoto wa pili siku ya jumanne, wa tatu hadi wa saba vivo hivyo.
Hakuna popote niliposema kuna ubaya akiitwa mama kwa jina lolote, ni watu kujishtua ndio wanahisi kuna kitu wanatakiwa kukitetea.Kwani akiitwa mama John kuna ubaya gani?
Mfano kwenye post ni kwa namna gani single mother amedhalilishwa.Sio kweli, na hata kama single mother sioni shida.... Tatizo ni kuwa attack single mama kwa namna yenye kudhalilisha ndani yake. Single mama sio dhambi.
Halafu Mimi ni mama ungewahi kuzaliwa ningekuzalia mapacha
Mpaka kufikia sasa kuanzia post mpaka comments ni wapi katukanwa mwanamke?Haijalishi! Popote atakapotukanwa mwanamke ntanyanyuka kumkimgia kifua! Until u guys stop looking down on women!