Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,130
- 33,524
- Thread starter
- #21
Nimetumia lugha gani dogo?Naona umeanza kua mpole ghafla,endelea tu na lugha uliyoitumia mwanzo,ulifikiri ningekuchekea sio?
Nimetumia lugha gani dogo?Naona umeanza kua mpole ghafla,endelea tu na lugha uliyoitumia mwanzo,ulifikiri ningekuchekea sio?
Hongera kwa kupata mume,naona wasiwasi wako sasa hivi ni kuona kua Mumeo atakuita kwa jina la mwanae au kwa jina la mwanao.Nimetumia lugha gani dogo?
Sijawapelekea moto mkuu. Nimeuliza swali tu. Sijaelewa ni kwanini wababa wa kambo uko juu wamechafukwaLeo single mother moto wanaopelekewa ni hatari
Mimi jinsia me mdogo angu. Nimeuliza maana huku mtaani tunakutana na ugumu. Unakuta single mother tushazoea kumwita mama damiani sasa karudi kitaa akiwa na bwana mwingine na mtoto wamezaa tunapata kigugumizi tumwite mama naniHongera kwa kupata mume,naona wasiwasi wako sasa hivi ni kuona kua Mumeo atakuita kwa jina la mwanae au kwa jina la mwanao.
Wewe pimbi mimi sio mdogo wako,ukiona huyo single maza anaitwa kwa jina lingine,nenda kamuulize mumewe atakupa majibu,Mimi jinsia me mdogo angu. Nimeuliza maana huku mtaani tunakutana na ugumu. Unakuta single mother tushazoea kumwita mama damiani sasa karudi kitaa akiwa na bwana mwingine na mtoto wamezaa tunapata kigugumizi tumwite mama nani
Hata mimi wife huwa namwita kwa nick name yake, sijazoea kabisa kumwita mama fulani. Ila uko nje wanamwita mamaBinafsi napenda kumuita mpenzi wangu kwa jina lake.
nitamuita mama fulani, jina la mtoto wake wa kwanza.Wewe je
Naona baba wa kambo umechafukwaWewe pimbi mimi sio mdogo wako,ukiona huyo single maza anaitwa kwa jina lingine,nenda kamuulize mumewe atakupa majibu,
Halafu punguza kukaa sana na wanawake,mpaka kujua leo mama fulani kaja kitaani na mumewe na kabadili jina,huna kazi ya kufanya? Unapata wapi muda wa kufuatilia issue za single maza wa kitaani?
Wewe elewana na mumeo akuite Mama nani kwa unavyotaka wewe,usitusumbue hapa.
Naona Mama wa kambo umekua mpole ghafla.Naona baba wa kambo umechafukwa
Hapo nimekupata mzee baba. Unajua kuna dada mmoja alikuaga na mtoto. Alipotea kwa muda kidogo, sasa hivi karibuni karudi yeye na boyfriend wake mpya wamepanga maeneo ya mtaani.nitamuita mama fulani, jina la mtoto wake wa kwanza.
Jina lake linasadifu ndio maana kuna sehemu nilimwambia apate kwanza ajira akiwa na hela yeye mwenyewe atajishangaa jinsi atakavyokua positiveMwanaume aliyekamilika as a Gentleman hawezi kuanzisha uzi wa namna hii na kuuliza swali la aina hii,
Wanaume hua hawawazi vitu cheap kiasi hiki.
Pyeeeeeee unazuga tu, eti tumejihisi kumkosea heshima shemeji mpya kwa hiyo umbea wenu huko ndio uje uulete hapa kwa great thinkers ona ulivyovuliwa nguo hapo kuchutama unataka kukimbia unataka hapo hapo unatamani uzi ungefutwa ila ndio baaasi tena.Hapo nimekupata mzee baba. Unajua kuna dada mmoja alikuaga na mtoto. Alipotea kwa muda kidogo, sasa hivi karibuni karudi yeye na boyfriend wake mpya wamepanga maeneo ya mtaani.
Wengi hatukua tunamjua huyu shemeji mpya. Juzi tulijumuika nao kupata kinywaji tukawa tumwaita mama wa jina la mtoto wa kwanza. Kuja kugundua kumbe ana boyfriend mpya na wana mtoto dizaini nafsi zikaanza kutusuta kujiona kama tumemkosea heshima yule shemeji mpya.
Ndio maana nikauliza kwa uzoefu wa mababa wa kambo hilo suala limekaaje
Nakuelewa sana captain wa masculinity battalion commandMwanaume kujieleza sana ni dalili ya udhaifu
Anakosa usingizi kwa mambo yasiyomuhusu! Unawezaje kujadili jambo ambalo hujawahi pitia kwa wivu mkubwa hivi😁 Mtu aliyeoa bikra na ukoo mzima hakuna single maza ana pesa achafu mpaka za kutulea na koo zetu kutwa kukicha ni singo maza mabikra mpaka anawaota! Hakuwahi tegemea ataokota bikra la mjini nini🤣Alooo ipo namna single mom alikufanya kitu kibaya sana😂😂😂
Hujamaliza ya kwenye ule uzi umekuja mbio mbio kuanzisha mwengine,
Angalia wanaume wenzio wenye hela walivyokujibu kistaarabu, kama nakuona unavyowaita masimp huko uliko🤓🤣🤣🤣
Hawezi kukuelewaKwa namna swali lilivyoulizwa, wewe utamwitaje?
Umeoa single mother? Mbona hasira nyingi, embu kanywe brufen kwanza The IcebreakerHongera kwa kupata mume,naona wasiwasi wako sasa hivi ni kuona kua Mumeo atakuita kwa jina la mwanae au kwa jina la mwanao.
Mimi sijaoa single maza,ina maana huyo pimbi hukuona lugha aliyokua akiitumia dhidi yangu? Au ndio double standard? Au ndio wewe mleta mada umeamua kuja na ID yako nyingine?Umeoa single mother? Mbona hasira nyingi, embu kanywe brufen kwanza The Icebreaker
Kuna wamama wana watoto zaidi ya 7 ila unakuta jina la mtoto mmoja ndio linachukua nafasi kwa Mama yao kuitwa Mama fulani,
Sio kwamba jina huchaguliwa ili aitwe Mama nani,jina huja automatic tu na kuzoeleka,
Anaweza kuitwa Mama fulani kwa jina la mtoto wake wa kwanza,wa mwisho au wakatikati.
Mimi na mke wangu tuna watoto saba, ili kuonesha watoto wetu wote ni sawa huwa mama yao namwita kwa jina la mtoto wa kwanza siku ya Jumatatu, mtoto wa pili siku ya jumanne, wa tatu hadi wa saba vivo hivyo.Ulikutana na mkeo akiwa tayari ana mtoto anaitwa John. Baada ya kuishi pamoja mkazaa mtoto mkamwita George.
Je, utamwita mkeo mama John au mama George?
Kwamba ninyi mlioifurahia hii comment ndo single mama!Naona umeanza kua mpole ghafla,endelea tu na lugha uliyoitumia mwanzo,ulifikiri ningekuchekea sio?
Mimi sio mdogo wako,siwezi kua na uhusiano na kiumbe anayewaza vitu vya kipumbavu.