Swali kwa mababa wa kambo

Kumbe ni mwanamke, ndio maana nikashangaa inakuaje dume zima linatumia maneno ya "alooooo" na "pyeee"
 
Dunia ya leo ukija na wenge la descpline za kizamani utateseka sana, maana watu hawajali na vipaumbele vimebadilika kabisa. Binti wa jirani yako keshazaa na ana video za utupu zimetapakaa mitandaoni, anachumbiwa na anaolewa na hakuna anayejali principle zako za maisha kuwa huyo hafai kuolewa.
 
Mkuu kwani ukijibiwa, ukataka kujua zaidi ni kosa? Jibu alilonipa jamaa ni refu sana sikujua nini exactly anataka kusema ndio maana nikaomba jibu ambalo ni short and clear

Soma comment no. 57 ambayo ww unaona umejibiwa poa, afu angalia na majibu kwenye ukurasa wa kwanza, yana utofauti gani?

Comment no 57 amesema anamuita kwa jina lake mwanamke, kwani hili jibu lipo kati ya yale uliyoyataka?
 
Ni kisanga
 
Reactions: Tsh
Single babaz na single mamaz tulionao mtaani katika kizazi cha vijana wa sasa wengi wao ni kwa sababu ya ujinga wa kuweka nyege na tamaa mbele ya akili na mipango.

Mimba sio malaria ambayo inakuja kwa kushtukiza.
Ni kweli % kubwa ni nyege tu, Ila kwa tech ya leo kupata mimba na kulea mimba mpaka uzae ni maamuzi, zile nyakati za kwamba mwanamke akipata mimba imekula kwake ni kama zinaanza kuondoka, siku hizi mimba wanalea by choice na wapo ambao mimba wanabeba na wao ndo wanamkimbia mwanaume.
 
Soma comment no. 57 ambayo ww unaona umejibiwa poa, afu angalia na majibu kwenye ukurasa wa kwanza, yana utofauti gani?

Comment no 57 amesema anamuita kwa jina lake mwanamke, kwani hili jibu lipo kati ya yale uliyoyataka?
Angalao huyo wa comment namba 57 katoa jibu ambalo halikuwepo katika multiple choices lakini linaeleweka.

Sasa ndugu yule wa mwanzo yeye dizaini kama kaja kwa kujihami.
 
Piga ua lala galagala jipake majivu Ataitwa kwa jina la mtoto wake wa kwanza(aliyekuja nae)

But huwa unatokea ukipata mtoto mwingine jina Lina hama automatic tu.

Mfano Mimi dada yangu aliolewa akapata mtoto wa 1 akaitwa mama Jose
Baada ya kupata mtoto wa kike jina likahamia kwa mtoto wa kike hadi Leo ameacha kuaza akiwa na watoto saba ila anaitwa mama Mary!
Why? Sijui
 
Kwamba ninyi mlioifurahia hii comment ndo single mama!

Seran leo dada Dr. Mariposa.
Ukiusoma kwa umakini huu uzi,issue hapa sio tu single mother,bali issue ni ubaguzi dhidi ya mtoto wa single maza,hili ndio lengo kuu la muuliza swali kwenye huu uzi,Discrimination against stepchildren.
 
Punguza spana bwashee utatoa mtu damu 😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…