Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Hahahaha

Hatari Sana
Kumbe hadi wewe alikukula....!!! (no offense nimeshangaa tuu) nimesikia mara kibao wakisema anakula wengi yanaingia huku yanatokea kule.
Mie akinipa Mahaba yangu tosha kabisa hizo alfu lela ulela hata hazinihusu.

Kwanza ni Mwafrika mwenye asili ya kitanzania ana sifa zote za kuitwa rijali aka mwanaume kazi na wakati wa kazi huwa hakopeshi. Saa ingine huwa ananiambia Kasie niko kazini namwambia sawa Dadii piga kazi ukimaliza huko kuna kazi nyingine hapa......

Utasikia Kasie bana..... hehehehehhee Shout Out to Dadiii.

Matataaaa Kitata.
 
Nimeshamjibu, natumai ameridhika.

Nafikiri mtoa mada anaongelea wauza nyuchi, sababu ametanguliza pesa mbele. Hiyo ni sawa na ametoa dau hivo mdada aidha aithaminishe hela na uchi wake kisha atoe huduma au mwanamke atangaze dau lake.

Kuna watu kadhaa walishanifata PM nikawaambia dau langu, kuwa hilo ni kama Consultation Fee ya kumuona doctor yaani kwa dau nililotaja anapata handshake na maongezi na tabasamu tuu. Hakuna hug wala kiss na maongezi hayo yanakuwa public place nnapotaka mie. Wakashindwa wakakimbia..... wengi huniambia mie mkorofi..... sijui ni kweli....

Kasie Matata.
Hahahaha.

Chezea K' Matata weyeee
 
Back
Top Bottom