Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,570
- 94,864
🤣🤣😂😂😂nasikitika sana kuniwekea maneno mdomon😂😂😂
🤣🤣😂😂😂nasikitika sana kuniwekea maneno mdomon😂😂😂
Usichokielewa hapo nini lakini?? anataka rafiki rafiki sio rafiki
Pole sana wengine nzwanzwa tu ukibahatika safi sanaWala sio wewe chief.. mtu mwingine tu ambae sikumjua na nimemjua nikajuta kumfahamu
Pole sana wengine nzwanzwa tu ukibahatika safi sana
Niliandika usingizini
Hii in interview ya kazi??Mkuu una miaka mingapi ?
Hii in interview ya kazi??
Kuna million 2 za kuiba hazina matumizi.Mleta mada umefikiria nini kuandika hivi?
Mzee Mengi bila Kylin angeshakufa kitambo sana.Kama kweli ndiyo uko hivyo lazima nishangae labda ulaya huko ila Afrika dada wanawake wengi sana wapo kimasilai ya pesa mfano kylini miss Tanzania
Billion 2 anawezaDah...kwani wewe unaweza kujirisk kwa pesa ngapi?![]()
Una uzoefu na pisi za 30000 ?Milioni 2 yote hiyo 30000 tu
Bora wewe umekataa kuwa mnafki.Mi nachukua we endelea kukataa
Interview ya kupata Visa.Hii in interview ya kazi??
Wamegoma kuja kuzichukua??Kuna million 2 za kuiba hazina matumizi.
Dah....Billion 2 anaweza
Wengi waongo, wengine buku 10 tu anatoaBora wewe umekataa kuwa mnafki.
haaha😂😂😂wanavyopenda mteremko hao unadhan atachomoa?
Kuna pisi kadhaa zimeshazama location kuweka mambo sawa.Wamegoma kuja kuzichukua??
Hao wa buku 10 wapo hapa hapa mjengoni ?Wengi waongo, wengine buku 10 tu anatoa
Hii mbinu mpya nimeipenda.😁😀😀We lucky nakupigia simu haupokei kwann