snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,322
kabisa!Hiyo ndio akili.
Unachukua kiinua mgongo chako kwa 100%.
HUNA foleni wala nini!
kabisa!Hiyo ndio akili.
Unachukua kiinua mgongo chako kwa 100%.
mkuu usemalo kweli yani watusikuhizi na kubembelezea anafanya sembuse hiyo 2mil watu hata kule kwingine wanatoa, hela inafanya mtu mtumwa wa vingi, mkute mtu kodi imeisha, ndani hana hata mafuta, unga, mchele, anadaiwa gengeni kwa mangi, maji, hela ya usafi jamaniii anatoa mpaka ambavyo hatatakiwaa hela inatoa utu wa mtumkuu hivi umewatajia tsh 20000 au tsh 2000000?
sijaona wa kukataa tsh 2000000 kwa sasa si tu ndani ya jf hata nje ya jf tena watataka kuolewa kabisaaa kwa hiyo milioni 2....yani siku hizi kahaba tu unamshusha bei hadi 1200 we unajilia tu
zamani walikuwepo wakukataa hiyo pesa ila siku hizi hakuna wakukataa hiyo pesa kwa maana papuchi zao ni ofisi siku hizi...tena hiyo kubwa sana umewatajia ungesema tsh 20000 tu inatoshaMillioni 2
h haaa bora ulojisemea ukweli maana wengine wanjirukia rukia tuu ukijiwazia kodi imeisha ukiwaza nikiamuaa raha twapata wote unajikuta kilaini umejiachia kunako trap ya hela 🙂🙂🙂🙂🙂 helaaaaaaaanishasema bora ipatikane ya Zanana Juice!
zote zambi tu!
sasa pa kuandikwa kwenye black book la Lucifer hivi hivi!
hataa!
Raha nipe mwenyewe mkuu.Kwa wanaume hawa siku hizi hata kabla hujamaliza kuhesabu 1-100 ye kashafika 10000000!
AHAHAHAHHAHAHHAHHAHAHHA mwayego ukizipata ziweke kwenye tigopesa kasanue paja!
Kwaiyo wewe ndo unatulisha?Mwanamke gani anayejua kutafuta pesa JF hii Mpaka 2m iwe hela ndogo kwake??..
Acha kutupiga kamba
Usicatch feeling dada..hayo ni maoni yangu tu "Kwamba hata kama mwanamke anatafuta hela na anazo bado hela pia inaweza kumshawishi vizuri tu"Kwaiyo wewe ndo unatulisha?
Hata laki? Acha utani, anyway mil 2 haziwezi nizuzua na unakuta MTU mwenyewe hana mvuto., MTU naishi Nyumba ya 1.8 bado gharama nyingine nizuzuliwe na 2mil? Ongezeni dau msituchoshe na mil 2Mwaka mzima unaweza kuta hujaongwa hata laki moja. halafu mtu akupe million 2 cash. Utakataa kweli...
Aisee nimeshangaa sana hawa watu, yaani wanaona 2mil mbili kubwa? Hapo wanatulipia kodi?? Au wanadhani tunalala vyumba vya buku 5? Mm na umaskini wangu nalipa 150000 kwa mwezi Leo nizuzuliwe na 2mil??Kwaiyo wewe ndo unatulisha?
dadii mwenyewe ndio chakula cha wengi
Kawaida natural ya kiafrika na sio ngozi ya mikorogo.At the same time uwe unangara ngozi kama cleopatra lakini..
Kina sanchi tu wanachukua 1m alafu eti hizi ndalandefu zina jifanya kuleta malingoSijaona wa kukataa mpk sasa![]()
Mwanamke gani anayejua kutafuta pesa JF hii Mpaka 2m iwe hela ndogo kwake??..
Acha kutupiga kamba
kichwani kwako kuna kitu sio bureKumbe hadi wewe alikukula....!!! (no offense nimeshangaa tuu) nimesikia mara kibao wakisema anakula wengi yanaingia huku yanatokea kule.
Mie akinipa Mahaba yangu tosha kabisa hizo alfu lela ulela hata hazinihusu.
Kwanza ni Mwafrika mwenye asili ya kitanzania ana sifa zote za kuitwa rijali aka mwanaume kazi na wakati wa kazi huwa hakopeshi. Saa ingine huwa ananiambia Kasie niko kazini namwambia sawa Dadii piga kazi ukimaliza huko kuna kazi nyingine hapa......
Utasikia Kasie bana..... hehehehehhee Shout Out to Dadiii.
Matataaaa Kitata.
kichwani kwako kuna kitu sio bure
huo upuuzi siwezi Fanya ...mwili wangu nauheshimu aisee ...siwezi mvulia mtu nguo eti just because ananipa hela ....my dignity is more valuable than any amount of moneyYou are not selling your dignity rather you are helping a friend.
Mi nipo mama sijapotea