Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Umu watakupa maneno ya shombo kwa hizi fake ID lkn ukweli ni kwamba wapo umu ambao hta laki kwa mpigo awajawai kuhongwa,
Inawezekana unachosema ni kweli mimi mwenyewe elfu kumi kipande sijawahi kuhongwa ina maana kama kuna mtu nampa nafanya kwa mapenzi sio kwa ajili ya pesa... lakini hili sio swali la mtoa mada
 
Kwako mrembo /dada wa jf fikiria anatokea mwanaume out of blue, anakwambia "Chukua hii shillingi millioni mbili za kitanzania halafu tufanye mapenzi.

Utachukua uamuzi gani

********************************

Ladies, a random guy walks up to you and says "Take this 2 millions and have sex with me"

Whats your reaction?
Nitaridhika sana nikipata jibu kutoka kwa k.mtata
 
Inawezekana unachosema ni kweli mimi mwenyewe elfu kumi kipande sijawahi kuhongwa ina maana kama kuna mtu nampa nafanya kwa mapenzi sio kwa ajili ya pesa... lakini hili sio swali la mtoa mada
Vipi jirani
million 2 utachukua au utaacha?
 
Back
Top Bottom