Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

We watoe tu lunch, mpe pesa ya saloon na nauli TU. Mil 2 unataka kuoa kabisa mkuu?
 
Umu watakupa maneno ya shombo kwa hizi fake ID lkn ukweli ni kwamba wapo umu ambao hta laki kwa mpigo awajawai kuhongwa,
Laki we jamaa embu ongea uhalisia madem wangi ukiwapigisha msosi na mvinyo thamani ya 60000 shillings ukampa asubuhi na ten ya sabuni mbona anakuuliza ajee lini tena

Eti 2 million c unampa mdada wa watu mtaji sasa
 
Aahh anajaribu kujifariji tu Wanaume wengi Sana siku hzi wanatumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume " so ukiona mpaka anataka kumpa mwanamke ml.2 then alale nae itakuwa amesha meza na ma-Viagra pia

" by the way kuji sale out itakuwa ndio tabia yake ".
Alaa kumbe, hizo offer za kutolewa out na pesa kibao lazima kufikiria mara mbili mbili
 
Wapo wema si wajua hawawezi kuwa wabaya wote? Na anaweza kuwa mwema kwako na akawa mbaya kwa mwingine. Kwa niliokutana nao humh ni mmoja tu nimejuta ila wengine naenjoy kwa kweli kujuana nao. Na ukitaka uone wema wao zaidi usikubali mitongozo yao. Kutongozana ndo mwanzo wa kuonana wabaya kwa sababu wanaotongoza 90% wana watu wao ila wanataka tu kukuvuruga. Sasa mtu akutongoze umpende then boom unajua ana gf/mke lazima umuone mbaya.
Kumbe watu Jf mnajuana face to face? Kumbe naogopa bure wanaokuja pm ukute Jf ina watu wema tu[emoji16] napoteza bahati[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahaha

Huyo mmoja unaejuta kukutana nae,duh

Back
Top Bottom