Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,542
- 18,424
- Thread starter
- #481
Kwa mfano nyie watoto wa kitanga mkizitumia zile mbinu zenu za kivita wakati mpo uwanja wa sita kwa 6 lazima jombaaa atoe password.Si mpaka atoe password sasa
Kwa mfano nyie watoto wa kitanga mkizitumia zile mbinu zenu za kivita wakati mpo uwanja wa sita kwa 6 lazima jombaaa atoe password.Si mpaka atoe password sasa
Wewe una miaka mingapi mkuuUnder 30 boys tutachoshana buree
Sasa wanakosaje kwa mfano. Mmoja ndo nilijua ana mbebe halafu nishamuelewa. Wakati alikua ananiambia ako single kumbe tapeli.
Ngoja waje....
Lemme' sip here🍷
Moja tu. Nyingine ya kuhongwa kaka angu
Nahuu ndo ukweli.Umu watakupa maneno ya shombo kwa hizi fake ID lkn ukweli ni kwamba wapo umu ambao hta laki kwa mpigo awajawai kuhongwa,
Umebarikiwa ktk walobarikiwa kwa kua.waziTena wanaume wenyewe wa siku hizi hawa...tako mbil tu chali najichukulia pay yangu kiulain tu
Ukweli utakuweka huruNachukua
Kwani unawafahamu wanawake wote wa jf boss ?Hahahaha kwa Wanawake wa JF??? Hahahahaha tegemea kuambiwa ""Iyo hela ndogo sana""
Wakat anaandika hayo. yupo chumban , Nywele kitimtim, kuoga hajaoga. Na anawaza wapi APATE PESA YA SALOON!!
Asee pole SanaEeeeh bwana na nikalaghaika sema sasa hivi akili zangu zimerudi sawa.
Asee pole Sana
Ngoja na sie wengine tutafute wa kumlaghai,Hahahaha
Nishapoa tayari
😂😂😂wanavyopenda mteremko hao unadhan atachomoa?Vipi wewe ukipewa million 2 na jamaa..utakubali?
Wakina nan hao?[emoji23][emoji23][emoji23]wanavyopenda mteremko hao unadhan atachomoa?
Ukitumia Random sampling na ukafanya experimental studies , hitimisho utakalopata ni hili ni 0.00006% ndio watakaokataa kutoa miili yao kwa pesa iyo.Kwani unawafahamu wanawake wote wa jf boss ?
Hahahaha
Ila nikisomaga posts zako humu ,huwa najuaga hkn wa kukulaghai ,na km yumo aliyefanya hivyo mpk ukamuelewa dah ,yuko vzr
Najuaga unayemuelewa atakua mmoja tu ,Special One na si zaidi