Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Wanawake wadhaifu Sana katika pesa,narudia Tena wadhaifu mnooo,Mimi Nina pesa na nalijua Hilo,nimeshakula Sana celebrities wa bongo,humu jf hakuna mwanamke wa kukataa hiyo hela
Hebu weka mpunga mezani Na kipimo cha HIV mkuu.bao lenyewe moja
 
Yaani kwa kweli huu uzi umenikumbusha kisa kimoja Kilinitokea zamani mno, nilikua chuo enzi hizo.
Nikitulia nitakisimulia hapa ila ni maMbo haya haya..Dah, nilishasahau
 
Mwaga ubuyuu huooo
Yaani kwa kweli huu uzi umenikumbusha kisa kimoja Kilinitokea zamani mno, nilikua chuo enzi hizo.
Nikitulia nitakisimulia hapa ila ni maMbo haya haya..Dah, nilishasahau
 
Wanawake wadhaifu Sana katika pesa,narudia Tena wadhaifu mnooo,Mimi Nina pesa na nalijua Hilo,nimeshakula Sana celebrities wa bongo,humu jf hakuna mwanamke wa kukataa hiyo hela
Mkuu tafadhali sana kwa nini unatusemea? Hakuna? Yaani unamaanisha kwa uhakika kabisa kwamba hakuna??
 
Binadamu ni dhaifu sana katika pesa, ni dhaifu mnooo. Yule alomsaliti Yesu hakuwa mwanamke. Hence hata wanaume hawakatai pesa.
Wanawake wadhaifu Sana katika pesa,narudia Tena wadhaifu mnooo,Mimi Nina pesa na nalijua Hilo,nimeshakula Sana celebrities wa bongo,humu jf hakuna mwanamke wa kukataa hiyo hela
 
Hata wa tako mbili huwa wanajiona wamepiga show ya kibabe.
Siwezi kutoa hela yangu halafu nipige show ya kitoto, nitahakikisha mtu anakimbia na chupi mkononi, au anaisahau kabisa. Nikiona dalili ya kuchemka natafuta hata vumbi la mkongoman nalipiga kwanza.
 
Mwanaume anakujia na maneno mengiii, ooh nakupenda na blah blah zingine kibao ila mwisho wa siku unakopwa papuchi na stress juu.
huyu ni shangazi yangu? Au nimesoma vibaya???

Ngoja nipite kimya kimyaa nisijechukua radhi bureee
 
Back
Top Bottom