SWALI KWA BOYS wa kichagga

SWALI KWA BOYS wa kichagga

Wachaga ni JANGA jamani,khaa..!! Yani hawa hawana cha sijui natokea Umbwe,marangu wala Rombo.

Tena akisema ni wa KIBOSHO,ama MACHAME ndo uuwiiii....

Sijui wameumbwaje hawa? Mwanzo utasema,mwanamke si huyu? Oa sasa na mzae japo mtoto mmoja tuu,mama yangu,balaa..

Jamani Wachaga hawajui MAPENZI...utampenda kwa kila njia,lakini hawapendekiii...(mapenzi sio kitandani tu jamani,ku do kunadhihirisha kuwa kweli mnapendana)

Hawana NYAMA YA ULIMI kabisaaa...Hawajui kubembeleza wala wao wenyewe hawabembelezeki..ni MAJANGA wachaga jamani,uuwiiii....

Wewe unajua kubembeleza?? Na wanaume wa kichaga wanajua kubenbeleza??? Usilaumu upande mmoja. Wachaga tiririkeni hapa mhitetee.
 
Wachaga ni JANGA jamani,khaa..!! Yani hawa hawana cha sijui natokea Umbwe,marangu wala Rombo.

Tena akisema ni wa KIBOSHO,ama MACHAME ndo uuwiiii....

Sijui wameumbwaje hawa? Mwanzo utasema,mwanamke si huyu? Oa sasa na mzae japo mtoto mmoja tuu,mama yangu,balaa..

Jamani Wachaga hawajui MAPENZI...utampenda kwa kila njia,lakini hawapendekiii...(mapenzi sio kitandani tu jamani,ku do kunadhihirisha kuwa kweli mnapendana)

Hawana NYAMA YA ULIMI kabisaaa...Hawajui kubembeleza wala wao wenyewe hawabembelezeki..ni MAJANGA wachaga jamani,uuwiiii....

Kitu wasukuma jamani, wakaka wanajua kupenda balaa. Mbaya akikupenda wewe atampenda mpaka housegirl the same khaaaaa
 
Kufanya hivi ni kukiuka kanuni na katiba ya love!!!
 
Kama nimeshawahi mpigia goti mwanamke yoyote ukimwondoa mama yangu mzazi, Mungu na anibadilishe jinsia.

swahiba, huo ndio ukweli mtupu

haya ya kudanganyana wakati tumekulia uswazi na kuokota korosho AVI wala haiswihi
 
Hahahahaha.......... we umekumbusha mimi mbali sana asee.....:llama::llama:
 
Back
Top Bottom