SWALI KWA BOYS wa kichagga

SWALI KWA BOYS wa kichagga

Kitu wasukuma jamani, wakaka wanajua kupenda balaa. Mbaya akikupenda wewe atampenda mpaka housegirl the same khaaaaa

umenichekesha wewe!!! njoo uchukue LIMOYO LYANGU HAKYANANI GETEGETE MPAGA NAKUTOGWA NOSE BEBE HIII!!
 
Inategemea na kosa au sababu yenyewe,ikiwa huyo mwanamke ana nyeti zako ambazo akiweka hadharan unaishia pabaya utafanyaje?
 
Toka hapa!
Mnajishauaga mbele za watu na kujidai kukoroma.
Wewe cacico akikubamba na msg za Da Sophy, hutoi mchozi ww? Najua utasingizia ni utani tu wa jeiefu ila utabembeleza na kuomba msamaha hadi aingie line.

Mi situmagi msg kwa mtu katika haya mambo. Mwanamke utumiwe msg za kubembelezwa ndio raha, sio ujipendekeze. Kwa hapa ungesema akikamatwa na msg za kunitumia mimi, hilo lingenigusa. Na kwa hapo lingemhusu mwenyewe maana ndiye mchokozi.
 
Nasisitiza tena, haitokaa nikampigia goti mwanamke. Iwe ni kuomba msamaha au sijui kupropozi. Nitapiga goti kama italazimika kwa kunusuru uhai wangu mbele ya silaha.

Goti nalipiga kwa hiari kanisani nikiomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu. Period.

Hayajakufika tu. Hujafa hujaumbika. Uliza wenzio.
 
Back
Top Bottom