Oode mbe/saa/maa. Tiia utondo arawa!! Nitapiga magoti wakati wa kusali tu! Hata Mahakama haisemi umwombe mtu msahama kwa kumpigia magoti.
Mh....
Cc: Asprin
Ndo maana inabidi katiba ibadilishwe, Raisi kapewa mamlaka makubwa mno ya kuteua teua watendaji! Hapa Mkandala/uongozi wa chuo unalinda tu vitumbua vyao! Yaani sasa kila mtendaji anakuwa mwana siasa kwa vile nafasi kateuliwa?? Inaboa sana!
Kweli nimeamini Wachaga tunaendesha Tanzania maana haipiti wiki bila kuona post juu yetu humu.
Hizi ni chuki binafsi kabisaa!Wachagaa wapo juu mie mwenyewe natamani kuolewa nao
Hizi ni chuki binafsi kabisaa!Wachagaa wapo juu mie mwenyewe natamani kuolewa nao
Mkiona mnajadiliwa sio kwamba mko vizuri ni mapungufu pia.nimeoa uchagani,marangu kilema kyo na ndugu zangu hawa ninawajua vizuri sana.ktk utafutaji wa pesa hicho ni kipajia asilia kwani tamaduni zenu zimewafunza hivyo.ktk hili kabila nyingine zijifunze toka kwenu.
Ktk mahusiano hapa tatizo mnalo tena kubwa sana.huko niliko oa wanajuta kwa nini waliolewa uchagani kwa sababu bado wanaume waule mfumo dume wa kishenzi kabisa.huwezi kukuna mume anaongea kwa upole,unyenyekevu,kujali mke,usikivu na n.k ubabe ubabe.na kwa taarifa yako ndoa za mchaga kwa mchaga hazina amani chunguza na utasema ndio!kwa wanawake mapenzi yaaan sijui nisemeje lo!.....kiufupi wanawake wa kichaga wako baridi saaaana.ukioa hulo lazima utafute mechi za ugenini kwa sana.
Wachaga ni JANGA jamani,khaa..!! Yani hawa hawana cha sijui natokea Umbwe,marangu wala Rombo.
Tena akisema ni wa KIBOSHO,ama MACHAME ndo uuwiiii....
Sijui wameumbwaje hawa? Mwanzo utasema,mwanamke si huyu? Oa sasa na mzae japo mtoto mmoja tuu,mama yangu,balaa..
Jamani Wachaga hawajui MAPENZI...utampenda kwa kila njia,lakini hawapendekiii...(mapenzi sio kitandani tu jamani,ku do kunadhihirisha kuwa kweli mnapendana)
Hawana NYAMA YA ULIMI kabisaaa...Hawajui kubembeleza wala wao wenyewe hawabembelezeki..ni MAJANGA wachaga jamani,uuwiiii....
Labda huyo mchaga awe mzaliwa wa Iringa