SWALI KWA BOYS wa kichagga

SWALI KWA BOYS wa kichagga

Many of us do it in our rooms. Acheni swala linaloitwa mapenzi nyinyi alafu ndo umeshamuuzi achilia mbali kumpiga alafu baadae au kesho ukajarealise kuwa hakuwa na makosa naye anataka aondoke arudi kwa wazazi wake.
 
Naweza kama namuomba hela.... au kama yupo bien mfukoni
 
hapo sasa umefunguka kiukweli. Lakini wajaga wanapaswa kujirekebisha, wajifunze kutoka tribes nyingine jinsi wanavyo practice

....wewe nahisi shule ilikupita kushoto ingawq nao ni upande....wachaga wajifunze tamaduni za makabila mengine???????, sasa na uchaga wao waupeleke wapi?, au kwann hayo makabila mengine wasiache mambo yao ya kukaa vibarazani na kuwasemasema watu kama hivi au kutembea na waume/wake za watu na kujifunza utamaduni wa wachaga wa kufanya kazi. Unawaza mapenzi tu ambayo hata benki huwezi yahifandhi.
Usikurupukeeeeeeeeee
 
hapo sasa umefunguka kiukweli. Lakini wajaga wanapaswa kujirekebisha, wajifunze kutoka tribes nyingine jinsi wanavyo practice

Tujifunze ili nini? Mmeambiwa tuna shida? Mtuwache miaka mia tupumue. Kama mnaona hatuwezi au hatufai si mtupotezee? Yanini kila siku kutujadili? Sie hatuna tabu, tutaoana wenyewe kwa wenyewe.

Proud to be a CHAGGA.
 
Hizi ni chuki binafsi kabisaa!Wachagaa wapo juu mie mwenyewe natamani kuolewa nao

Com dis wei umenene bidada., kila tribe lina tamaduni zke ukiona m2 haendani n tamaduni zko oa kabila zko ngoma iwe droo
Wanaume w kichaga tupo poa 2 kimapenz 2014 vibali vya bastola vimefutwa muwe n amani wadada mukuje kwetu
 
Wachaga ni JANGA jamani,khaa..!! Yani hawa hawana cha sijui natokea Umbwe,marangu wala Rombo.

Tena akisema ni wa KIBOSHO,ama MACHAME ndo uuwiiii....

Sijui wameumbwaje hawa? Mwanzo utasema,mwanamke si huyu? Oa sasa na mzae japo mtoto mmoja tuu,mama yangu,balaa..

Jamani Wachaga hawajui MAPENZI...utampenda kwa kila njia,lakini hawapendekiii...(mapenzi sio kitandani tu jamani,ku do kunadhihirisha kuwa kweli mnapendana)

Hawana NYAMA YA ULIMI kabisaaa...Hawajui kubembeleza wala wao wenyewe hawabembelezeki..ni MAJANGA wachaga jamani,uuwiiii....

Wa kwenu wana Nyama ya Ulimi au
 
Kila kukicha wachaga tuu mnatuonea wivu nini
 
hapo sasa umefunguka kiukweli. Lakini wajaga wanapaswa kujirekebisha, wajifunze kutoka tribes nyingine jinsi wanavyo practice

Where, How, Why???
Una kichaa wewe.
Tondo kapsa nahiyo. Kaa na uzaramo wako
 
Com dis wei umenene bidada., kila tribe lina tamaduni zke ukiona m2 haendani n tamaduni zko oa kabila zko ngoma iwe droo
Wanaume w kichaga tupo poa 2 kimapenz 2014 vibali vya bastola vimefutwa muwe n amani wadada mukuje kwetu

...mnama hapo sasa utaniudhi, bidada nshamuonesha interest akuje klm hasa kupitia kwangu. Teh
 
Times have changed jamani.... enzi za mababu na bibi zetu ndio hizo tamaduni zilivumilika.
Na bibi zetu walikuwa wa vifuaa sasahivi kushneiiiiii na utandawazi pia umewaharibia
hizo mila zenu mnazotaka kuzienzi na kutoingiliwaaa!

Pesa tutafute jamani tena kwa bidii zoteee! Lakini tusifanye maisha kuwa magumu zaidi
ambavyo yapo tayari. Mpenzi wako unataka nani ambembeleze kama sio weeweee????
Yule ni wako tu, hata ukimpigia magoti endapo ukimkosea au wakati wa kuchumbia!
Hao unaowaona watakushangaa na kukuona you are weak sio mpenzi wakoo, hawana
thamani yake na truth is they really don't care.

Ni sawa kama hamtakubaliana na mimi kwenye swala la kumpigia magoti mke wako ila basi
punguzeniii hizoo tamaduni za ubabeee kwenye mahusioano. kwa mf. Unatoka unaenda kunywa mapombe
unachelewa hukoo na hautaki kupigiwa simu kuulizwa kama uko salama na ukirudi ni ugomviii
na matusi mtindo mmoja, eti mwanaume wa kichaga haulizwi yukowapi, why?
kwanini daima mnapenda kuproove kwamba nyie ni vidumee?? Mnafanya nyumba zinakuwa
chungu, mara nyingine mwanamke hatamani kurudi nyumbani maana hamna raha tena ya
mahusiano. Wewe ni kufoka foka tu!!!!! Kila mtu anakuogopa wewe haijengi!
Halafu cha kuchekesha mkipata side chicks huko nje mnabembeleeeezaaa kama nini! mnakuwa
wapoooole.... tofauti kabisa na unavyotaka uonekane nyumbani. kama sio unafki huo ni nini??

Haya turudi upande wa wanawake wa kichaga, nyie endeleeni kujinunisha tu kila siku na kujifanya
wagumu/wababe! wewe kila kitu unataka kulipiza na kumuonyesha kuwa atakukoma!
Sometimes(not always) there is a reason why wananaume wanatafuta wanawake njee.. wengine sio umalayaa
ila wamechoshwaa na hizi tabia zetu za "kichaga" ambazo mnajisifu nazo!

Everyone wants a healthy relationship, sio ambayo inakupa maumivu na stress ambazo chanzo chake ni kutaka kuenzi
"tamaduni zetu". Pesa sio kila kitu daima, na ndio mwanzo wa ubabe, mtu anapozinyaka anavimba na kutaka kumuonyesha mwenzie kuwa naweza kufanya lolote.

Just be humble people! It does'nt cost much kumuonyesha mpenzi youre soft and dont take advantage of it. Usiende tangaza barabaraniii eti "alipiga mpaka magoti! chezea mimi wewee!" Ni utoto mkubwaa! No one needs to know hizo mambo. Its very immature!

Kitu ambacho big85 anashauri ni kuchagua tamaduni za kuenzi. Sio kila tamaduni inafaa kuenzi, hasa hasa kwa kipindi hiki cha utandawazi. Utachapiwa bureee tena na hao hao unaokunywa nao bia na kuwahadithia ubabe wako kwa mpenzi wako!

Am out!
 
Back
Top Bottom