Swali: Je Palestina haina jeshi wala polisi?

Swali: Je Palestina haina jeshi wala polisi?

Mtoa mada tafuta Tv Series inaitwa FAUDA angalau unaweza pata mwanga juu ya kinachoendelea huko middle east.
 
Namaanisha yaani serikali ya Palestina yenyewe haimiliki jeshi wala polisi ama ni ile nchi inaendeshwaje yaani nchi nzima ya Palestina ni kweli haina jeshi wala polisi ama kikosi maalumu cha makomandoo?

Na kama lipo je kazi ya ilo jeshi ni nini mbona polisi ama jeshi la Palestina lenyewe halijitokezi kuwatetea wananchi ama raia wake hasa kipindi hiki wanaposhambuliwa na Israel?

Mwenye majibu sahihi karibu.
Jeshi haina , sijui Polisi ....
 
Unajaribu kumaanisha nini?

1Samwel 17

45 Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la Bwana wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.
46 Siku hii ya leo Bwana atakuua mkononi mwangu, nami nitakupiga, na kukuondolea kichwa chako, nami leo nitawapa ndege wa angani na wanyama wa nchi mizoga ya majeshi ya Wafilisti, ili kwamba dunia nzima wajue ya kuwa yuko Mungu katika Israeli.
47 Nao jamii ya watu wote pia wajue ya kwamba Bwana haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; maana vita ni vya Bwana, naye atawatia ninyi mikononi mwetu.
48 Ikawa, hapo Mfilisti alipojiinua, akaenda akamkaribia Daudi, ndipo Daudi naye akapiga mbio, akalikimbilia jeshi ili akutane na yule Mfilisti.

49 Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingilia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.
50 Hivyo Daudi akamshinda yule Mfilisti kwa kombeo na jiwe, akampiga Mfilisti, akamwua; walakini Daudi hakuwa na upanga mkononi mwake.
 
Kuna baadhi ya matukio huwa ni ya ajabu sana kwa Standard zetu za huku Afrika na haswa ya Mashariki

Kuna kitu kinaitwa "Biashara ya Shahawa ya Wapalestina" ambayo inakuwa hivi, famila zenze Wasichana walio katika umri wa kuolewa huwa wanaozwa wale jamaa walioko Jela yaani wale waliofungwa vifungo vya virefu au vya Maisha kwenye Majela ya Israel.

Sasa wale Vijana walioko Jela hutoa Shahawa zao kwa njia ya Magendo kuzipeleka kwa Wake zao huko Uraiani

Wanawake wa Kipalestina wanabeba Mimba ilihali wako Singo[emoji16]

Upo hapo?
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23] watu ni wadadisi
 
Jeshi lao ni HAMAS lkn kwa vile Palestina sio nchi, wanaitwa magaidi. Cha kushangaza rais wao Mahmoud Abbas anatambulika.
To make this clear ni vyema kusema Palestine haitambuliki kama taifa na BAADHI ya mataifa, same kama ilivyo Israel, Sahrawi, Somaliland, Hong Kong na Puerto Rico and MAYBE Zanzibar BAADHI ya mataifa huzitambua na kwa BAADHI hazitambuliki.
 
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi... je hapo Gaza kuna utawala wa sheria? Je wahalifu wanashughulikiwa vipi!? Nani anakusanya kodi na kutoa huduma za kijamii!?
Gaza watu wanafanyia biashara tu kila kitu ni Cha kulipia kuanzia soko na kila kitu , vitu vinajiendesha kwa kusua sua kwakuwa MDA mwingi wapo kwenye mapgano, serikali inashindwa kukusanya Kodi hata wew Google uone jinsi palivo , Palestine imeanguka Sana, pia hii netanyahu anatafuta political sympathy kweny uchaguz ujao , na yeye ndo kaanza kuwachokoza palestina na anaweza kuwapga, that's why hutaskia mkaz wa Gaza akiilaumu Hamas hata Kama wanaopgana nyuma ya raia, Ila wakaz wa Israel wanamlaumu netanyahu kwasabab wao pia hawana aman na walishaanza maisha mapya na waparestina ,
 
Pale hamna hicho unachouliza, ndo mana wanaolewa tu kila siku,wakiambiwa tulizeni matako hawataki.
Wana chokochoko nyingi sana wakichapwa wanalia lia.
Kabla wamepiga vikombora vyao Tel Aviv.
Israel akawapa saa 1 tu Aljazeera wahame na AP na baada ya mda huo bila kuchelewa kikashushwa kitu kinadondosha jengo lote.
Saizi wanalia.
Walishaambiwa waache ugomvi hawataki.
Acha wachapwe
 
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi... je hapo Gaza kuna utawala wa sheria? Je wahalifu wanashughulikiwa vipi!? Nani anakusanya kodi na kutoa huduma za kijamii!?
Hawa jamaa walishindwa kuish east Africa sabab ya joto na maradh , hoja hii ilizuiliwa mwaka 1903 na 1905 iliundwa Jews territoriost organization ambayo ilikubali kukaa ardhi yoyote ile watakayo pewa hapa duniani , baada ya Vita vya pili vya dunia walipelekwa palestina mawazo yakiwa ni kuichukua ile ardhi tokea miaka hyo , ko hata Kama Palestine wakikaa kimya lazma wachokozwe iliwapigwe na sababu ya kuwapora ardhi iwepo , ...so hata wakikaa kimya lazma wapigwe sabab ipatkane wafukuzwe, Ila nawashangaa wanaoshabikia kuw Israel karud kwao , bas na ss tuwafukuzie wangoni south na wabantu warud afrika ya kat
 
Good
 
Hebu tusaiidie, ardhi halali/halisi ya Israel ni ipi?
 
Unamaanisha nini??
Waje waseme " ailaanie Israel na alaaniwe" ...kwa dini ya kiislam israel ni mtume yacoub ,,nyie ndio Jacob,,,, kwahyo ataemlaan Jacob nae atalaaniwa hapo tunakubali, Ila sio Hawa wachafua Aman ...wanajiita waisrael kwakuwa ni kizaz Cha Jacob, lakn Hawa kina netanyahu ni waingereza warusi na wafaransa tu , waisrael halis waliokuwepo pale na waliishi na waarabu hata kabla ya 1919
Hebu tusaiidie, ardhi halali/halisi ya Israel ni ipi?
Wanatakiwa wakachangamane na wenzao middle East , na sio kuwafukuza Kama wafanyavo wao
 
Waje waseme " ailaanie Israel na alaaniwe" ...kwa dini ya kiislam israel ni mtume yacoub ,,nyie ndio Jacob,,,, kwahyo ataemlaan Jacob nae atalaaniwa hapo tunakubali, Ila sio Hawa wachafua Aman ...wanajiita waisrael kwakuwa ni kizaz Cha Jacob, lakn Hawa kina netanyahu ni waingereza warusi na wafaransa tu , waisrael halis waliokuwepo pale na waliishi na waarabu hata kabla ya 1919

Wanatakiwa wakachangamane na wenzao middle East , na sio kuwafukuza Kama wafanyavo wao
Apa unesema kweli
 
Back
Top Bottom